WC,
Acha kusema uongo ndugu hospitali za Tanzania zinahudumia watanzania but WATANZANIA WANALIPIA HUDUMA HIZO KWA FEDHA ZAO. Tuambie hospitali gani au shule inatoa huduma bure kwasababu ya kodi zetu twende tukasome na kusomesha watoto wetu na kutibiwa pia. Kama ni kigezo cha kutoa huduma kwa watanzania wote mbona private hospitals kama Burhani, Aga Khan, Tumaini, hazipati hiyo misaada??? Mbona shule za watu binafsi kama Al-Muntazir, Al-Haramayn, Kinondoni, Feza, Loyola, JKT Mgulani, Mbezi Sec. Hazipati misaada hiyo. WHAT IS SO SPECIAL NA SHULE ZA MAKANISA NA HOSPITALI ZA MAKANISA HADI WAGAIWE BILIONI 91!!!!!. Jibu utalipata ni mirija ya kupeleka hela makanisani mwenu kuhudumia kanisa huu ni ufisadi na wizi period!!! Tupeni ruhusa basi tuje kuwafanyia auditing matumizi yetu ya pesa kuanzia 1992-leo na ile misamaha yetu ya kodi mmeitumiaje?