Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Kisa cha Waislaam kuwa mstari wa mbele kudai Uhuru na kuwa Waanzilishi wa harakati za kujikomboa, kuanzia kina Tipu Tipu, MajiMaji, Mkwawa, Mirambo, Mareale, Bushiri, Sykes na wengine wengi, ilikuwa katika kupigania haki za Waislaam na kupinga elimu za kanisa zilizokuwa zinalazimisha uingie ukristo ndio upate elimu. Cha kusikitisha ni pale Nyerere alipowageuka Waislaam na kuendeleza yaleyale ya wakoloni Sheikh Suleman Takadiri akamwambia waziwazi nyerere "wewe ni mdini". Haikupita muda nyerere akadhihirisha udini wake baada ya kuivunja EAMWS na kuanzisha chombo chake cha kuua Uislaam kinachitwa Bakwata.

Alipokuja Malima na kubadili mfumo wizara ya elimu akawa adui mkubwa wa wakristo.

Leo Kikwete anabadili mfumo scientifically, hakuna kwa sasa asilimia 78 ya wakiristo kwenda sekondari kama ilivyokuwa kabla ya Kikwete, na anawekeza kwenye vyuo vikuu ili kuhakikisha mfumo kandamizi kwa Waislaam unamalizika. Kwa hilo. Kikwete ni adui mkubwa wa Wakristo kwani wabajua matunda ya Kikwete yataonekana baada ya muda si mrefu.

Mwinyi ni kipenzi cha Wakristo kwa unafik wake kama huu wa MoU na mengine na ndio maana tukaona anazabwa kibao mbele ya umma wa Kiislaam.

Wakristo leo hawana raha kabisa na Kikwete, kwanini? Kwa kuwa hafanyi mema? La hasha, ni kwa kuwa tu, anaua mfumo kristo scientifically na systematically kuanzia mashule na mpango kuchaguana mpaka misamaha ya kodi, na accessibility kwenye maeneo yenye Waislaam wengi.

Leo tunaona Kigoma, Tabora, Tanga, Kondoa, Mtwara accessibility inaongezeka kwa kuwekewa miundombinu mipya kabisa, hii ni mikoa iliyosahauka na awamu zote. Kwa hayo, tusitegemee hata siku moja "chaguo la Mungu" kuwa kipenzi cha Wakristo.

MoU tajwa ni moja tu kati ya muendelezo wa kukandamizwa Waislaam. Lakini Uislaam haufi, na hautetereki ndio kwanza inakuwa dini ya kwanza kwa kukuwa kwa kasi duniani.

Leo Waislaam ni wengi duniani kuliko wakatoliki. Kwanini? Kashfa za ngono na kuharibu watoto hususan wakiume kwa kanisa kikatoliki ni kawaida mpaka wikipedia wameweka page nzima ya hizo kashfa. Kanisa katoliki limeshahusishwa na mambo yote machafu duniani na ni ukweli usiopingika.

hiyo accessibility ya tabora iko wapi???? unajua ni miezi mingapi ndege hazitui katika uwanja wa ndege wa tabora??? train ina kwenda???? hivi ni nani aliyesema ni chaguo la Mungu??? naomba unikumbushe, then utajua kwamba allegation unazozitoa si sahihi
 
1. Mou ilipo sainiwa raisi alikuwa muislamu kwa hiyo aliridhia. Kama mnaona alishauriwa vibaya na yeye akakubali basi hiyo inaonyesha weakness ya raisi mwinyi. Pia kama mdau mmoja alivyo sema raisi anauwezo wa kuvunja hiyo mou na hata jakaya kikwete nae ana uwezo huo wa kikatiba.

2. Mou kati ya kanisa na serikali si upendeleo kwa sababu taasisi za kiislamu hazija zuiwa kuwa na mou na serikali. Ni swala la wao tu kuongea na serijali.

3. Kama kweli waislamu wanaona mou kati ya kanisa na serikali ni haramu basi watangaze kwanzia leo kwamba hakuna muislamu atakae enda kwenye shule inayoendeshwa na kanisa (kuanzia chekechea mpaka chuo kikuu), hakuna muislamu atakae enda kupata huduma ya afya kwenye hospitali yoyote inayo endeshwa na kanisa na hakuna muislamu atakae tafuta huduma kwenye taasisi yoyote inayo endeshwa na kanisa. Kwa maana kupinga mou na kwenda kwenye shule za kanisa na kutibiwa kwenye hospitali za kanisa ni unafiki mkubwa.

