kambiko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 356
- 308
Kwani Nyie Wavaa Kobasi Mmenyimwa Kuingia Mou.Wala hujakosea, usimwamshe aliyelala.
Mada hapa ni MoU ya serikali na kanisa, kwa sasa haina faida yoyote. Ifutwe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Nyie Wavaa Kobasi Mmenyimwa Kuingia Mou.Wala hujakosea, usimwamshe aliyelala.
Mada hapa ni MoU ya serikali na kanisa, kwa sasa haina faida yoyote. Ifutwe.
mwanaume kama bint tuliaUna chochote kichwani umuongeze nguvu huyu mpuuzi mwenzio aliyeanzisha uzi? au nawe ubongo umejaa kamasi tu kama yeye!.
Rudi Kwenu Zanzibar Ndiyo Mkajipangie Huo Upuuzi.Itafutwa tu, mali ya Watania siyo mali ya kanisa.
Kwa sasa MoU ya kanisa na serikali ina sababu zipi kuwepo?
Muelewe jambo moja, suala hapa sio hospitali za dini zilijipendekeza serikalini kuomba msaada, ni serikali ndio iliyoona umuhimu wa jambo hilo baada ya kuona yenyewe haijitoshelezi.Kwenye hili hapa nipo nawe moja kwa moja.
Serikali isjihusishe kwa vyovyote na hizi dini, na wala dini zisitafute upendeleo wowote toka serikalini.
Na hayo mambo ya sala sijui maombi huko serikalini iwe ni marufuku.
Watu watasali na kuomba majumbani kwao au kwenye nyumba za ibada zao.
Ujinga mwingi huko serikalini unaanzia huko huko kwa kuingiza dini huko.
Unanithibitishia ubongo wako umejaa kamasi kama mwenzako, halafu badala muende kujiendeleza kwenye shule za kidini za kanisa mpanue hizo bongo zenu mbovu, mnataka serikali ifute MoU ili mzeeke na kufa na upumbavu wenu vichwani!.mwanaume kama bint tulia
😆😆 Hapo pa mkataba wa milele pamenichekesha sana. Kumbe ndio wakaona na waarabu wapewe bandari milele!Kubwa zaidi mkataba huo ni wa milele hauna ukomo.
Kwahiyo unataka kutuaminisha kuwa Shule na Hospital Za Serikali Huduma Zao Niza Bure?kama huelewi kaa kimya.
Mwaka 1992, Serikali ya Tanzania iliingia mkataba na Kanisa uitwao, Memorandum of Understanding between Christian Council of Tanzania and Tanzania Episcopal Conference and the United Republic of Tanzania (MoU).
Kwa mujibu wa makubaliano hayo Serikali ya Tanzania inatao fedha (mabilion), kwaajili ya kuendeleza miradi mikubwa ya Afya na Elimu ya Makanisa. Ingawa fedha hizo ni za Watanzania wote lakini serikali haikuwahusisha Waislamu katika mjadala na wala haina mpango wa kufanya mkataba kama huo na raia Waislamu Tanzania. Kubwa zaidi mkataba huo ni wa milele hauna ukomo.
Chanzo: Kweli huo mkataba kati ya serikali na mashirika ya dini hauna ukomo wakati wenyewe wanatoza pesa raia kwenye hizo hospitali na shule zao?
Haya ndio mawazo ya masikini, vichwa vyao vinawaza shida muda wote, na raha yao badala ya kujiongeza wafanane na wale waliowazidi, wanataka wote turudi kukaa kwenye mikeka, tunywe kahawa, na kutafuna kashata, na kupiga umbea, jambo ambalo haliwezekani kamwe.Huijui kanisa katoliki wewe[emoji16][emoji16]wale Sio hao wanywa kahawa wenzako.... anyway ulianza na wapokonywe ardhi sasa umekuja na MoU.
Kesho utasema shule na hospital zao wapokonywe next week utasema sadaka zitozwe Kodi ila hamna kitu watafanywa wala hawataguswa
Hakuna Mwarabu aliyepewa mkataba wa kuendesha chochote milele.😆😆 Hapo pa mkataba wa milele pamenichekesha sana. Kumbe ndio wakaona na waarabu wapewe bandari milele!
