Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Nimesema mara kadhaa hapo kabla kwamba sisi wakurya tulikuwa nyuma sana kielimu, sababu mojawapo ilikuwa ni mila na tamaduni zetu.

Lakini tulipogundua kwamba kwa mazingira ya sasa, hatuna budi kubadilika na kutilia mkazo elimu, hatukutafuta mchawi.

Tulianza kupambana kwa kujenga mashule na kuhamasisha vijana wetu wasome, na sasahivi kila mzazi anataka mtoto wake asome, tena wengi sasahivi ukiwauliza watakwambia wangependa watoto wao wasome hadi vyuo vikuu. Tembelea vyuo vikuu, shule za sekondari (Kidato cha tano na sita) uone idadi ya watoto wa kikurya wanavyochangamkia shule. Shule za kata tulijenga kabla hata lowasa na JK hawajaanza kuhamasisha.

Bila waislamu wenyewe kuchukua hatua, wataendelea kulalamika hivi hivi miaka nenda rudi.
Wanataka VITIMAALUM na NAFASI MAALUM kila mahali. Haya mambo wanayaweza CCM. Sasa hivi Spika amepatikana kwa mtindo huo baada ya Mh Sitta kushindwa kuibadili jinsia yake dakika za mwisho. Tuwaombe tena Spika ajae awe MWISLAMU.
 
Vyuo Vikuu vyote na Hospitali zote zinahudumia WATANZANIA WOTE bila ubaguzi. Ufadhili ni jambo la kawaida kwa asiye mwizi au fisadi. Hata familia tunaziendesha kwa ufadhili wakati mwingine.

WC,

Acha kusema uongo ndugu hospitali za Tanzania zinahudumia watanzania but WATANZANIA WANALIPIA HUDUMA HIZO KWA FEDHA ZAO. Tuambie hospitali gani au shule inatoa huduma bure kwasababu ya kodi zetu twende tukasome na kusomesha watoto wetu na kutibiwa pia. Kama ni kigezo cha kutoa huduma kwa watanzania wote mbona private hospitals kama Burhani, Aga Khan, Tumaini, hazipati hiyo misaada??? Mbona shule za watu binafsi kama Al-Muntazir, Al-Haramayn, Kinondoni, Feza, Laureate, JKT Mgulani, Mbezi Sec. Hazipati misaada hiyo. WHAT IS SO SPECIAL NA SHULE ZA MAKANISA NA HOSPITALI ZA MAKANISA HADI WAGAIWE BILIONI 91!!!!!. Jibu utalipata ni mirija ya kupeleka hela makanisani mwenu kuhudumia kanisa huu ni ufisadi na wizi period!!! Tupeni ruhusa basi tuje kuwafanyia auditing matumizi yetu ya pesa kuanzia 1992-leo na ile misamaha yetu ya kodi mmeitumiaje?
 
WC,

Acha kusema uongo ndugu hospitali za Tanzania zinahudumia watanzania but WATANZANIA WANALIPIA HUDUMA HIZO KWA FEDHA ZAO. Tuambie hospitali gani au shule inatoa huduma bure kwasababu ya kodi zetu twende tukasome na kusomesha watoto wetu na kutibiwa pia. Kama ni kigezo cha kutoa huduma kwa watanzania wote mbona private hospitals kama Burhani, Aga Khan, Tumaini, hazipati hiyo misaada??? Mbona shule za watu binafsi kama Al-Muntazir, Al-Haramayn, Kinondoni, Feza, Loyola, JKT Mgulani, Mbezi Sec. Hazipati misaada hiyo. WHAT IS SO SPECIAL NA SHULE ZA MAKANISA NA HOSPITALI ZA MAKANISA HADI WAGAIWE BILIONI 91!!!!!. Jibu utalipata ni mirija ya kupeleka hela makanisani mwenu kuhudumia kanisa huu ni ufisadi na wizi period!!! Tupeni ruhusa basi tuje kuwafanyia auditing matumizi yetu ya pesa kuanzia 1992-leo na ile misamaha yetu ya kodi mmeitumiaje?
Sijasema zinahudumia WATANZANIA "BURE" ila hazibagui. Ukienda Bugando kusoma au kutibiwa hauulizwi DINI yako. Misamaha mingi ya kodi wanayopata inatokana na vifaa wanavyoagiza nje kwa ajili ya miradi hii. Hivi hata Loyola haujui ni ya nani?
 