Swali: Je kwa nini kila raisi anapo kuwa muislamu ghafla kuna ibuka baadhi ya waislamu wanao jifanya kuwa watetezi wakubwa wa uislamu? Raisi akiwa muislamu basi asifanye kosa akakemewa maana akikemewa basi mtasema anasemwa kwa vile muislamu. Kwa nini?

nimeamini kuwa wewe ni mwanafalsafa wa ukweli !!!!udumuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
tunako elekea kwenye hii topic ni kutukaniniana dini zetu hizi mbili, yameshaanza lakini mimi nataka kuwaambia kuwa wengi wetu tunaheshimiana na dini zetu wala hazitutenganishi. Yeyote yule anayetukana dini ya mwenzake basi sio muumini wa kweli bali ni mnafiki.
 
Kisa cha Waislaam kuwa mstari wa mbele kudai Uhuru na kuwa Waanzilishi wa harakati za kujikomboa, kuanzia kina Tipu Tipu, MajiMaji, Mkwawa, Mirambo, Mareale, Bushiri, Sykes na wengine wengi, ilikuwa katika kupigania haki za Waislaam na kupinga elimu za kanisa zilizokuwa zinalazimisha uingie ukristo ndio upate elimu.

Mpendwa,
Nakuheshimu sana kwenye michango yako.Lakini nataka tutofautiana nawe kwenye bold hapo juu.Hao akina Mkwawa, Mirambo na hasa Marealle hawakuamini dini za kigeni ikiwemo hiyo ya kiislamu hivyo hauko sahihi kuwa lump hao wote kama waislam.Walikuwa na dini zao za jadi na tuliheshimu hilo. Tuepuke kugawa watu kwa makundi ya "wakristo na Waislam" maana siyo kila mtu anajiweka humo.Imani na dini za jadi nazo zipewe heshima yake.
 
Kisa cha Waislaam kuwa mstari wa mbele kudai Uhuru na kuwa Waanzilishi wa harakati za kujikomboa, kuanzia kina Tipu Tipu, MajiMaji, Mkwawa, Mirambo, Mareale, Bushiri, Sykes na wengine wengi, ilikuwa katika kupigania haki za Waislaam na kupinga elimu za kanisa zilizokuwa zinalazimisha uingie ukristo ndio upate elimu. Cha kusikitisha ni pale Nyerere alipowageuka Waislaam na kuendeleza yaleyale ya wakoloni Sheikh Suleman Takadiri akamwambia waziwazi nyerere "wewe ni mdini". Haikupita muda nyerere akadhihirisha udini wake baada ya kuivunja EAMWS na kuanzisha chombo chake cha kuua Uislaam kinachitwa Bakwata.

Alipokuja Malima na kubadili mfumo wizara ya elimu akawa adui mkubwa wa wakristo.

Leo Kikwete anabadili mfumo scientifically, hakuna kwa sasa asilimia 78 ya wakiristo kwenda sekondari kama ilivyokuwa kabla ya Kikwete, na anawekeza kwenye vyuo vikuu ili kuhakikisha mfumo kandamizi kwa Waislaam unamalizika. Kwa hilo. Kikwete ni adui mkubwa wa Wakristo kwani wabajua matunda ya Kikwete yataonekana baada ya muda si mrefu.

Mwinyi ni kipenzi cha Wakristo kwa unafik wake kama huu wa MoU na mengine na ndio maana tukaona anazabwa kibao mbele ya umma wa Kiislaam.

Wakristo leo hawana raha kabisa na Kikwete, kwanini? Kwa kuwa hafanyi mema? La hasha, ni kwa kuwa tu, anaua mfumo kristo scientifically na systematically kuanzia mashule na mpango kuchaguana mpaka misamaha ya kodi, na accessibility kwenye maeneo yenye Waislaam wengi.

Leo tunaona Kigoma, Tabora, Tanga, Kondoa, Mtwara accessibility inaongezeka kwa kuwekewa miundombinu mipya kabisa, hii ni mikoa iliyosahauka na awamu zote. Kwa hayo, tusitegemee hata siku moja "chaguo la Mungu" kuwa kipenzi cha Wakristo.

MoU tajwa ni moja tu kati ya muendelezo wa kukandamizwa Waislaam. Lakini Uislaam haufi, na hautetereki ndio kwanza inakuwa dini ya kwanza kwa kukuwa kwa kasi duniani.

