Bijou
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 1,248
- 360
Kisa cha Waislaam kuwa mstari wa mbele kudai Uhuru na kuwa Waanzilishi wa harakati za kujikomboa, kuanzia kina Tipu Tipu, MajiMaji, Mkwawa, Mirambo, Mareale, Bushiri, Sykes na wengine wengi, ilikuwa katika kupigania haki za Waislaam na kupinga elimu za kanisa zilizokuwa zinalazimisha uingie ukristo ndio upate elimu. Cha kusikitisha ni pale Nyerere alipowageuka Waislaam na kuendeleza yaleyale ya wakoloni Sheikh Suleman Takadiri akamwambia waziwazi nyerere "wewe ni mdini". Haikupita muda nyerere akadhihirisha udini wake baada ya kuivunja EAMWS na kuanzisha chombo chake cha kuua Uislaam kinachitwa Bakwata.
Alipokuja Malima na kubadili mfumo wizara ya elimu akawa adui mkubwa wa wakristo.
Leo Kikwete anabadili mfumo scientifically, hakuna kwa sasa asilimia 78 ya wakiristo kwenda sekondari kama ilivyokuwa kabla ya Kikwete, na anawekeza kwenye vyuo vikuu ili kuhakikisha mfumo kandamizi kwa Waislaam unamalizika. Kwa hilo. Kikwete ni adui mkubwa wa Wakristo kwani wabajua matunda ya Kikwete yataonekana baada ya muda si mrefu.
Mwinyi ni kipenzi cha Wakristo kwa unafik wake kama huu wa MoU na mengine na ndio maana tukaona anazabwa kibao mbele ya umma wa Kiislaam.
Wakristo leo hawana raha kabisa na Kikwete, kwanini? Kwa kuwa hafanyi mema? La hasha, ni kwa kuwa tu, anaua mfumo kristo scientifically na systematically kuanzia mashule na mpango kuchaguana mpaka misamaha ya kodi, na accessibility kwenye maeneo yenye Waislaam wengi.
Leo tunaona Kigoma, Tabora, Tanga, Kondoa, Mtwara accessibility inaongezeka kwa kuwekewa miundombinu mipya kabisa, hii ni mikoa iliyosahauka na awamu zote. Kwa hayo, tusitegemee hata siku moja "chaguo la Mungu" kuwa kipenzi cha Wakristo.
MoU tajwa ni moja tu kati ya muendelezo wa kukandamizwa Waislaam. Lakini Uislaam haufi, na hautetereki ndio kwanza inakuwa dini ya kwanza kwa kukuwa kwa kasi duniani.
Leo Waislaam ni wengi duniani kuliko wakatoliki. Kwanini? Kashfa za ngono na kuharibu watoto hususan wakiume kwa kanisa kikatoliki ni kawaida mpaka wikipedia wameweka page nzima ya hizo kashfa. Kanisa katoliki limeshahusishwa na mambo yote machafu duniani na ni ukweli usiopingika.
hiyo accessibility ya tabora iko wapi???? unajua ni miezi mingapi ndege hazitui katika uwanja wa ndege wa tabora??? train ina kwenda???? hivi ni nani aliyesema ni chaguo la Mungu??? naomba unikumbushe, then utajua kwamba allegation unazozitoa si sahihi