Sorry sio Loyola bali Laureate mfupa hauna ulimi. Asante kwa kunizindua nilikuwa naandika haraka haraka leo niko busy kidogo.

Sasa kama tunalipia huduma what the hell is Tshs 91 Billion for???? Wale walioanzisha private hospitals, shule wao wanasurvive vp?
 
Mnalipa gharama HALISI za tiba hiyo? Mnaweza?
 
Kumbe zile sio gharama halisi? Labda nikuulize swali kama zile sio gharama halisi basi maswali yanazidi kuongezeka inakuwaje gharama za hospitali katika hospitali za makanisa ni za juu kuliko gharama za hospitali ya privates? Mfano pale TMJ? Au Ada za shule za makanisa ziko juu sana kushinda ada ya shule za privates nyenginezo? Hebu tupatie mwangaza zaidi.

Maana kama pesa za kuendesha hospitali na shule wanapewa na serikali, serikali inawapa misamaha ya kodi bado cha juu watanzania wanatozwa katika gharama YAANI KWA UFUPI KANISA LINATENGENEZA SUPERNORMAL PROFITS. Ndio maana makanisa ya pesa nazidi kuona mwangaza zaidi kwani hata mimi ningelikuwa nafanya biashara hii ningelipata faida sana. Kuendesha shule nalipiwa na serikali, mishahara ya wafanyakazi serikali inalipa, kodi silipi kazi yangu kula bata tu na faida. Duh!
 
Sorry sio Loyola bali Laureate mfupa hauna ulimi. Asante kwa kunizindua nilikuwa naandika haraka haraka leo niko busy kidogo.

Sasa kama tunalipia huduma what the hell is Tshs 91 Billion for???? Wale walioanzisha private hospitals, shule wao wanasurvive vp?

Nakwambia hawa jamaa kwa kutetea ufisadi wa kanisa

Hivi wewe (private company) ukipewa bil. huwezi kutoa huduma why shirika la kanisa kupewa fedha za umma? unaudited

Besides, kwani tunapoenda kupata huduma kwenye private company tunaulizwa dini?

Unajua kule Muheza Hospital (pamoja na ruzuku) kwanza ni expensive sana kw mtanzania, pili kuna picha za a.k.a sanamu ya yesu na misalaba kwenye vitand..what for?

Jamaa wanaendekeza udini sana
 
Kumbe zile sio gharama halisi? Labda nikuulize swali kama zile sio gharama halisi basi maswali yanazidi kuongezeka inakuwaje gharama za hospitali katika hospitali za makanisa ni za juu kuliko gharama za hospitali ya privates? Mfano pale TMJ? Au Ada za shule za makanisa ziko juu sana kushinda ada ya shule za privates nyenginezo? Hebu tupatie mwangaza zaidi.

Maana kama pesa za kuendesha hospitali na shule wanapewa na serikali, serikali inawapa misamaha ya kodi bado cha juu watanzania wanatozwa katika gharama YAANI KWA UFUPI KANISA LINATENGENEZA SUPERNORMAL PROFITS. Ndio maana makanisa ya pesa nazidi kuona mwangaza zaidi kwani hata mimi ningelikuwa nafanya biashara hii ningelipata faida sana. Kuendesha shule nalipiwa na serikali, mishahara ya wafanyakazi serikali inalipa, kodi silipi kazi yangu kula bata tu na faida. Duh!
TMJ ni ya kanisa gani? Hospitali za makanisa zilizoteuliwa na serikali kama hospitali tuele kama DDHs, Bugando, KCMC ndizo zinazopata ruzuku hii kwa utaratibu maalum. Sasa hivi kazi hiyo inaachiwa NHIF nadhani. Watu wa afya wako humu watatusaidia. La shule unaongopa.
 
Utararibu maalum wa trillion za umma (unaudited) ndio utaratibu gani mkuu? kwanini uwe maalum na usiwe wazi na kwa wote..

Ruzuku inaenda kwenye vyuo vya elimu na hospitali bado mnalipisha wananchi bei kubwa kupita bei ya serikali why?

Hamuwezi kuona dhulma vile tu inafanywa kanisa ni ugonjwa au udini kama wa babu yenu??
 
.........

