Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Tumain said:
Hautakuwa mchango wa kanisa??? tena sema mchango wa wananchi wote "wanaowapa pesa za kuendesha" huwezi kusema kitu ni cha kanisa wakati hela zinatoka "serikalini"
a) pesa za kununulia vifaa vya hospitali (x-rays, etc...)zote za kanisa inatoka serikalini...na wafanyakazi wanalipwa na serikali hiyo inaitwa joint ownership..kanisa linajitangaza tuuu..(kujifaragua) kwamba linatoa service sanaaaaaa...anyone can do that? wanatafuta wanachama tuuu (marketing strategy)
b) Shule nyingi za kanisa wafanyakazi na majengo yamejengwa kwa kutumia fedha za serikali hiyo haiwezi kuwa mali ya kanisa ila ni joint ownership...so kanisa lisijidai lina..mchango mkubwa sana...in fact mutual society yeyote inaweza kufanya hivyo...kwahiyo isipate sababu ya kujinadi..(marketing strategy kama kawa) kwamba inafanya sanaaa!
Having said that "wako smart kuchukua hela" kutoka serikalini kama alivyo smart EL muasisi wa mpango wenyewe so if EL is fisadi kanisa unaweza kuweka square root??
c) All in all Kanisa limeshazoea kupendelewa, waumini wake wamezoea kupendelewa utawaona wanapiga kelele kweli ukweli ukisemwa kwamba wanapendelewa "wamebariki, nakuabudu upendeleo"
mbaya zaidi kwani kuna nafuu yoyote basi huko mashuleni na mahospitalini kwao kwa mwananchi wa kawaida (hata kwa waumini wenyewe japo wanakamata mshiko kutoka serikalini).in terms of price, etc..that remains to be debated!!

Tumain,

..haya madai yako siyo ya kweli.

..maneno kama hayo ujaribu huko mitaani wanaweza kukuamini, siyo hapa jamii forums.
 
Tumain,

..haya madai yako siyo ya kweli.

..maneno kama hayo ujaribu huko mitaani wanaweza kukuamini, siyo hapa jamii forums.
Duu,
Unabisha ili uonekane unabisha ua? kitu kinachoitwa hospitali ya kanisa ndugu hakuna chochote hiyo ndio facts!
a) Vifaa vyote vya maabara vimenunuliwa na serikali na wafanyakazi wanalipwa na serikali (so nani atashindwa kuendesha hospitali ikiwa utapewa vyote hivyo....hiyo ndiyo MoU inachokifanya tangu isainiwe..kwani hospitali ni nini? ikiwa na vifaa vya maabara finito?
Hiyo siyo story ya mtaani "Hizo ni hard facts" wizara ya afya wanatoa mshiko huo kila mwaka???
Tukiwaambia wakristo wamezoea kupendelewa na wanafurahia kupendelewa mtasema uchochezi"
Bottom line: kwa kiasi gani huduma hiyo ni rahisi (affordable hata kwa waumini itabaki kuwa-debate)
Kama wewe uko programmed endelea kuabudu kupendelewa..siku walionyonywa wakiamka...hatutajua source of conflicts???
 
Tumaini,

..serikali ilishindwa kuendesha hospitali na mashule iliyotaifisha ndiyo maana ikalazimika kusaini hii MOU.

..mambo yangekuwa kama hivyo unavyodai mbona kila dhehebu lingekuwa na hospitali na shule?

..sasa kama serikali inatoa vifaa na ajira kwenye hospitali za Kanisa, mbona inashindwa kuendesha hospitali zake yenyewe?
 
..serikali ilishindwa kuendesha hospitali na mashule iliyotaifisha ndiyo maana ikalazimika kusaini hii MOU.
Jibu: Sijakuelewa, kwenye MoU serikali inatoa pesa za vifaa na kulipa wafanyakazi wa hospitali za kanisa..ushahidi upo kwa michongo inayoenda huko kila mwaka!

..mambo yangekuwa kama hivyo unavyodai mbona kila dhehebu lingekuwa na hospitali na shule?
Jibu: Ndiyo maana nikasema hapo awali kanisa liko smart kwa ufisadi kama alivyo smart aliyeuasisi mpango wenyewe EL.. madhehebu mengine hawajashtukia, hawatashtukia na wakiuliza wataambiwa ni walalamishi, wachochezi, udini and uchafu wa maneno...kanisa likiachwa lenyewe ndugu zitakuwa sawa tu na madhehebu mengine yanayohangaika na hela kutoka kwa waumini maskini...no different! hata hivyo kanisa na waumini wao wameshazoea kupendelewa ikitokea tofauti utasikia kelele nchi nzima...waumini nao wamezoea kupendelewa...

..sasa kama serikali inatoa vifaa na ajira kwenye hospitali za Kanisa, mbona inashindwa kuendesha hospitali zake yenyewe?
Jibu: serikali haishindwi kuendesha hospitali zake zenyewe hata kidogo..ILA UFISADI ndio chanzo...wanaiba..
My take: hela zinazoenda kanisani kwasababu ya MoU zinaweza kutengeneza hospitali za kisasa kila wilaya...lakini nani atathubutu..kanisa lina watu wake kila..mahali "Linasema nani ni chaguo la mungu nani siyo" na waumini (serikalini) afadhali alipie kanisa pesa kuliko kupeleka the same kwenye hospitali ya serikali..ni Uwizi na UDINI kwa kwenda mbele....
 
Tumain,

..sasa kama hujui chanzo cha hiyo MOU huwezi kuelewa inafanya kazi namna gani.

..mwenye shida hapo ni serikali siyo Kanisa. serikali ilishindwa kuendesha mashule na hospitali ilizotaifisha.

..serikali ndiyo iliyokwenda Kanisani kuomba msaada wa Kanisa ktk kuendesha baadhi ya shule na hospitali.

..Kanisa kwa kuzingatia historia ya serikali ya kutaifisha shule na hospitali, ikaona bora wawe na mkataba unaoeleweka na ndiyo hii MOU.

..ujanja ni kuwahi. Wakatoliki wamewahi, sasa wengine sisi inabidi tukimbie wakati wao wanatembea.

..hivi unafahamu kwamba tangu wakati wa Muingereza Kanisa Katoliki lilikuwa na shule nyingi kuliko serikali na madhehebu mengine?

..siyo Tanzania tu, hata ktk mataifa mengine Kanisa Katoliki lina mashule,hospitali, na vyuo vikuu vinavyoheshimika.

NB:

..kwa taarifa yako tu hiyo MOU ilisainiwa wakati Alli Hassan Mwinyi ni Raisi, na vilevile wakati wa majadiliano mwakilishi wa Bakwata alikuwepo.
 
Joka kuu
...Kwa hiyo unachosema ni kwamba ni kuwahi katika kuiba resources za wananchi unfairly unaona ni sawa?.lol Kanisa limewahi ? wengine unataka wawahi kufanya the same ..hii line of thinking inaendekeza tatizo?? inaonysha jinsi jamii fulani inavyofurahi kuchota zaidi kupita wengine na wakaona ni sawa, kawaida and so on...
...Mkataba naujua sana na details ninazo! MoU hiyo siyo ya kuacha kutatifisha..mali za kanisa..NO sheria za kuacha kutaifisha mali za watu binafsi iko TIC na PSRC yote imeweka clearly kwamba serikali haitataifisha mali za watu tena usichanganye mambo?
...MoU ni kwamba serikali itakuwa inawalipia gharama za mshahara wa wafanyakazi na vifaa vya hospitali , hospitali za kanisa? that is "wrong"..ok kuwahi wamewahi..ndio tuseme kanisa wako "proactive kuchukua pesa za watu wote na kujidai kwamba ni kanisa linatoa -wange-declare hiyo joint ownership...kungekuwa hakuna problem
...Mataifa wana hospitali na shule siyo issue hiyo..huko serikali za watu hazina UDINI kama TZ..UK kwa mfano kutoa hela kwa taasisi za dini policy ambayo kila dini inapewa kutegemeana na demand na iko open na wana-declare kwamba kuna state money hapa!
...Kusainiwa wakati wa Ally Hassan Mwinyi siyo serikali hiyo hiyo..ambayo ni lishakwambia imeshaona ni kawaida kupendelea wakristo na taasisi zake na waumini (maofisa serikalini wako tayari kuiibia serikali ili apeleke kanisani).
..Ni kweli wamewahi lakiniwenye akili tunajua ni UWIZI kutoka kwenye mifuko yetu ndio unao run hiyo hospitali...
 
