Tumain said:Hautakuwa mchango wa kanisa??? tena sema mchango wa wananchi wote "wanaowapa pesa za kuendesha" huwezi kusema kitu ni cha kanisa wakati hela zinatoka "serikalini"
a) pesa za kununulia vifaa vya hospitali (x-rays, etc...)zote za kanisa inatoka serikalini...na wafanyakazi wanalipwa na serikali hiyo inaitwa joint ownership..kanisa linajitangaza tuuu..(kujifaragua) kwamba linatoa service sanaaaaaa...anyone can do that? wanatafuta wanachama tuuu (marketing strategy)
b) Shule nyingi za kanisa wafanyakazi na majengo yamejengwa kwa kutumia fedha za serikali hiyo haiwezi kuwa mali ya kanisa ila ni joint ownership...so kanisa lisijidai lina..mchango mkubwa sana...in fact mutual society yeyote inaweza kufanya hivyo...kwahiyo isipate sababu ya kujinadi..(marketing strategy kama kawa) kwamba inafanya sanaaa!
Having said that "wako smart kuchukua hela" kutoka serikalini kama alivyo smart EL muasisi wa mpango wenyewe so if EL is fisadi kanisa unaweza kuweka square root??
c) All in all Kanisa limeshazoea kupendelewa, waumini wake wamezoea kupendelewa utawaona wanapiga kelele kweli ukweli ukisemwa kwamba wanapendelewa "wamebariki, nakuabudu upendeleo"
mbaya zaidi kwani kuna nafuu yoyote basi huko mashuleni na mahospitalini kwao kwa mwananchi wa kawaida (hata kwa waumini wenyewe japo wanakamata mshiko kutoka serikalini).in terms of price, etc..that remains to be debated!!
Tumain,
..haya madai yako siyo ya kweli.
..maneno kama hayo ujaribu huko mitaani wanaweza kukuamini, siyo hapa jamii forums.