Leo Waislaam ni wengi duniani kuliko wakatoliki. Kwanini? Kashfa za ngono na kuharibu watoto hususan wakiume kwa kanisa kikatoliki ni kawaida mpaka wikipedia wameweka page nzima ya hizo kashfa. Kanisa katoliki limeshahusishwa na mambo yote machafu duniani na ni ukweli usiopingika.
Siwezi kuwaongelea watemi wengine ,kwa mirambo nachojua alikuwa hana dini,lakini katika melezo yako umemuweka kundi la waislamu,kulikoni?je unaweza kufafanua zaidi!!
 
MoU yako hii hapa:

watu walisema ni uvumi tuu haipo , na wakataka ushahidi sasa wenye kubisha wakashindwa la kubisha

ttp://www.jamiiforums.com/jamii-intelligence/32562-mou-kati-ya-serikali-na-kanisa-katoliki-19.html#post2275059

maendeleo hayawezi kuletwa kwa kutegesha upande huu umefanya nini na upande wa pili unaanza kulalamika, just do the same, provide the much needed service ie education and health, any sensible government will support you without hesitation or limitation
 
Wale wanaoiponda Serikali ya CCM siku zote kwa hili wanaisifu na hata Lowassa kawa mwema. Na mwinyi ndio mwema sana kwao. Jee, hili ndilo linamfanya Mwinyi apendwe? Na jee hili ni moja katika mambo yaliopelekea akazabwa kibao Diamond?

To me naoiogopa sana hii imani isiyopenda amani. Na siku zote mtu anayepigania maslahi ya imani yake kwa kumuumiza mtu mwingine badala ya kumuombea namuona ni mtu wa hovyohovyo tu. Mungu anisaidia ninawadharau sana hawa watu jamii ya Alqaida
 
Nimefuatilia mjadala huu sijaona kifungu cha katiba kilichovunjwa, na ktk posti ya kwanza sijaona mahali panaposema serikali inatoa hela yake. Haya makubaliano yanayohusu huduma za afya na elimu, mfano kuhusu afya yanagusa hospitali kama: Bugando, KCMC, Ndanda, Peramiho, Mpigi, DDH, Shirati, Nkinga (hii sina hakika kama iko kwenye huo mpango maana ni ya FPCT), na nyingine nyingi, na tulinganishe na MoU aliyosaini kikwete akiwa waziri kati ya serikali na ile kampuni ya Malaysia iliyozaa IPTL, ni ipi ina faida kwa uma na ipi inaifukarisha nchi hii? Ni ipi ingefaa watanganyika wawawajibishe wahusika???
 
jee katiba ganiunayosema?
 
Faiza,katika mengi uliyosema kuna ukweli na uongo,inawezekana huo uongo umeusema bila kujua,kwanza sio kweli uislam ni dini namba moja kwa ukuaji duniani,hili sitalizungumzia kwani muda sio mrefu litazua matatizo!Lingine ni kuhusu Rais Kikwete na uislam,kila kona kuna kelele za kumlaumu rais kuwa anapendelea ukristo na kuutumikia mfumo Kristo!Hebu tuambie namna anavyopingana na huo mfumo Kristo kama unavyodai maana wapo waislam wanamuona kama adui yao!
 
Hili mbona rahisi sana, kama kweli watu wanaamini kuna sheria imevunjwa na hasa Katiba si wapo wasomi, wafungue kesi kutaka serikali ivunje haya makubaliano. As simple as that. Na kama kesi ni ngumu wanaweza kumwambia Kikwete atangaze kufuta hayo makubaliano. Wala halitachukua muda. Kwanini, usitumwe ujumbe wa Waislamu kumpa ultimatum Kikwete kuwa serikali yake ivunje hayo makubaliano vinginevyo kutakuwa na maandamano or something.. Najua atakubali tu and everybody will be happy.
 
Ma Mod mkishikwa patam mnachakachuwa mnaonesha vipi mko immature.
 
Kisa cha Waislaam kuwa mstari wa mbele kudai Uhuru na kuwa Waanzilishi wa harakati za kujikomboa, kuanzia kina Tipu Tipu, MajiMaji, Mkwawa, Mirambo, Mareale, Bushiri, Sykes na wengine wengi, ilikuwa katika kupigania haki za Waislaam na kupinga elimu za kanisa zilizokuwa zinalazimisha uingie ukristo ndio upate elimu. Cha kusikitisha ni pale Nyerere alipowageuka Waislaam na kuendeleza yaleyale ya wakoloni Sheikh Suleman Takadiri akamwambia waziwazi nyerere "wewe ni mdini". Haikupita muda nyerere akadhihirisha udini wake baada ya kuivunja EAMWS na kuanzisha chombo chake cha kuua Uislaam kinachitwa Bakwata.

