Ivi bro huo mkataba ulisainiwa chini ya Rais Naniii?? Na alikuwa wa dini ipi??? Je hakuona umuhimu wa dini zingne kushirikishwa???Hizo pesa wanazopewa,ni kodi za waislamu pia zimo.Wataka wajenge mara ngapi.Halafu waislamu ni watu wakimya sana.Huu mkataba upo miaka,hawajapiga kelele,na hawatibiwi bure,wanalipia matibabu.