mKUU, sina tatizo na hilo kaka, tatizo ni kuwa hamtakaa muache kuchukiana na hata kuuana kama hamtajibu hiyo concern hapo kwenye red. hii concern ya oooh MoU oooh ivunjwe ni scapegoat tu. wenzako wanachohoji hasa si MoU bali ni hicho hapo kwenye red. hivi kama ingekuwa tatizo ni MoU, haya MAELEZO YOOOOOOOOOOOTE TENA YA KITAALAMU mliyotoa huku bado tu hayajajibu hizo cocerns zao? mbona kila mkifafanua na kila ufafanuzi wenu unavyozidi kuwa correct ndivyo nao wanavozidi ku-grow militancy?! hapa kaka MoU SIYO ishu, ishu hapa ni DINI, ishu ni kuwa ni NI MUNGU yupi wa ukwel, ndo ishu hiyo, wala usiJIKOMAZE misuli bure kufafanua MoU. wee hawa huwajui vizuri wewe!
Mkuu tunajua issue ni dini ndiyo maaana nilisema huko nyuma kwamba viongozi wao wanajua ukweli halisi ila wanawadanganya wafuasi wao kwa sababu wana agenda fulani.
Leo hii Kikwete alikuwa anafungua kitengo au tawi fulani la Hindu mandal hospital. Dr. Hussein Mwinyi waziri wa afya naye alikuwepo. Mwinyi kasema serikali ipo tayari kutoa ushirikiano na taasisi binafsi(bila shaka na za dini) kuboresha huduma za afya. Lakini ndugu zetu bado wanasema MoU ni ufisadi. Wengine baada ya kuambiwa ukweli sasa wanaanza kusema Dr. Slaa akiingia ikulu ataufuta Uislam.
Kama Dr. Slaa kwa kutoa tu maelezo yake anaonekana ataufuta Uislam. Hebu tuone mifano michache ya waislam halisi wanaosimamia kuufuta Uislam kwa kuusimamia, kuuendeleza na kuahidi kuendeleza huo ushirikiano wa Kanisa na Serikali unaofuta Uislam.
Hii tumeshaiona lakini si vibaya kuirudia.
Hapa kikwete anaahidi ushirikiano na taasisi ya kanisa tena anakwenda mbali zaidi na kuwaomba waende kusaidia wanawake wa vijijini...anaahidi ushirikiano wa miaka mingi ijayo. Sijui Uislam utakuwa umefutika??
Habari kamili gonga hapa chini:
http://www.dailynews.co.tz/index.php/local-news/6881-kikwete-pledges-support-to-holy-ghost-fathers
Hapa Kikwete anazindua mradi wa umeme wa Kanisa Katoliki. Anaahidi tena ushirikiano wa serikali na Kanisa
Habari kamili gonga hapa chini:
https://www.jamiiforums.com/busines...i-wa-umeme-uliojengwa-na-kanisa-katoliki.html
Hapa Kikwete anazindua mradi wa maji wa Kanisa. Nadhani hapa uislam utakuwa umetokomea kabisa.
Maisha kiasi
Kuna miradi mingine sijaiweka hapa.
Hivi hawa watu akina Basaleh , Ilunga, Mohamed Saidi na wengine wanaohubiri mfumo kristo kupitia hii MoU wanajiona ni waislam zaidi kupita Rais Kikwete na Dr Hussein Mwinyi wanaoahidi ushirikiano wa serikali na taasisi binafsi na za dini kuboresha mfumo wa afya nchini?
Yaani Rais Kikwete na Dr Hussein Mwinyi wanaoweza kuona nyaraka /mikataba yoyote ndani ya wizara ya afya washindwe kuona ufisadi wa MoU ila akina Basaleh ,Ilunga na Mohamed Saidi wanaoshinda wakipiga porojo kwenye mihadhara wajue kila kitu?
Naona wapinga MoU wanaanza kutoa hoja hafifu sasa maana ukweli unaanza kuwaingia taratiibu. MoU ambayo ni kama oxygen ya Mfumo Kristo inaanza kupungua. Dhana ya Mfumo Kristo ipo hatarini kutoweka. Watu hawana pa kushikia kujustify chuki zao kwa wakristo.
Sisi hatutachoka kuwaelewesha hata kama wana vichwa vigumu kama barubaru...