Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Unasema kweli ?Hyo Hela ni ndogo sana,Serikali ingewaongezea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unasema kweli ?Hyo Hela ni ndogo sana,Serikali ingewaongezea
Jamani nina swali tuu. Kwani hizo hospitali wanatibiwa watu wa kanisa tu? Ni watu wa imani moja tuu ndiyo wanatibiwa hapo?Kuna mkataba ambao mimi binafsi sijawahi kuuona isipokuwa nasikia hauna ukomo na badala ya kuingiza chochote katika mfuko wa taifa huwa unakula tu na kudhoofisha wananchi kiuchumi na hata kiimani.
Mkataba huo ni ule kati ya kanisa katoliki na serikali ya Tanzania ambapo kwa mujibu wa mmoja wa masheikh anasema kama hivi:
Mkataba wa bandari nao unahudumia kama hivyo na hautoishia kuhudumia watanzania tu bali nchi zote za kusini na kati ya Afrika.Jambo zuri zaidi ni kuwa kuna fedha nyingi kuliko vyanzo vyote vya kipato zitakuwa zinaingia serikalini.Jamani nina swali tuu. Kwani hizo hospitali wanatibiwa watu wa kanisa tu? Ni watu wa imani moja tuu ndiyo wanatibiwa hapo?
Tukienda mfano Bugando, KCMC na nyinginezo pale mbona watu wengi tu wanatibiwa pale. Na hospitali hizi zimekuwa msaada kwa watu wengi tena wa aina zote za kiimani. Hivyo sioni shida kuchangia huduma za kiafya, vinginevyo kama alivyosema mdau mmoja hapo juu basi serikali iboreshe huduma zake za afya badala ya kutegemea sekta binafsi. Ni maoni🙏🏾.
Nakuelewa sanaa. Kikubwa tu yale mapungufu ambayo yanapigiwa kelele ndiyo yarekebishwe. Uwekezaji mzuri una faida hilo linajulikana. Serikali isipuuze maoni ya watu mbalimbali wanayotoa kutokana na mkataba huu wa bandari.Mkataba wa bandari nao unahudumia kama hivyo na hautoishia kuhudumia watanzania tu bali nchi zote za kusini na kati ya Afrika.Jambo zuri zaidi ni kuwa kuna fedha nyingi kuliko vyanzo vyote vya kipato zitakuwa zinaingia serikalini.
Kinyume na huo mkataba wa kanisa kumbe wanachukua peke yao tu
Waislamu wajenge hospitali zao nao waingie MoU na SerikaliSerikali ijenge Hospitali zake, iachane na ubia na huduma za kanisa.
Maana kelele ni dini. Siyo ubia.
Wakiingia ubia na sekta binafsi sawa, ila sekta binafsi ikiwa Kanisa tu mi tatizo.
Hata kama zinatibu watanzania wasichukue pesa kutoka serikalini.Wachangishane wenyewe.Kwani hizo hospitali zinatibu wakenya ? Si kila mtanzania anaweza enda KCMC, Bugando na zingine nyingi na akatibiwa.
Kuna mkataba ambao mimi binafsi sijawahi kuuona isipokuwa nasikia hauna ukomo na badala ya kuingiza chochote katika mfuko wa taifa huwa unakula tu na kudhoofisha wananchi kiuchumi na hata kiimani.
Mkataba huo ni ule kati ya kanisa katoliki na serikali ya Tanzania ambapo kwa mujibu wa mmoja wa masheikh anasema kama hivi:
Uwezo wa kufikiri upo?Waislamu wajenge hospitali zao nao waingie MoU na Serikali
AahaaaaUwezo wa kufikiri upo?
Kwanini tuingie mikataba isiyo na tija badala kuvunja iliyopoWaislamu wajenge hospitali zao nao waingie MoU na Serikali
Wanatibiwa watu wote ila bei zake ni za juu sana. Hata wakristo wanaumizwa na hizo hospital.Jamani nina swali tuu. Kwani hizo hospitali wanatibiwa watu wa kanisa tu? Ni watu wa imani moja tuu ndiyo wanatibiwa hapo?
Tukienda mfano Bugando, KCMC na nyinginezo pale mbona watu wengi tu wanatibiwa pale. Na hospitali hizi zimekuwa msaada kwa watu wengi tena wa aina zote za kiimani. Hivyo sioni shida kuchangia huduma za kiafya, vinginevyo kama alivyosema mdau mmoja hapo juu basi serikali iboreshe huduma zake za afya badala ya kutegemea sekta binafsi. Ni maoni[emoji1488].
Sjaona dini ya kishamba kama hii hivi unasemaje mkataba wa kunyonya nchi wakati serikali inatoa pesa ili wananchi wapate huduma. Alafu mlishukuru sana kanisa katoliki mzungu hakua tayari kumpa nchi muislamu. Kama historia ilikupita watafute wazee wakupe ukweliKuna mkataba ambao mimi binafsi sijawahi kuuona isipokuwa nasikia hauna ukomo na badala ya kuingiza chochote katika mfuko wa taifa huwa unakula tu na kudhoofisha wananchi kiuchumi na hata kiimani.
Mkataba huo ni ule kati ya kanisa katoliki na serikali ya Tanzania ambapo kwa mujibu wa mmoja wa masheikh anasema kama hivi: