Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Lini wananchi walishirikishwa mkataba kati ya TEC na Serikali, hutoa 36 billion kwa mwezi kuwapa TEC ambazo hazifanyiwi ukaguzi.
Sio msaada huo, yaani nyie machawa walah mtakuja kuvuliwa ubingwa. Hapo kuna fair transaction kabisa, TEC wasaidie kurahisisha upatikanikaji wa huduma kwa jamii, Serikali ichangie sehemu ya gharama za uendeshaji ili gharama za kutoa hizo huduma za jamii zisiwe juu. 1992 ukute hata wazazi wako walikuwa hawajakutana, hizi social services hazikuwepo na ndo maana serikali ilikuwa lazima iingie kwenye hayo makubaliano for the benefit kubwa ya wananchi wake. Leo mmekuwa machawa, mnalamba makalio kwenye vitu hata hamna knowledge navyo. Soon mtavuliwa ubingwa nakwambieni.
 
Waislamu mmejenga hospitali gani yenye hadhi ya bugando..?
Na walipewa na majengo ya umma ya TANESCO Morogoro na Rais Hayati Ben Mkapa na kuyafanya chuo chao kikuu..

Tuwaulize huo uamuzi wa Mkapa alitushirikisha?

Hawa jamaa ni hopeless sana. Wanajenga hoja za kijinga kutaka kuhalalisha ubaya wa mkataba wa DP World simply tu aliyesaini ni mwislamu mwenzako..!!

CC: Ritz
 
Kwa kweli, baada ya hili suala la DPW, tunataka na Mkataba usio na Kikomo kati ya Serikali na Kanisa uwekwe hadharani nao tuujadili na tukubaliane juu ya vifungu vyake kama bado kwa zama hizi tunautaka ama tuachane nao. MOU kati ya Kanisa na Serikali, pia hatuutaki kwa sababu serikali ndio inawajibu wa kutoa huduma za jamii kwa watu wake ikiwemo afya na elimu. Hatuwezi kukubali kuendelea kutoa bilions of Shilings kwa kanisa endlessly wakati kila siku serikali imekuwa ikijenga hosp na vituo vya afya kote nchini. Je hizo zinazolipiwa kanisani ni kwa nini? Mikataba yote ya janja janja ipigwe chini.
nan wakuweka hadharan huo mkataba ? serikali au TEC ? jiungeni na wenzenu mkemee huu upumbav wa serikali , TEC hawana kosa bali kosa la serikali maana TEC wangegoma bas wangefanyiwa figisu kama baadhi ya matajiri ambao wakikataa kufadhiri kampen za ccmu , na usichokijua mm nmefanya kaz kcmc pia nmesomea hapo hapo nmesikia malalamiko meng sana ya utawala wa kcmc dhidi ya serikali hizo 36B wanadai ni uhuni mtupu , na serikali pale kcmc na hata Bugando wana vyuo vyao ila kituko hivyo vyuo vinategemea hizo taasisi zaid kuliko hata serikali huon kuwa ni unyonyaj huo?
 
Sio msaada huo, yaani nyie machawa walah mtakuja kuvuliwa ubingwa. Hapo kuna fair transaction kabisa, TEC wasaidie kurahisisha upatikanikaji wa huduma kwa jamii, Serikali ichangie sehemu ya gharama za uendeshaji ili gharama za kutoa hizo huduma za jamii zisiwe juu. 1992 ukute hata wazazi wako walikuwa hawajakutana, hizi social services hazikuwepo na ndo maana serikali ilikuwa lazima iingie kwenye hayo makubaliano for the benefit kubwa ya wananchi wake. Leo mmekuwa machawa, mnalamba makalio kwenye vitu hata hamna knowledy navyo. Soon mtavuliwa ubingwa nakwambieni.
Wewe punguani sijui hata unandika nini nakuuliza wananchi walishirikishwa huo mkataba wa kanisa kupewa pesa za wananchi bure?
 
TEC inafahamu kwamba mwaka 2014 maaskofu wote Katoliki Tanzania akiwemo Kardinali Pengo na wasaidizi wake walipokea mamilioni ya shilingi pesa taslimu na nyingine kwenye akaunti zao kama Askofu Nzigilwa (milioni 80 benki) na Kilaini (milioni 40 benki). Inajua fedha hizo zilitoka katika kampuni yenye makando kando ya rushwa ya kihistoria Tanzania. Wananchi wengi walipiga kelele lakini fedha hizo hazikurudi wala hakuna kumbukumbu za kanisa katoliki kupinga na kusema Sauti ya Wengi ni Sauti ya Mungu.
Na mbaya zaidi hawakuongea hata neno
 