Tumain,

..hukunielewa. Wakatoliki wamewahi kwasababu wana utaratibu mkongwe na imara sana wa uongozi.

..sisi wa madhehebu mengine tunaathirika kwasababu hatuna utaratibu wa uongozi unaoeleweka,hatuna umoja, na hatuzungumzi kwa sauti moja.

..nimekutolea mfano kwamba wakati wa utawala wa Muingereza ambaye dini yake ni Anglican, tayari Wakatoliki walikuwa na shule nyingi za sekondari kuliko madhehebu yoyote. hapo ni uongozi tu, na vision.

..tukirudi kwenye madai yako, mengi siyo ya kweli. sheria za kurudisha shule za Kanisa haipo kwenye Kituo cha Uwekezaji[TIC] au Tume ya Raisi ya Kurekebisha mashirika ya Umma[PSRC].

..vilevile sisi wengine tunapokuwa na matatizo ya kiafya na tukamuona Daktari, haijalishi kama ana sigida kwenye paji la uso, au amevaa rosari. tunachojali ni Mganga kutuandikisha matibabu.

..pia haijalishi mganga huyo analipwa na Msikiti,Kanisa,au Serikali, ama shindano na madawa anayotumia yamenunuliwa na nani. kitu cha msingi ni kupatikana kwa huduma za afya.

..haya madai yako si ya kweli, lakini hata kama yangekuwa ya kweli hayana maana yoyote ile. kama Kanisa linajenga hospitali halafu serikali inalipia wafanyakazi na madawa, basi hiyo ni nafuu kwa serikali na wananchi wa eneo ambapo hospitali imejengwa. kinyume cha hapo serikali ingebidi igharimie kila kitu.
 
Bonge la shule hapa Jokakuu,

Tatizo ni kuwa, kuna watu wao mentality yao ipo kwenye kulalalama kwa vile wanajiambia (wao na watoto na wajukuu zao) kuwa wanaonewa. Yaani kwao, matatizo yao yanasababishwa na wengine.

Badala ya kutumia muda wao kujaribu kutafuta namna ya kutatua matatizo yao, wao wanatumia muda mwingi kutafuta mchawi wa kufikirika aliyewaroga.
 
Joka Kuu,
Ohooo! unapindisha mwelekeo wangu mimi sikatai kanisa kupewa pesa kama jambo hili likifanywa kuwa ni policy na kuna kuwa special fund set aside accessible to all madhehebu ..kuliko misingi ya dhehebu fulani kuwahi na take advantage of pooled reseurces...ingekuwa policy kama UK nimekupa mfano hapo mbona hakuna tatizo...kila dhehebu inakuwa na fursa sawa kupata fund kutoka serikalini na inakuwa mfuko unaoeleweka na siyo mambo ya ku-lobby nakutumia wakatoliki serikalini..hii ni sawa sawa na kuhujumu uchumi..
Najua kwamba mimi wewe hatutajali hospitali inapata wapi pesa as long as unapata matibabu...lakini serikali inatakiwa iwe open kwa wananchi wote kuhusu namna inavyogawa resources zake na si kuelekeza kwa kanisa au dhehebu fulani tu..na kanisa linalopewa pesa hizo lazima ideclare kwamba hapa tumepokea kiwango cha Tsh....kutoka serikalini isije ikajifanya inatoa huduma sanaaaaaa kupita wengine wakaonekana wako so organized kumbe tunawalipia sisi wasije fanya kama marketing strategy (Don't you think vilevile wanatumia hiyo kupata waumini zaidi)
Madai yangu ni kweli na yana maana sana kwa jamii inayopenda usawa...lakini kwa kuwa wewe na wakristo wengine mmeshazoea kupendelewa mnaona siyo tatizo..kwakuwa mnapendelewa siku kibano kikigeuka wakapendelewa wengine ndio utaona ubaya wake.
 