Acha kusema uongo ndugu hospitali za Tanzania zinahudumia watanzania but WATANZANIA WANALIPIA HUDUMA HIZO KWA FEDHA ZAO. Tuambie hospitali gani au shule inatoa huduma bure kwasababu ya kodi zetu twende tukasome na kusomesha watoto wetu na kutibiwa pia.
Kaweye hospitali tofauti ya gharam inajulikana . Kinacholipwa ni kidogo sana . Wewe na ffmili yako kama mna uwezo wa kulipia gahama halisi i kama za Hindu mandal basi elewa ni 2 katika ya watanzania 10.

Kama ni kigezo cha kutoa huduma kwa watanzania wote mbona private hospitals kama Burhani, Aga Khan, Tumaini, hazipati hiyo misaada???
Wakitaka kupata misaada wanaweza . Hawajaamua tu. Labda wanaogopa masharti ya serikali. Tena kama aghakan sema yeye anajua kundi analokususidia kwenye hospitali zake ndio maana hataki msaada. Official communication inakwenda kwa document. Ndio maana hata JK aliwaambia andikeni. Tatizo la taisis zenu linkuj kwenye umiliki. Kitu kinamilikiwa na tu binfsi anataka atumie dini. Hii waislama inabidi mliangalie Organisation structure ya taasisi zenu. Ebu tutajie mtu au director anayehusika na elimu dunia au director anayehusika na mambo afy kwa Waislam. Nyie wasomi washurini viongozi wenu wa kidini waweke structure ityowasadai kupata input za kitaalam na twene kule tunapotaka .

Mbona shule za watu binafsi kama Al-Muntazir, Al-Haramayn, Kinondoni, Feza, Loyola, JKT Mgulani, Mbezi Sec. Hazipati misaada hiyo
Hata Rubya, makoko, sengerema, visiga, Uru na semianry nyingine hazipokei hata senti ya msaada

WHAT IS SO SPECIAL NA SHULE ZA MAKANISA NA HOSPITALI ZA MAKANISA HADI WAGAIWE BILIONI 91!!!!!.
Hakuna special only labda zina watu wanaojua kufanya kazi proffesinally. Ndio maana hat semeanry zenyewe kuna nyingine zinapefomr vibaya n kuna nyingine zina perform vizuri. Katika elimu jambo la msingi ni NIDHAMU .

Jibu utalipata ni mirija ya kupeleka hela makanisani mwenu kuhudumia kanisa huu ni ufisadi na wizi period!!! Tupeni ruhusa basi tuje kuwafanyia auditing matumizi yetu ya pesa kuanzia 1992-leo na ile misamaha yetu ya kodi mmeitumiaje?

Na je utafanya Auditing ya nini hasa? Na kama ni auditing zinafanyika . Kufany audting hosptali sio issue. Auiting infanyika na zinfnnyika klingna na sheria za kifeha, aawa na hospitali zinazotumika. pesa ya serikali lazmaiwe accunted for na hata kuwa audited.

Hospitali ya kanisa na kanisa ni vitu viwili tofauti. Unaweza kushindwa ufanya Auiting ya Kanisa au Msiikti lakini Audting ya hospitali ya kanisa au shule zinafanyika.
 
Utararibu maalum wa trillion za umma (unaudited) ndio utaratibu gani mkuu? kwanini uwe maalum na usiwe wazi na kwa wote..

Ruzuku inaenda kwenye vyuo vya elimu na hospitali bado mnalipisha wananchi bei kubwa kupita bei ya serikali why?

Hamuwezi kuona dhulma vile tu inafanywa kanisa ni ugonjwa au udini kama wa babu yenu??

Muislamu mwenzenu kikwete ameshawaambia kwamba na nyie pelekeni proposal mtapata ruzuku. Sasa kwakuwa hamna hospitali mliyojenga mnaishia kulalamika tuu kila siku badala ya kujipanga mjenge hospitali faster nanyi muwe na MoU yenu.
 
Mwita,
Sasa hivi NHIF inatumia hata baadhi ya zahanati zao. Hospitali kubwa hawana. MfumoKristo uliwazuia kujenga!!
 
Nyerere alipopata uongozi akaanza kudhulumu watanganyika wenzake waislamu kama alivyo fanya waingereza

Nyerere alipopata dhamana akaanza kuwapa previlege wakristo wenzake kama alivyofanya mwingereza

Mwingereza rule =nyerere rule

Msipobadilika na kuanza mikakati ya makusudi ya kujinasua na umasikini na kuacha kuikumbatia ccm, mtaishia kulalamika hivi hivi miaka nenda rudi.

