Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Muelewe jambo moja, suala hapa sio hospitali za dini zilijipendekeza serikalini kuomba msaada, ni serikali ndio iliyoona umuhimu wa jambo hilo baada ya kuona yenyewe haijitoshelezi.

Sasa mjiulize, mnavyotaka hizo huduma zifutwe kwa sasa, serikali inajitosheleza kwa huduma zake maeneo yote Tanganyika, hasa vijijini?

Sio kwamba waliojenga hospitali wana njaa ya misaada, kama waliweza kujichanga wakazijenga, hawawezi kushindwa kujichanga pia wakaziendesha, hili liko wazi kabisa.

Muwe makini tu, msibebwe kimawazo na wenye chuki za kidini zilizochanganyika na mawazo ya kimaskini wanaodhani serikali kuzuia hiyo misaada ni kukomoa wanaozitoa, kumbe wanaua ndugu zao wenyewe vijijini.
 
mwanaume kama bint tulia
Unanithibitishia ubongo wako umejaa kamasi kama mwenzako, halafu badala muende kujiendeleza kwenye shule za kidini za kanisa mpanue hizo bongo zenu mbovu, mnataka serikali ifute MoU ili mzeeke na kufa na upumbavu wenu vichwani!.
 
Kwahiyo unataka kutuaminisha kuwa Shule na Hospital Za Serikali Huduma Zao Niza Bure?
 
Haya ndio mawazo ya masikini, vichwa vyao vinawaza shida muda wote, na raha yao badala ya kujiongeza wafanane na wale waliowazidi, wanataka wote turudi kukaa kwenye mikeka, tunywe kahawa, na kutafuna kashata, na kupiga umbea, jambo ambalo haliwezekani kamwe.
 
😆😆 Hapo pa mkataba wa milele pamenichekesha sana. Kumbe ndio wakaona na waarabu wapewe bandari milele!
Hakuna Mwarabu aliyepewa mkataba wa kuendesha chochote milele.


Kanisa lifutiwe huo mkataba, kwa sasa hauna maana yoyote.
 
Kwahiyo unataka kutuaminisha kuwa Shule na Hospital Za Serikali Huduma Zao Niza Bure?
Huo ubora je? anataka kupewa huduma bora kwa kulipia 200/= kwa hii karne tuliyopo leo!.

Waswahili shida sana.
 
Kwahiyo unataka kutuaminisha kuwa Shule na Hospital Za Serikali Huduma Zao Niza Bure?
Sitaki kukuaminisha chochote, ninachotaka MoU bana ya serikali na kanisa ifutwe na pesa za Watanzania zisielekezwe huko ka sasa. Hakuna sababu.
 
Nachelea kukuunga mkono kwa hoja zifuatazo, ukizijibu nitaungana na wewe.

1. Mkoa unaoishi kuna hospitali ambazo hazilalamikiwi na wananchi kuhusu ubora wa huduma?

2. Mkoa unaoishi una hospitali TEULE? nitajie na uniambie zinamilikiwa na nani?

3. Mkoa unaoishi hospitali kubwa kuliko zote inaitwaje? Inamilikiwa na nani?

4. Hospitali za rufaa za kikanda kama vile NDANDA, PERAMIHO, KCMC na BUGANDO unajua umuhim wake? zinamilikiwa na nani?
 
Mkoa ninaoishi ni dar, vipi nianze taja hospital kubwa?
 
Huyu bibi mjinga mwenye mihemko ya kidini hawezi kujibu hapa, hasa hilo swali namba 4.
 
Rudi Kwenu Zanzibar Ndiyo Mkajipangie Huo Upuuzi.
Tena hizi pesa za MoU ya kanisa Zanzibar haziwahusu lakini kodi zao zinapelekwa huko kanisani, kwanini?

Tunataka MoU ifutwe na pesa za Watanzania ziache kupelekwa kanisani.
 
Juu ya hilo; kuna hospitali ulishawahi kutibiwa bila kulipia hapa duniani, kama umebahatika kuzunguka dunia maana mi uhakika nilionao ni kwamba hapa Tanzania hakuna
 


Unajua goverment subsidies, hivi unajua gharama halisi na bei za matibabu? Hao watu wangekuwa wanataka faida na kufanya biashara bila hizo mou unafikiri wangeshindwa?

Wewe unasukumwa na udini, ujakatazwa kuanzisha msikiti na Hospitak na wewe ukapewa hizo priviledges, inawezekana, kabisa.

Una shida wewe, sijui umekurupukia wapi kuhangaika na dini za watu mda huu na hasira zots.

Cha kufanya :

- Kama ujaolewa, tafuta mume, hata kama hupati chukua hata boda boda, uongozi wa mwanaume utakusaidia.

- Kama unaye, pole, badilisha, utakuwa una mtawala na hana manufaa kwako kwa maana hiyo.
 
Mkoa ninaoishi ni dar, vipi nianze taja hospital kubwa?
Wewe mpuuzi kweli, kwa hiyo kama Dar unapoishi hospital zipo, ndio huwafikirii watanganyika wengine wanaoishi maeneo yasiyo na hizo hospitali?

Umejaa ubinafsi ndio maana una akili ndogo kama huyo bibi yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…