Bonge la shule hapa Jokakuu,

Tatizo ni kuwa, kuna watu wao mentality yao ipo kwenye kulalalama kwa vile wanajiambia (wao na watoto na wajukuu zao) kuwa wanaonewa. Yaani kwao, matatizo yao yanasababishwa na wengine.

Badala ya kutumia muda wao kujaribu kutafuta namna ya kutatua matatizo yao, wao wanatumia muda mwingi kutafuta mchawi wa kufikirika aliyewaroga.

Uko sahihi sana. Kuna siku mpaka nilicheka, Mh Kapuya alipokuwa waziri wa Elimu alisema shule za waislamu zinaperform ovyo sana kwa kuwa wanaoziendesha hawana uwezo wa kuziendesha. Alisema ngazi ya taifa, wilaya, tarafa hata kata hakuna iliyowahi kuongoza. Matokeo ya wanafunzi wake yanakuwa kwenye shape ya pyramid, mazingira ya shule nayo unaweza kucheka na usiamini kana kweli ni shule.
Lakini wanasema ni kwa sababu ya wakristo ndio maana shule zao chafu na zinaperform vibaya.
 
mimi nadhani Wa Tanzania tume panda basi lakini hatujuwi tuendako tuna hatari ya kufika tusiko kujuwa na tushindwe kurudi tuliko toka mwisho wake ni majuto ambayo hayato tusaidia, sioni kwa nini tujadili uhusiano mzuri kati ya serikali na wananchi wake tulitakiwa tutoe pongezi na kuendelea na shughuli nyingine. MOU hiyo ingesema kuwa kuanzia sasa serikali ni ya kidini ( kikristo ) tunge hamaki, waislamu tumepoteza muelekeo na kupoteza sifa ya uanaume tumebaki kulalama badala ya kufanya mambo yakaonekana, tukaeni chini tutazame tulipo potelea na tuweze kupata dira mpya
 
Hakuna sababu ya kulishabikia hili kidini. Ieleweke kwamba siku hizi huko makanisanai hata manyang'au yameingia pia. Siku hizi ukitaka hata form ya kujiunga kidato cha kwanza kwenye shule hizi za kidini, njoo kesho zitakuwa nyingi, mwisho utaambiwa "unajua siku hizi hali ndio hii, jiongeze". Ninayoandika hapa yamenitokea binafsi shule moja inayomilikiwa na Waroma, barabara ya kwenda Bugando.
 
ANGALIA HAPA

To strengthen their social services sector, the two Church bodies that is the Protestants under the Christian Council of Tanzania (CCT) and the Catholics under the Tanzania Episcopal Conference (TEC), in 1992 assisted by the German partner Churches negotiated a "Memorandum of Understanding" with the Tanzania government. In this memorandum the government recognized the important role played by the Churches in the social services sector of the country, pledged to help the Churches by sharing with them grants from foreign government and promised never to nationalize the church institutions again. The "Memorandum of Understanding" authorized the forming of the "Christian Social Services Commission"(CSSC). TEC and CCT are each represented by the General Secretary and four bishops. The Commission has two executive organs, the Christian Medical Board of Tanzania (CMBT) and the Christian Education Board of Tanzania (CEBT) for health and education respectively. This commission formulates common policies for the Education and medical Services of the Churches and negotiates with the Tanzania government in the name of the churches. The two executive organs run common programs. The churches together run more than 50% of the Medical Services and secondary schools in the country.

http://www.rc.net/tanzania/tec/tzchurch.htm
 
Hapa kanisa linaformulate education policies....ndio christinization of education system hilo ambalo naona wakristo wamezoea "Kupendelewa"..they cannot stand alone..lazima fedha za umma wote zitumike kuendeleza taasisi za kikristo hii imekaaje?
 
Ngoshwe,

..hii document ni ya zamani sana. ilisainiwa wakati wa utawala wa Alli Hassan Mwinyi.

..wakati huo Mahalu alikuwa bado hajaharibika kama wakati wa utawala wa Mkapa.