We subiri tu uchaguzi ujao wa 2015, ccm wanakuja na manifesto ya kujiunga na OIC ili muendelee kuwapigia kura halafu mnakuja JF kulalamika badala ya kujenga mashule, mahospitali na vyuo vikuu ili waislamu wenzenu wajikomboe kielimu ili "vita" mnayotaka kupigana ifanikiwe.

Askari wa kiislamu wanapotumiwa na wajerumani kupambana na muislamu mwenzao hiyo ni zaidi ya usaliti, na hata mwenzenu mmoja wa hapa JF kawaambia kuwa ninyi ni wanafiki, ndio sababu hamfanikiwi. Jengeni mashule na msomeshe ndugu zenu ili muweze kuwa na nguvu ya kufahamu kwamba adui yenu namba moja ni ccm. Sasa ajabu ni kwamba wale mliofanikiwa kupiga umande mnaendelea kuwatumia wenzenu kwa faida yenu wenyewe badala ya kuwasaidia kujikwamua.
 
Kaweye hospitali tofauti ya gharam inajulikana . Kinacholipwa ni kidogo sana . Wewe na ffmili yako kama mna uwezo wa kulipia gahama halisi i kama za Hindu mandal basi elewa ni 2 katika ya watanzania 10.

=Hivyo hakuna sababu ya kupewa ruzuku ya serikali ikawa bei zenu hazitakuwa sawa na hospitali ya serikali huo ni unyonyaji na ufisadi kupitia kanisani

Wakitaka kupata misaada wanaweza . Hawajaamua tu. Labda wanaogopa masharti ya serikali. Tena kama aghakan sema yeye anajua kundi analokususidia kwenye hospitali zake ndio maana hataki msaada. Official communication inakwenda kwa document. Ndio maana hata JK aliwaambia andikeni. Tatizo la taisis zenu linkuj kwenye umiliki. Kitu kinamilikiwa na tu binfsi anataka atumie dini. Hii waislama inabidi mliangalie Organisation structure ya taasisi zenu. Ebu tutajie mtu au director anayehusika na elimu dunia au director anayehusika na mambo afy kwa Waislam. Nyie wasomi washurini viongozi wenu wa kidini waweke structure ityowasadai kupata input za kitaalam na twene kule tunapotaka .

= Swala si kuwahi kupata au kutopata je ni haki pesa za umma kwenda kanisani? besides nani aliyekwambia hakuna structure. structure zipo na maombi yamepelekwa na serikali (mfumo kristo lazima ije na hizo excuses kama ambavyo wanfanya kwa OIC, mahakama ya kadhi and so many other request made related to muslims
Hata Rubya, makoko, sengerema, visiga, Uru na semianry nyingine hazipokei hata senti ya msaada

=ok the same mus applies to all church instutions
Hakuna special only labda zina watu wanaojua kufanya kazi proffesinally. Ndio maana hat semeanry zenyewe kuna nyingine zinapefomr vibaya n kuna nyingine zina perform vizuri. Katika elimu jambo la msingi ni NIDHAMU .

=No problem

Na je utafanya Auditing ya nini hasa? Na kama ni auditing zinafanyika . Kufany audting hosptali sio issue. Auiting infanyika na zinfnnyika klingna na sheria za kifeha, aawa na hospitali zinazotumika. pesa ya serikali lazmaiwe accunted for na hata kuwa audited.

Hospitali ya kanisa na kanisa ni vitu viwili tofauti. Unaweza kushindwa ufanya Auiting ya Kanisa au Msiikti lakini Audting ya hospitali ya kanisa au shule zinafanyika.

=Auditing haipo ndio maana hakuna kamati ya bunge inayofanya kazi hiyo kuangalia kama fedha za umma hazitumiki kununulia rozari na kulipia mishahara sisters and padres..
 
Mwita,
Sasa hivi NHIF inatumia hata baadhi ya zahanati zao. Hospitali kubwa hawana. MfumoKristo uliwazuia kujenga!!

Bila shaka wanataka kupewa kiulaini kama viti maalum. Mimi nimewapa changamoto kwamba wanitajie ni hospitali gani wameweza kujenga? hivyo vi dispensary ambavyo vimejaa mitaani hata wakorea na wachina wanavyo vya type hiyo vingi tu.
 