Huo ubora je? anataka kupewa huduma bora kwa kulipia 200/= kwa hii karne tuliyopo leo!.Kwahiyo unataka kutuaminisha kuwa Shule na Hospital Za Serikali Huduma Zao Niza Bure?
Sitaki kukuaminisha chochote, ninachotaka MoU bana ya serikali na kanisa ifutwe na pesa za Watanzania zisielekezwe huko ka sasa. Hakuna sababu.Kwahiyo unataka kutuaminisha kuwa Shule na Hospital Za Serikali Huduma Zao Niza Bure?
Kwahiyo Ada ya Ilboru ni sawa na st Peter's?Kwahiyo unataka kutuaminisha kuwa Shule na Hospital Za Serikali Huduma Zao Niza Bure?
Mkoa ninaoishi ni dar, vipi nianze taja hospital kubwa?Nachelea kukuunga mkono kwa hoja zifuatazo, ukizijibu nitaungana na wewe.
1. Mkoa unaoishi kuna hospitali ambazo hazilalamikiwi na wananchi kuhusu ubora wa huduma?
2. Mkoa unaoishi una hospitali TEULE? nitajie na uniambie zinamilikiwa na nani?
3. Mkoa unaoishi hospitali kubwa kuliko zote inaitwaje? Inamilikiwa na nani?
4. Hospitali za rufaa za kikanda kama vile NDANDA, PERAMIHO, KCMC na BUGANDO unajua umuhim wake? zinamilikiwa na nani?
Huyu bibi mjinga mwenye mihemko ya kidini hawezi kujibu hapa, hasa hilo swali namba 4.Nachelea kukuunga mkono kwa hoja zifuatazo, ukizijibu nitaungana na wewe.
1. Mkoa unaoishi kuna hospitali ambazo hazilalamikiwi na wananchi kuhusu ubora wa huduma?
2. Mkoa unaoishi una hospitali TEULE? nitajie na uniambie zinamilikiwa na nani?
3. Mkoa unaoishi hospitali kubwa kuliko zote inaitwaje? Inamilikiwa na nani?
4. Hospitali za rufaa za kikanda kama vile NDANDA, PERAMIHO, KCMC na BUGANDO unajua umuhim wake? zinamilikiwa na nani?
Tena hizi pesa za MoU ya kanisa Zanzibar haziwahusu lakini kodi zao zinapelekwa huko kanisani, kwanini?Rudi Kwenu Zanzibar Ndiyo Mkajipangie Huo Upuuzi.
Ngoja Amtie Mimba Bibi Yenu Ndiyo mtaacha DharauKumbe wewe sio bint! Mbona wanaume hatuko kama wewe? Una mambo ya kikekike sana
Hili siyo ombi bali ni tamko kuelekezwa serikali ya Tanzania kuhusu MoU ya serikali na kanisa.
Tunaitaka serikali ifute MoU hiyo na fedha zinazopelekwa kanisani zielekezwe kwengine.
Kwa sasa Tanzania ilipofikia hakuna sababu ya kubaki na kutimiza yaliyomo kwenye MoU hiyo. Ikiwa huduma za afya, hakuna hospitali isiyotoza pesa kwa huduma hizo. Kwa hiyo serikali haina tena sababu ya kuelekeza pesa hospitali za kanisani.
Ikiwa ni elimu, Tanzania imetangaza elimu bure kwa wote mpakamwanafunzi anapofikia kiwango cha elimu kwa kukopeshwa. Na hapa hakuna tena sababu ya serikali kuelekeza pesa kwa watoa elimu wa kanisa.
Soma zaidi:
- MoU kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini
- Kweli huo mkataba kati ya serikali na mashirika ya dini hauna ukomo wakati wenyewe wanatoza pesa raia kwenye hizo hospitali na shule zao?
Wewe mpuuzi kweli, kwa hiyo kama Dar unapoishi hospital zipo, ndio huwafikirii watanganyika wengine wanaoishi maeneo yasiyo na hizo hospitali?Mkoa ninaoishi ni dar, vipi nianze taja hospital kubwa?