Thanks kwa ufafanuzi!....

Ifike wakati sasa hii Serikali yetu iwe makini na masuala ya Dini. Siku zinavyozidi kusonga vinaibuka vijitaasisi vya dini vya ajabu kwa kila kinaitwa "uhuru wa kuabudu". Madhehebu ya dini ni Serikali inayojitegemea na yana mchango mkubwa sana kwenye siasa na maendeleo ya jamii na ndio maana wazee kama akina Ngombale waliingiwa na hofu baada ya kutolewa waraka wa kanisa Katoliki Tanzania!".....

Itakapofika wakati vidhebu vya dini vikimwagika kama uyoga, hususan kwa hivi vijikanisa vya "upendo" (visivyo na mtandao wala makao makuu) na vijisikiti vinayoibuka kila kukicha pembeni mwa vituo vya mafuta na yenye majina ya watu binafsi, nchi itakuwa haitawaliki, tumeanza kuona mifano, upuuzi wa mtu mmoja au dhehebu fulani kama dhehebu hilo linatumia Biblia, basi unahesabika ni msimamo wa Wakristo na kama ni Quran inakuwa wa Waislamu!

Kule Mbeya nadhani ndo imekuwa tabu, kama Nigeria vile,kunaongoza kwa ushirikina na uovu na makanisa ya majina ya watu binafsi kama akina Mwanjala, Mwakatobe na wengine yanamea kila kukicha na imefikia wakati familia katika familia baba na mama kila mmoja ana anzisha kanisa lake kama biashara binafsi.

Ni mfano wa haya makanisa ambayo kila siku kuna ibada si pungufu ya moja na kila katika ibada lazima sadaka zikusanywe!. Tunajiuliza haya makanisa yasiyo na matawi (parokia wala jimbo) hzo sadaka wanapeleka wapi ???????..
 
Ni mfano wa haya makanisa ambayo kila siku kuna ibada si pungufu ya moja na kila katika ibada lazima sadaka zikusanywe!. Tunajiuliza haya makanisa yasiyo na matawi (parokia wala jimbo) hzo sadaka wanapeleka wapi ???????..[/QUOTE]
 
Thanks kwa ufafanuzi!....Ifike wakati sasa hii Serikali yetu iwe makini na masuala ya Dini. Siku zinavyozidi kusonga vinaibuka vijitaasisi vya dini vya ajabu kwa kila kinaitwa "uhuru wa kuabudu". Madhehebu ya dini ni Serikali inayojitegemea na yana mchango mkubwa sana kwenye siasa na maendeleo ya jamii na ndio maana wazee kama akina Ngombale waliingiwa na hofu baada ya kutolewa waraka wa kanisa Katoliki Tanzania!".....

Itakapofika wakati vidhebu vya dini vikimwagika kama uyoga, hususan kwa hivi vijikanisa vya "upendo" (visivyo na mtandao wala makao makuu) na vijisikiti vinayoibuka kila kukicha pembeni mwa vituo vya mafuta na yenye majina ya watu binafsi, nchi itakuwa haitawaliki, tumeanza kuona mifano, upuuzi wa mtu mmoja au dhehebu fulani kama dhehebu hilo linatumia Biblia, basi unahesabika ni msimamo wa Wakristo na kama ni Quran inakuwa wa Waislamu!

Kule Mbeya nadhani ndo imekuwa tabu, kama Nigeria vile,kunaongoza kwa ushirikina na uovu na makanisa ya majina ya watu binafsi kama akina Mwanjala, Mwakatobe na wengine yanamea kila kukicha na imefikia wakati familia katika familia baba na mama kila mmoja ana anzisha kanisa lake kama biashara binafsi.

Ni mfano wa haya makanisa ambayo kila siku kuna ibada si pungufu ya moja na kila katika ibada lazima sadaka zikusanywe!. Tunajiuliza haya makanisa yasiyo na matawi (parokia wala jimbo) hzo sadaka wanapeleka wapi ???????..[/QUOTE][/QUOTE]
 
Jifunze kureason vizuri. Mikataba ya kanisa na serikali umeiona wapi na nani kaileta?

