Hezbollah akubali asikubali ila Ayatolah anaogopa kumkasrisha Trump kawaambia Hezbola wakubali Amani.Hezbullah hawajakubali walio kubali ni serekali ya Lebanon na hio ni pressure ya US kwa hao mapuppets zake kule Lebanon wakawa na mpressure Nabi Al Bary kiongozi wa bunge la Lebanon ambaye ni Shia.
Wenzako Israel wanalia huko kwamba Hezbullah wameshinda vita na kusema huo mkataba ni hasara kwa Israel. Kuna wako kwenye cabinet wanasema Israel isukubali huo mkataba. We kalia Trump kamtisha Iran. Mkataba unasema Israel asisubutu kugusa Lebanon tena 😄 🤣Hezbollah akubali asikubali ila Ayatolah anaogopa kumkasrisha Trump kawaambia Hezbola wakubali Amani.
Wanachi wa Lebanon wanaswali na kufanya maombi ili Vita walivyoingizwa na Hezbola viishe ili na Waisraeli warudi Kaskazini ya Nchi yao.Wenzako Israel wanalia huko kwamba Hezbullah wameshinda vita
Mulize US, Saud Arabia na UAE wamehonga serekali ya Lebanon pesa ngapi mpaa ipatikane amani.Wanachi wa Lebanon wanaswali na kufanya maombi ili Vita walivyoingizwa na Hezbola viishe ili na Waisraeli warudi Kaskazini ya Nchi yao.
October 07/8 haijamsaidia chochote Mwarabu zaidi ya maangamizi tu.
Kwahiyo Serikali ya Lebanon haihitaji Amani?😆😁 acheni ubishi mnajiaibisha...Lebanon pesa ngapi mpaa ipatikane amani.
Acha kusumbua akili yako na hilo tahahira fake muslim Adiosamigo anavyoongea ukisoma unaona ni kiazi fulani.. tread zake ni ujinga ujinga na uongo wa ki Allah AllahKwahiyo Serikali ya Lebanon haihitaji Amani?😆😁 acheni ubishi mnajiaibisha...
in shaa Allah Hezbullah aendeleze kutoa dozi asiwasikilize serekali ya Lebanon.Kwahiyo Serikali ya Lebanon haihitaji Amani?😆😁 acheni ubishi mnajiaibisha...
Inshaalah tena...?! Labda huwaonei huruma Raia wa Lebanon ambao wanakesha Misikitini na Makanisani wakiomba Vita hivi viishe.in shaa Allah
HATUTAKI MAKUBALIANO HAPA NI MWENDO WA AGANO LA KALE JINO KWA JINO HADI WAFILIST WAISHE SIFA KWAKO YESU NA NETANYAHU SHUJAA WA DUNIAWanaukumbi.
Yerusalemu
CNN
-
Mkataba wa kusitisha mapigano kati ya Israel na kundi la wanamgambo wa Lebanon Hezbollah "uko karibu sana," chanzo cha kikanda kiliiambia CNN siku ya Jumapili, hata kama ongezeko la mashambulizi ya Israel lilishuhudia vifo vya Lebanon tangu katikati ya Septemba kupita hatua mbaya.
===============
Jerusalem
CNN
—
A ceasefire deal between Israel and the Lebanese militant group Hezbollah is “very close,” a regional source told CNN on Sunday, even as an uptick in Israeli attacks saw the death toll in Lebanon since mid-September pass a grim milestone
👇🏽
Source: CNN Ceasefire deal between Israel and Hezbollah is ‘very close,’ regional source says, as Lebanon death toll climbs | CNN
Wapi Hezbullah kapiga magoti we mbona muongo sana.FAFO CEASEFIRE tayari. Netanyahu kakubali mpango wa kusitisha Vita Lebanon.
Raia wa Israel wanarudi North na hakuna Gaidi la kuwagusa tena.
FAFO imeeleweka na Hezbola kapiga magoti kavua na Kanzu.
Hahahaha Yahudi la Nyashishi alijui hata linatetea nini😅HATUTAKI MAKUBALIANO HAPA NI MWENDO WA AGANO LA KALE JINO KWA JINO HADI WAFILIST WAISHE SIFA KWAKO YESU NA NETANYAHU SHUJAA WA DUNIA
Alisema Nasrallah kuwa hasimamishi Vita mpaka Gaza... sasa huko sio kupiga Magoti huku amevua Kanzu teyari kwa kupigwa Mswaki?!!😂 just kidding..🤣Wapi Hezbullah kapiga magoti we mbona muongo sana.
Makubaliano ya CEASEFIRE YAMETHIBITISHWA na Israel na Hezbollah. Inapaswa kuwa na ufanisi katika saa zijazo.HATUTAKI MAKUBALIANO HAPA NI MWENDO WA AGANO LA KALE JINO KWA JINO HADI WAFILIST WAISHE SIFA KWAKO YESU NA NETANYAHU SHUJAA WA DUNIA