Mkataba wa kusitisha mapigano kati ya Israel na Hezbollah unakaribia kukamilika

Kumbe Hezbollah ndio wameomba ceasefire na Netapaka ndio amekubali na cabinet ya Israel ndio inasubiliwa ku approve???

Si unatupanga Kila siku Kua mashoga wanachezea kichapo cha mbwa kichaa???
 
Mimi naona ikiwa Hezbullah kakubali sababu ya pressure ya serekali ya Lebanon, kusimamisha vita bila kusimamisha vita vya Gaza. Sioni hapo, ushindi wa Hezbullah. Aliye fanikiwa hapo ni Israel kwa kusaidiwa na US na serekali ya Lebanon.

Hezbullah target yake ilikuwa hasimamishi vita, bila vita vya Gaza kusimama. Israel naye hasimamishi vita bila watu wake kurudi North, na kuvunja silaha za Hezbullah, na kuwarudisha Hezbullah nyuma ya mto Letani. Hakuna aliye fanikiwa hapo.

Aliye fanikiwa ni Israel kwa njia ya siasa sio kwa vita, kama kweli Hezbullah atasimamisha vita na kurudi Letani.

Wote Israel na Hezbullah hakuna aliye shinda vita. Hata kama kuna watu watasema Israel kasurrender, hakuna alicho fanikisha kwenye point zake za vita na Hezbullah kwa njia ya vita.

Je Hezbullah kafanikisha point yake, pia hakufanikisha.

Ukweli mimi naona in one way Israel kapata point angalau ya kuwarudisha Hezbullah nyuma ya mto Letani.

Je vita ndio imeisha no, nikuwapa nafasi Israel aondoe pressure huko Lebanon kuelekea tena Gaza, na si ajabu Israel bada ya miezi miwili kurudi tena Lebanon. Je hapo anaye iuza Hezbullah ni nani kama si serekali ya Lebanon.

Ni ujinga mkubwa sana serekali ya Lebanon kuingilia hi vita, na wanajua wazi jeshi la serekali ya Lebanon hawawezi kupigana vita na Israel. Sababu US haiwaruhusi jeshi la Lebanon kuwa na silaha kali.

Any way mimi siwapi support Hezbullah kusimamisha vita na Israel, naona ni ujanja wa US kumpatia ushindi Israel ushindi wa bure kwa njia ya siasa.

Kila kiongozi aliye husika wa Lebanon kwenye hi deal ni mnafiki, kaiuza Hezbullah, si maslaha ya Lebanon hata kidogo kwenye siku za mbele. Toka lini Israel ili heshimu mikataba. Pia wanao deal na hi peace upabde wa Hezbullah ni wajinga sana, wanajua wazi serekali ya Lebanon siku nyingi inataka kuivunja Hezbullah na hi ndio fursa yao.

R.I.P Commander wangu Hassan Nasurlah. Huyu mwamba walio husika kumua ni hao hao serekali ya Lebanon na US wala sio Israel. N i uwongo mkubwa kusema Israel ndio walio muuwa hata nyau alikuwa hana habari, kadokezwa tu kule alipo enda UN kuwa US kisha muuwa Nasurlah. Ndege za US ndio zilizo enda piga wakajidai za Israel
 
Bro kwani madai ya Israel ni yapi si ni wakazi wa kaskazin warud nyumban na hezbollah isitishe kurusha roketi. Au umesahau hezbollah alishasema hatasitisha mpaka Israel isitishe vita Gaza. Nauliza hili dai limetimizwa?
Na wewe Nakuuliza dai la Israhell limetimizwa mpaka wakubali kusitisha vita
 
Huo ndo ukweli naona isreli amechoka na Vita vya muda mrefu batallian karibu zote zimeshamaliza mzunguko na jama wameshaachoka ..kwa sieren za kila siku
Israel is ever on a war mode. I've never imagined a time when the Jewish state has been on armistice.
 
Kwenye kufa kila mtu anapigania Maisha take... Hawa Lebanon walikuwa na story kuwa hawata acha kuishambulia Israel Hadi Israel iache kuishambulia Hamas..

***** 🤣 🤣 🤣 🤣
Hata israhell walisema hawataacha vita hadi wakazi wa kaskazini warejelee vipi wamerejea tayari
 
Naungana na wewe
 
Umeandika gazeti bila kujua details za hayo makubaliano bila kujiuliza nani alieomba /kupendekeza ceasefire na kwanini Hezbollah wameyakubali hayo mapendekezo na kwanini Israel inambwilambwila kutaka kukataa hiyo ceasefire?
 
Na wewe Nakuuliza dai la Israhell limetimizwa mpaka wakubali kusitisha vita
Si ndio kurudisha wakazi kaskazin au. Ndio wanarud baada ya makubaliano kusainiwa na kichapo kinaendelea Gaza kama kawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…