Nyerere alipopata uongozi akaanza kudhulumu watanganyika wenzake waislamu kama alivyo fanya waingereza

Nyerere alipopata dhamana akaanza kuwapa previlege wakristo wenzake kama alivyofanya mwingereza

Mwingereza rule =nyerere rule
Unasema kweli? Miaka 26 tangu Mwalimu aondoke madarakani na miaka 12 baada ya kifo chake hakuna HOSPITALI ya WAISLAMU iliojengwa TANZANIA hii. Hakuna CHUO KIKUU cha WAISLAMU kilichojengwa TANZANIA hii. Mzimu wa Mwalimu bado umewang'ang'ania tu! Baadae mtaandikaje, JMK na AHM hawakuwa WAISLAMU halisi?
 
Msipobadilika na kuanza mikakati ya makusudi ya kujinasua na umasikini na kuacha kuikumbatia ccm, mtaishia kulalamika hivi hivi miaka nenda rudi.

We subiri tu uchaguzi ujao wa 2015, ccm wanakuja na manifesto ya kujiunga na OIC ili muendelee kuwapigia kura halafu mnakuja JF kulalamika badala ya kujenga mashule, mahospitali na vyuo vikuu ili waislamu wenzenu wajikomboe kielimu ili "vita" mnayotaka kupigana ifanikiwe.

Askari wa kiislamu wanapotumiwa na wajerumani kupambana na muislamu mwenzao hiyo ni zaidi ya usaliti, na hata mwenzenu mmoja wa hapa JF kawaambia kuwa ninyi ni wanafiki, ndio sababu hamfanikiwi. Jengeni mashule na msomeshe ndugu zenu ili muweze kuwa na nguvu ya kufahamu kwamba adui yenu namba moja ni ccm. Sasa ajabu ni kwamba wale mliofanikiwa kupiga umande mnaendelea kuwatumia wenzenu kwa faida yenu wenyewe badala ya kuwasaidia kujikwamua.

Out of topic

Kumbe kuonyesha dhuluma ni kulalamika aisee tutaendelea kufanya hivyo mwisho wa umri wetu ok

Besides, shule tunajenga, zinajengwa wala kama huna macho maendeleo ni makubwa baada ya kuondoka babu nyerere sana tu..

Ila hiyo ya kuchukua fedha za walipa kodi na kupeleka kanisani tutapiga kelele kwa sauti hadi kieleweke no retreat..
 
Unasema kweli? Miaka 26 tangu Mwalimu aondoke madarakani na miaka 12 baada ya kifo chake hakuna HOSPITALI ya WAISLAMU iliojengwa TANZANIA hii. Hakuna CHUO KIKUU cha WAISLAMU kilichojengwa TANZANIA hii. Mzimu wa Mwalimu bado umewang'ang'ania tu! Baadae mtaandikaje, JMK na AHM hawakuwa WAISLAMU halisi?

Before 1992 MoU nitajie chuo kikuu kimoja cha kikristo Tanzania?

Before 1992 MoU nitajie hospitali moja ya kikristo Tanzania? usinitajie Bugando, wala KCMC kwasababu zote zilijengwa na serikali ya mkoloni, unajua serikali maana yake ni kodi za watanzania wote..

Acha hizo nyie mkiiba seriaklini si juhudi hiyo hakuna tofauti na RA na EL
 
Out of topic

Kumbe kuonyesha dhuluma ni kulalamika aisee tutaendelea kufanya hivyo mwisho wa umri wetu ok

Besides, shule tunajenga, zinajengwa wala kama huna macho maendeleo ni makubwa baada ya kuondoka babu nyerere sana tu..

Ila hiyo ya kuchukua fedha za walipa kodi na kupeleka kanisani tutapiga kelele kwa sauti hadi kieleweke no retreat..
Kitu rahisi kabisa cha kufanya ni kususa huduma hizi zinazotolewa na hawa jamaa. Msikanyage Bugando, KCMC, St. Nanihii,.... halafu muiambie serikali ikome kutoa ruzuku hii.
 
Kaweye hospitali tofauti ya gharam inajulikana . Kinacholipwa ni kidogo sana . Wewe na ffmili yako kama mna uwezo wa kulipia gahama halisi i kama za Hindu mandal basi elewa ni 2 katika ya watanzania 10.

Wakitaka kupata misaada wanaweza . Hawajaamua tu. Labda wanaogopa masharti ya serikali. Tena kama aghakan sema yeye anajua kundi analokususidia kwenye hospitali zake ndio maana hataki msaada. Official communication inakwenda kwa document. Ndio maana hata JK aliwaambia andikeni. Tatizo la taisis zenu linkuj kwenye umiliki. Kitu kinamilikiwa na tu binfsi anataka atumie dini. Hii waislama inabidi mliangalie Organisation structure ya taasisi zenu. Ebu tutajie mtu au director anayehusika na elimu dunia au director anayehusika na mambo afy kwa Waislam. Nyie wasomi washurini viongozi wenu wa kidini waweke structure ityowasadai kupata input za kitaalam na twene kule tunapotaka .

Hata Rubya, makoko, sengerema, visiga, Uru na semianry nyingine hazipokei hata senti ya msaada

Hakuna special only labda zina watu wanaojua kufanya kazi proffesinally. Ndio maana hat semeanry zenyewe kuna nyingine zinapefomr vibaya n kuna nyingine zina perform vizuri. Katika elimu jambo la msingi ni NIDHAMU .

Na je utafanya Auditing ya nini hasa? Na kama ni auditing zinafanyika . Kufany audting hosptali sio issue. Auiting infanyika na zinfnnyika klingna na sheria za kifeha, aawa na hospitali zinazotumika. pesa ya serikali lazmaiwe accunted for na hata kuwa audited.

Hospitali ya kanisa na kanisa ni vitu viwili tofauti. Unaweza kushindwa ufanya Auiting ya Kanisa au Msiikti lakini Audting ya hospitali ya kanisa au shule zinafanyika.

Kwanza asante sana kwa kujitahidi kutetea labda nichambue hoja zako kama ifuatavyo.

a. Hospitali za kanisa nyingi gharama zake ni kubwa kuliko hata hospitali za binafsi na hivyo basi hata kama mie nina uwezo basi ilitakiwa hospitali kama zinapokea msaada wa serikali wa kodi zitoe huduma hizo either bure au kwa gharama nafuu which is something hospitali nyingi za kanisa hazipo hivyo. Tangu mjadala uanze nimekuwa nawauliza wapi hospitali za kanisa zinatoa huduma bure au bei nafuu tuende hamna jibu.

b.What makes you think waislamu hawajapeleka MoU serikalini? Nimewauliza mbona serikali haikutaja sababu za kwanini MoU ya akina Sheikh Ponda ilikataliwa ili tuwasaidie utaalamu wa kuandika upya ipelekwe huko serikalini? Jibuni kwanza sababu za MoU ya akina Ponda kukataliwa??? Acheni kuleta unafiki hapa.

c. Kuhusu shule nilizotaja hapo Mzizima, Feza na Al - Muntazir ziko nafasi ya juu sana kwa kufaulisha watoto na watoto wenye nidhamu ya hali ya juu unajua kwanini zimefanikiwa na isiwe shule za Bakwata kama Kinondoni nk.???

d. Auditing ni muhimu kwasababu kuu mbili:-
a. Kujua accountability ya fedha zetu kumbuka kila mwaka mie binafsi nachangia Tshs 360,000 katika Bilioni 91 zinazopelekwa huko kanisani. Mtu kama Bakhressa yeye anatoa karibu Bilioni 1.54 kwenye pesa zinazoenda kanisani hivyo tunademand tujue hela zetu zimetumikaje????

b. Auditing itatusaidia kufahamu gharama zenu mnazodai ni halali na hakuna unfairness yeyote. Hivyo basi anapolipia gharama ya juu kwenye hospitali za makanisa ajue analipia kitu gani. Na usidai quality of service kwasababu mpaka hospitali pekee yenye standards za juu ni Muhimbili Hospitals hasa MOI ikifuatiwa na Aga Khan hospitals. TMJ, sijui wapi ni miyeyusho mitupu.

Pesa za misikitini hakuna senti moja ya serikali mkuu hivyo kama watahitaji auditing ni waislamu wenyewe waulize lakini pesa za makanisani ni hela zetu mkuu tunaomba auditing maana tujue hela zetu zimetumikaje otherwise hatutaki MoU na hela zetu zirudishwe zile Trilion 2.
 
Back
Top Bottom