Alipokuja Malima na kubadili mfumo wizara ya elimu akawa adui mkubwa wa wakristo.

Leo Kikwete anabadili mfumo scientifically, hakuna kwa sasa asilimia 78 ya wakiristo kwenda sekondari kama ilivyokuwa kabla ya Kikwete, na anawekeza kwenye vyuo vikuu ili kuhakikisha mfumo kandamizi kwa Waislaam unamalizika. Kwa hilo. Kikwete ni adui mkubwa wa Wakristo kwani wabajua matunda ya Kikwete yataonekana baada ya muda si mrefu.

Mwinyi ni kipenzi cha Wakristo kwa unafik wake kama huu wa MoU na mengine na ndio maana tukaona anazabwa kibao mbele ya umma wa Kiislaam.

Wakristo leo hawana raha kabisa na Kikwete, kwanini? Kwa kuwa hafanyi mema? La hasha, ni kwa kuwa tu, anaua mfumo kristo scientifically na systematically kuanzia mashule na mpango kuchaguana mpaka misamaha ya kodi, na accessibility kwenye maeneo yenye Waislaam wengi.

Leo tunaona Kigoma, Tabora, Tanga, Kondoa, Mtwara accessibility inaongezeka kwa kuwekewa miundombinu mipya kabisa, hii ni mikoa iliyosahauka na awamu zote. Kwa hayo, tusitegemee hata siku moja "chaguo la Mungu" kuwa kipenzi cha Wakristo.

MoU tajwa ni moja tu kati ya muendelezo wa kukandamizwa Waislaam. Lakini Uislaam haufi, na hautetereki ndio kwanza inakuwa dini ya kwanza kwa kukuwa kwa kasi duniani.

Leo Waislaam ni wengi duniani kuliko wakatoliki. Kwanini? Kashfa za ngono na kuharibu watoto hususan wakiume kwa kanisa kikatoliki ni kawaida mpaka wikipedia wameweka page nzima ya hizo kashfa. Kanisa katoliki limeshahusishwa na mambo yote machafu duniani na ni ukweli usiopingika.
Aise! Sasa kama Waislam ni wengi duniani , uislam unakuwa kwa kasi san sasa unalalamikia nini?? umeniacha hoi kwenye issue ya mashule na mpango wa kuchaguana! One thing... Kikwete wala hawasaidii waislam...anachofanya ni kuwatumia tu kama condom ...akishapiga bao anaitupa tu! Poleni sana wandugu mwenzenu(Mkw.ere) anakula bata na ndugu zake nyinyi mnajazana huko kwenye internet za madrassa kushambilia ukristo!
 
Kisa cha Waislaam kuwa mstari wa mbele kudai Uhuru na kuwa Waanzilishi wa harakati za kujikomboa, kuanzia kina Tipu Tipu, MajiMaji, Mkwawa, Mirambo, Mareale, Bushiri, Sykes na wengine wengi, ilikuwa katika kupigania haki za Waislaam na kupinga elimu za kanisa zilizokuwa zinalazimisha uingie ukristo ndio upate elimu. Cha kusikitisha ni pale Nyerere alipowageuka Waislaam na kuendeleza yaleyale ya wakoloni Sheikh Suleman Takadiri akamwambia waziwazi nyerere "wewe ni mdini". Haikupita muda nyerere akadhihirisha udini wake baada ya kuivunja EAMWS na kuanzisha chombo chake cha kuua Uislaam kinachitwa Bakwata.

Alipokuja Malima na kubadili mfumo wizara ya elimu akawa adui mkubwa wa wakristo.

Leo Kikwete anabadili mfumo scientifically, hakuna kwa sasa asilimia 78 ya wakiristo kwenda sekondari kama ilivyokuwa kabla ya Kikwete, na anawekeza kwenye vyuo vikuu ili kuhakikisha mfumo kandamizi kwa Waislaam unamalizika. Kwa hilo. Kikwete ni adui mkubwa wa Wakristo kwani wabajua matunda ya Kikwete yataonekana baada ya muda si mrefu.