TEC inafahamu kwamba mwaka 2014 maaskofu wote Katoliki Tanzania akiwemo Kardinali Pengo na wasaidizi wake walipokea mamilioni ya shilingi pesa taslimu na nyingine kwenye akaunti zao kama Askofu Nzigilwa (milioni 80 benki) na Kilaini (milioni 40 benki). Inajua fedha hizo zilitoka katika kampuni yenye makando kando ya rushwa ya kihistoria Tanzania. Wananchi wengi walipiga kelele lakini fedha hizo hazikurudi wala hakuna kumbukumbu za kanisa katoliki kupinga na kusema Sauti ya Wengi ni Sauti ya Mungu.
Jipige pige kifuani mara tatu huku ukisema mimi ni pimbi
 
Hawa wote wanalipwa mishahara kutoka kodi za


Watanzania na sio sadaka.


Mkataba au Memorandum of Understanding kati ya TEC na Serikali unawapa TEC 36


Billion kila mwezi.
 

Attachments

  • IMG_2230.jpeg
    IMG_2230.jpeg
    55.8 KB · Views: 1
Wewe punguani sijui hata unandika nini nakuuliza wananchi walishirikishwa huo mkataba wa kanisa kupewa pesa za wananchi bure?
Washirikishwe kwenye nini unataka..?
Hii mikataba ya EPC+F mmeshirikishwa..?
Ukute naongea na mtu hata hajasoma wala haelewi naongelea nini. Go and find knowledge ndo uje uanzishe hoja hapa.
Mna akili ndogo ndo maana kutwa kulamba matako ya wabibi, blood fool.
 
Washirikishwe kwenye nini unataka..?
Hii mikataba ya EPC+F mmeshirikishwa..?
Ukute naongea na mtu hata hajasoma wala haelewii naongelea nini. Go and find knowledge ndo uje uanzishe hoja hapa.
Mna akili ndogo ndo maana kutwa kulamba matako ya wabibi, blood fool.
JF kuna vituko huyu ndiyo anajitapa msomi angalieni anavyoandika kama angekuwa siyo msomi ingekuaje mambo ya matako msomi wa JF yametoka wapi tena?
 
Wanaukumbi.

Tunaitaka Serikali ya Tanzania ifute waraka na mkataba haramu kati ya TEC ma Serikali ya Tanzania ambapo Serikali hutoa 36 billion kwa mwezi kuwapa TEC ambazo hazifanyiwi ukaguzi. Fedha hizi hupewa tanzaniaepisco1 kama ruzuku kwa ajili ya Hospitali zao lakini ukweli pesa hizo zinatumika kuipinga serikali na kueneza Injili.
Hili halikubaliki lazima li stop na mkataba huu uvunjwe.
Nchi hii sio mali ya Wakristo kuwa kodi zetu wapewe kundi fulani kujitanua.
Serikali huu mkataba ufutwe.
Mmewalea sana hawa TEC mbali ya 36billion huingiza mamia ya bidhaa kwa misamaha ya kodi na kuuzwa makanisani.
Ni wakati hii dhulma ikaondolewa.
Huo mkataba lini wananchi walishirikishwa na hauna kikomo.
Bi 36 kitu gani bwana. Hauwezi kulihonga kanisa ili ufanye ujinga ujinga
 
Kundi hatari sana Tanzania.
TEC wanamiliki Armed Forces Commision kinyume na katiba
na Padri Slaa aliwahi kutamka kuwa kuna silaha zinapitia TEC
Hawa wana achiwa sana. Msisahau walichofanya Rwanda
Naona mmehamia kwa Wakatoliki baada ya kumalizana na Chadema!
🤣🤣🤣🤣🤣

Mbona mnazidi kuongeza maadui!

Muda si mrefu maadui wataongezeka kutoka kwenye vilabu vya Simba na Yanga.

Hivi vilabu vinejificha kwenye mgongo wa chama twawala
 
Alie kuambia Hospitali zote ni za TEC ni nani? Kule Mara kuna kanisa linaitwa Menonite Tanzania wana hospitali teule, unasemaje hapo? Unakosa Elimu Dunia wewe
Usiwe punguania mada hapa Mkataba au Memorandum of Understanding kati ya TEC na Serikali unawapa TEC 36 Billion kila mwezi. Wanachi walishirikishwa?
 
Kundi hatari sana Tanzania.
TEC wanamiliki Armed Forces Commision kinyume na katiba
na Padri Slaa aliwahi kutamka kuwa kuna silaha zinapitia TEC
Hawa wana achiwa sana. Msisahau walichofanya Rwanda

c.c mwanahabari mwandamizi Pascal Mayalla umemsoma mwamba Ritz?

Uhuru wa maoni oyee!
 
Back
Top Bottom