Achana na mambo ya Allah . U knw what? Mm na ww tunaomba misaada uko nje. Mm namwomba mzungu aniwezeshe nijenge SHULE na HOSPITALS ila wew kwasababu ni dhaifu kama ulivyoambiwa unaomba ujengewe Madrasa na misikiti 😂😂😂.Moja ya mafunzo ya uislamu ni kuamini kuwa mkamilifu ni Allah peke yake.Hivyo hatuwezi kuamini hivyo.Jambo jengine ni kuwa waislamu hawatakiwi kudhulumu wala kukubali kudhulumiwa.