Mwinyi ni kipenzi cha Wakristo kwa unafik wake kama huu wa MoU na mengine na ndio maana tukaona anazabwa kibao mbele ya umma wa Kiislaam.

Wakristo leo hawana raha kabisa na Kikwete, kwanini? Kwa kuwa hafanyi mema? La hasha, ni kwa kuwa tu, anaua mfumo kristo scientifically na systematically kuanzia mashule na mpango kuchaguana mpaka misamaha ya kodi, na accessibility kwenye maeneo yenye Waislaam wengi.

Leo tunaona Kigoma, Tabora, Tanga, Kondoa, Mtwara accessibility inaongezeka kwa kuwekewa miundombinu mipya kabisa, hii ni mikoa iliyosahauka na awamu zote. Kwa hayo, tusitegemee hata siku moja "chaguo la Mungu" kuwa kipenzi cha Wakristo.

MoU tajwa ni moja tu kati ya muendelezo wa kukandamizwa Waislaam. Lakini Uislaam haufi, na hautetereki ndio kwanza inakuwa dini ya kwanza kwa kukuwa kwa kasi duniani.

Leo Waislaam ni wengi duniani kuliko wakatoliki. Kwanini? Kashfa za ngono na kuharibu watoto hususan wakiume kwa kanisa kikatoliki ni kawaida mpaka wikipedia wameweka page nzima ya hizo kashfa. Kanisa katoliki limeshahusishwa na mambo yote machafu duniani na ni ukweli usiopingika.

Faiza Foxy, umejitahidi sana kutoa maelezo ukiamini kuwa unamjenga Kikwete kumbe umembomoa sana, unamonyesha Kikwete kwamba ni mtu aliyeingia madarakani akiwa na agenda ya kutoa upendeleo kwa waisalam na kuuangamiza ukristo.Na Faiza una chuki kubwa sana na ukristo kiasi ungetamani wakrsto wote duniani wafe mubakie waisalamu peke yenu.
 
Sasa mlitaka MoU iingiwe na nani? BAKWATA? BALUKTA? ANSWAR SUNNA ya kina foxy????? Hawa si wako busy kupigania misikiti kubishana tarehe ya kusheherekea idd na wakijitahidi saaana wanajenga madrassa!! Mnataka kukumbuka shuka kumeshakucha!! Too late. Watu wamewekeza mali za Trillions of money waendelee kukaa kizembe ili zichukuliwe tena kama Nyerere alivyofanya kuwasaidia waislamu badala yake kina faiza ambao najua wamesoma shule za kikristu wanaendelea kumtusi?? Toeni hoja acha kubwabwaja MoU safiii!!!!!
 
FF na Haki! Ndugu zangu mpo wrong sana, Serikali ya Jamhur ya Tanzania haitoi pesa kwa Mashirika ya dini ya kikristo au makanisa, na hayo mashrika ya kikristo yanajiendesha yenyewe au kupata misaada toka nje ktk networks zao ambazo hazina mkono wa serikali na wala sio pia kwa mzigo wa loans. Tuache ushabiki na ulalamishi usio na maana na wenye kuleta chokochoko, tukae chini tuijenge nchi hii ndugu zangu.

Askofu Mkuu wa Jimbo la Dar es Salaam enzi za ukoloni wa Ujerumani, Askofu Cassian Spiss aliwaambia Wajerumani, msiwape elimu Waislamu. Na ikawa amri. Tazama Tanganyika Notes and Records No. 62/63, 1964. Kwa historia hiyo hiyo kujirudia kuwa kauli ya Kardinali au Askofu kwa serikali ni amri takatifu, hatushangai. Wakati wa utawala wake, Rais, Alhaj Ali Hassan Mwinyi hakupuuza historia hiyo. Aliiendeleza; alimleta Pope, akaamrisha nguvu zote za dola ziwaangukie wale wanaowabughudhi wanaofuga nguruwe na kuweka bucha za nyama hiyo hadi kwenye vibaraza vya Misikiti.
Pia akaleta 'Memorundum of Understanding' ambapo sasa, serikali inawajibu wa kuzipa mabilioni ya fedha hospitali za Kanisa, kuyatafutia makanisa misaada na kuwapa upendeleo katika kusomesha wataalamu wao.
Lakini wakati akifanya yote hayo, kiongozi huyo wa awamu ya pili hakupuuza shinikizo la Maaskofu kwamba hakuna 'rukhsa' Tanzania kujiunga na OIC! Si hivyo tu, viongozi hao pamoja na kuujua ukweli huo wa "kihistoria" unaowanyima Waislamu haki ya kujiunga na OIC, kuvunja jumuiya zao na kufisadi mali zao za Wakfu, baadae hugeuka na kuwalaumu Waislamu eti hawana dira wala mipango ya kuendeleza jamii yao. Wakati mwingine kuwaambia Waislamu kuwa "wenzenu" wanaletewa misaada na "ndugu zao toka nje, nyie mbona hawaji kukujengeeni mahospitali makubwa". Mtadhani hawajui kuwa OIC ndio iliyotaka kuleta mahospitali hayo!