Kwani nani kadai kuna mikataba hiyo?

inaonekana hujui maana ya "evidence". Hivi hiki ulichokiona humu unaweza kukisimamisha mahakamani na kudai ni evidence?

umejuaje kanisa linanyonya walipa kodi?

Kuna haja ya kufufua mjadala huu, kuna watu waliofilisika vichwani wanajaribu kuwadandanya watanzania kwa manufaa yao kwa kuleta hija za udini.
 
Thanks kwa ufafanuzi!....

Ifike wakati sasa hii Serikali yetu iwe makini na masuala ya Dini. Siku zinavyozidi kusonga vinaibuka vijitaasisi vya dini vya ajabu kwa kila kinaitwa "uhuru wa kuabudu". Madhehebu ya dini ni Serikali inayojitegemea na yana mchango mkubwa sana kwenye siasa na maendeleo ya jamii na ndio maana wazee kama akina Ngombale waliingiwa na hofu baada ya kutolewa waraka wa kanisa Katoliki Tanzania!".....

Itakapofika wakati vidhebu vya dini vikimwagika kama uyoga, hususan kwa hivi vijikanisa vya "upendo" (visivyo na mtandao wala makao makuu) na vijisikiti vinayoibuka kila kukicha pembeni mwa vituo vya mafuta na yenye majina ya watu binafsi, nchi itakuwa haitawaliki, tumeanza kuona mifano, upuuzi wa mtu mmoja au dhehebu fulani kama dhehebu hilo linatumia Biblia, basi unahesabika ni msimamo wa Wakristo na kama ni Quran inakuwa wa Waislamu!

Kule Mbeya nadhani ndo imekuwa tabu, kama Nigeria vile,kunaongoza kwa ushirikina na uovu na makanisa ya majina ya watu binafsi kama akina Mwanjala, Mwakatobe na wengine yanamea kila kukicha na imefikia wakati familia katika familia baba na mama kila mmoja ana anzisha kanisa lake kama biashara binafsi.

Ni mfano wa haya makanisa ambayo kila siku kuna ibada si pungufu ya moja na kila katika ibada lazima sadaka zikusanywe!. Tunajiuliza haya makanisa yasiyo na matawi (parokia wala jimbo) hzo sadaka wanapeleka wapi ???????..

Wakati wa utalawa wa Mwinyi ndio majahidiana walianza kuingia Tanzania, no wonder "mkataba" huu "ulisainiiwa" wakati huo. Ina maana rais Mwinyi alikuwa mwislamu mjinga kuruhusu serikali yake isaini mkataba unaokandamiza waislamu wenzake? Au walisaini kisiri. si ndio kipindi hicho mapadre walitukunwa live kwenye speech yake, au?
 
cover.jpg
2-1.jpg
MEMO3.jpg
4.jpg
tano.jpg
sita.jpg
saba.jpg

Sitaki kuamini hili lakini uvumi huu umeeneea sana kiasi cha kwamba umenifanya niwe na shauku kutaka kujua yaliyojiri kwenye kusign hiyo memorandum maana naona kwa taarifa nilizokuwa nazo malalamishi ni kuwa serikali imeipa CCT na TEC nguvu kubwa ajabu na matokeo yake leo watu watu wanaanza kulalama kwa nini serikali haiipi nguvu hizo NGO zingine kama walivopewa na serikali. Na under this memorandum seriali inatoa nafasi za kazi kwa Church candidates kwenye chuo chake cha Teachers Training College

Mfano kuna kipengele kinasema hivi:

Hakuna ubaya hata kidogo kwa serikali kusign hii memorandum lakini nataka kujiuliza je ni sawa serikali kufanya agreements kama hizi na taasisi za kidnini? na Je imefanya gareement kama hii na taasisi za Kisslam au wahindu au ni Kanisa tu ndio walifanya nao? Je hamuoni hapo mambo ya bilateral negotiations wakaachiwa wataalam wa mambo hayo?

Mkuu umefanya follow up yoyote kujua kama huu ni ukweli? Kitambo sasa naona hii issue imekuwa inaibuliwa wakati uchaguzi unakaribia kufanyika.
 
Back
Top Bottom