Soma zaidi:
An-nuur Na. 237

hiyo accessibility ya tabora iko wapi???? unajua ni miezi mingapi ndege hazitui katika uwanja wa ndege wa tabora??? train ina kwenda???? hivi ni nani aliyesema ni chaguo la Mungu??? naomba unikumbushe, then utajua kwamba allegation unazozitoa si sahihi

[TD="width: 19%"]
1394.jpg
[/TD]
[TD="width: 81%"] Answer From Hon. Mwakyembe, Dr. Harrison George
WORKS[/TD]
NAIBU WAZIRI alijibu:-

Mheshimiwa Spika, kwa niaba ya Waziri wa Ujenzi, napenda kujibu swali la Mheshimiwa Ismail Aden Rage, Mbunge wa Tabora Mjini, kama ifuatavyo:-

Mheshimiwa Spika, Wizara ya Ujenzi tayari imesaini mikataba ya jumla ya shilingi bilioni 443.25 na Makandarasi mbalimbali kwa ajili ya ujenzi wa Barabara za Nzega � Tabora, Tabora � Urambo na Tabora � Nyahua kwa kiwango cha lami. Miradi yote inajengwa kwa kutumia fedha za ndani kama ifuatavyo:-

Mheshimiwa Spika, Nzega � Puge (Km 56.1): Mkandarasi ni Kampuni ya China Communications Construction Co. Ltd. Gharama za Mradi ni shilingi bilioni 66.74 na muda wa utekelezaji ni miezi 27.

Mheshimiwa Spika, Puge � Tabora (Km 58.8): Mkandarasi ni Kampuni ya China Sinohydro Corporation Ltd ya China. Gharama za Mradi ni shilingi bilioni 62.74 na muda wa utekelezaji ni miezi 26.

Mheshimiwa Spika, Tabora � Ndono (Km 42): Mkandarasi ni Kampuni ya China Henan International Group Co. Ltd ya China. Gharama za Mradi ni shilingi bilioni 53.35 na muda wa utekelezaji ni miezi 20.

Mheshimiwa Spika, Ndono � Urambo (Km 51.98) Mkandarasi ni Kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation Ltd ya China. Gharama za Mradi ni shilingi bilioni 59.76 na muda wa utekelezaji ni miezi 24.

Mheshimiwa Spika, Matonyi � Itigi � Chaya (Km 89.4): Mkandarasi ni Kampuni ya Sinohydro Corporation Ltd ya China. Gharama za Mradi ni shilingi bilioni 109.64 na muda wa utekelezaji ni miezi 36.

Mheshimiwa Spika, Chaya � Nyahua (Km 90): Usanifu umekamilika. Serikali inaendelea kutafuta fedha kwa ajili ya ujenzi wa barabara hii.

Mheshimiwa Spika, Nyahua � Tabora (Km 85): Mkandarasi ni Kampuni ya Chogqing Foreign Trade and Economic Cooperation (Group) Co. Ltd ya China, gharama za Mradi ni shilingi bilioni 93.40 na muda wa utekelezaji ni miezi 36.

Mheshimiwa Spika, bila shaka Mheshimiwa Mbunge na Wananchi wa Tabora, watakubaliana na mimi kwamba, Serikali ya Awamu ya Nne, imechukua hatua kubwa katika kukabiliana na changamoto za miundombinu ya barabara Mkoani Tabora.
Parliament of Tanzania
 
nimekupata mkuu, ni kweli kwamba kipindi hicho rais alikua muislam na ndio sababu kanisa likaona nivyema kusign MoA ili kujihakikisha taasisi zake zinaendelea kupata ruzuku toka serikalini. Hapa ina mana kipindi cha nyerere walikua wanajichotea tu. Ukweli ndio huo.

Well Said
 
Back
Top Bottom