Mkataba wa Lugumi wapelekwa kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama!

Hivi ni kwanini huyo mtoto wa rais mstaafu anahusishwa na mambo mengi ya kashfa kuliko kusifiwa kwa kutenda mambo mema?hivi marehemu jk nyerere mbona alikuwa na watoto lkn hadi leo hii hatujasikia mambo ya maovu kama ya huyu?
Mkuu huyo katoka ukoo wa mchwa.
 
Kitendo cha mkataba kupelekwa kwa mwingine na sio aliyeomba yaani kamati ya PAC hapo mjue tumeishapigwa changa la macho , mwenye akili na afahamu.
 
 
Kitendo cha mkataba kupelekwa kwa mwingine na sio aliyeomba yaani kamati ya PAC hapo mjue tumeishapigwa changa la macho , mwenye akili na afahamu.
Nitashangaa sana kama JPM atakubali hizi zifanyike naye akae kimya na wananchi walio mwamini kauli zake waanze kumtilia shaka bila yeye kujali.
Hata miezi sits bado tayari anaingia kwenye kundi la kusema uongo? Hapana, kama kuna watu wanapitia hapa na wako karibu naye na wanampenda wamwambie kuwa unachafua dhamira yako na hata hayo maombi unayoomba wakuombee hawatafanya maana hustahili
 
Enzi zetu sekondary kitu kinachoitwa "tata" kilikuwa hakina namna ya kuweze kikielezea
au kuuliza swali.

Kwa ufahamu wangu ndogo,hivi inakuwaje taasisi nyeti/dola/interegensia ya jeshi la polisi inakubali kuingizwa mtegoni ilihali ndio ambayo inategemewa na watu maskini katika haki,ulinzi na usalama wa mali zao?

Kama kuna watu wameingia mkataba wa finger print/alama za vidole si na waanze hiyo kazi mara moja kama kuna tuhuma za udanganyifu katika mkataba huo nini kifanyike mara moja hasa ukizingatia kuwa Jeshi letu la Polisi la sasa si kama la zamani.

Hii tabia ya kuingiza watu/mtu au kikundi cha watu kwenye masuala muhimu ya kitaifa eti tu kutokana na statas zao.vyeo,ukaribu na mtu/watu fulani bila ya kuwa na ushahidi wowote si sawa.

Lakini pia ikitokea mtu/watu/kikundi cha watu kikfanya kinyume na utaratibu wa watu waliojiwekea/sheria haijalishi kafanya nani,yupi ni lazima sheria ichukue mkondo wake.

Kamwe tusiwalee mabepari wachache wanaotumia fursa za vyeo,ukaribu na mtu/watu fulani maarufu kujifanza wanyonyaji na wahujumu uchumi,hakika hatutofika salama kwenye Tanzania ya viwanda.
 
mkuu upo sahihi, sina uhakika record ya JPM inaweza kuvulugwa na jambo dogo hivi, kwanza itakuwa dharau,

nashangaa sana kamati iliyoagiza kupewa taarifa nyingine na iliyopewa taarifa nyingine, sasa cjui kama wizara hawajui kusoma au wanatufanya watz woooteeee hatujui,

ki ukweli kama ni kwelk hyo taarifa imewasilishwa kamati ya mambo ya nje, basi hapo ni kulindana, kwa kuwa haina kazi huko maana walioihitaji si wao, sasa watatoa taarifa vp?

nitakuwa wa mwisho kuamin hili kutokea, na hapo ndipo kipimo cha magu kinapokuja sasa...
 
Tuwe na subira. Hapana chezea serikali ya Magufuli
Endelea kuweka kumbukumbu zako vizuri...

1. Meremeta- HOLA
2. Deep Green- HOLA
3. Kiwira - HOLA
4. Nyumba za Serikali-HOLA na ndio ishakuwa HOLA kabisaaaaaaa
5. Epa- HOLA
6. Richomond- HOLA
7. Mabehewa- HOLA
8. Escrow- HOLA
9. NSSF- HOLA
10. NIDA- HOLA
11. LUGUMI- ........

Hii ndio CCM bana. Kila mtu mwizi, baba jizi, mama jizi watoto wezi, wajukuu MAJAMBAZI, vitukuu Vibaka..
 
Kitendo cha mkataba kupelekwa kwa mwingine na sio aliyeomba yaani kamati ya PAC hapo mjue tumeishapigwa changa la macho , mwenye akili na afahamu.
Roho imeniuma sana! Halafu watanzania wanategemewa kuwa wazalendo. Sio kwa staili hii. Magufuli ingilia kati kama ulivyofanya Shinyanga. Tunataka kujua ukweli. Ukiwafilisi hawa tutajenga madarasa mengi.
 
Ndio maana vigumu sana kuziamini sarakasi za Magufuli kama ni mtumbua majipu kweli au ni visasi na usanii. Kwa sisi non believers tumeamua kujipa muda walau miaka miwili ili tuone huu utumbuaji majipu. Huenda ni mbinu tu inaitwa Quick winning halafu waanze kupiga dili kuliko Kikwete.

Nini kigugumizi kumkamata Saidi Lugumi? Kwa nini mkataba upelekwe kwenye kamati ambayo haijaomba, je wataujadili vipi wakati hawakuwa na ratiba nao? Kwa nini hiyo kamati isikabidhi kwa kamati iliyoomba? Spika haoni hapo kama kuna figisu? Raisi hasomi Magazeti? Au ameacha kuangalia kile kipindi alichosema anakipenda cha Mawingu 360? Jamani Magufuli hizi sanaa utazifanya hadi lini? Kwa nini usiachie rangi yako halisi ya CCM ni ile ile?
 
Hivi ni kwanini huyo mtoto wa rais mstaafu anahusishwa na mambo mengi ya kashfa kuliko kusifiwa kwa kutenda mambo mema?hivi marehemu jk nyerere mbona alikuwa na watoto lkn hadi leo hii hatujasikia mambo ya maovu kama ya huyu?
Riz,Freddy,Sioi ni vijana waliotumia nafasi za wazazi wao kupiga.
 
Mambo yote yanayohusu ulinzi na usalama hii ndio kamati yake,pia ina wabunge wa upinzani sio tabu.Tusubiri.
 
Maji mazito sana kwa Magu nadhani ataomba poo tena aende Chato akapumzike! Naona PM nae anapumzika! Huu mziki wa Mkwere hatari kila sehemu imeoza! Na wana mkono wao kwenye kuiba! Sasa utafanyaje? Jipu halitumbuki limekuwa ni ngozi ngumu ambayo haina maji ndani utatumbua nini? Inahitaji operation kukata hiyo nyama! Sio size yake JPM! Atayaacha!! Hawezi kumvaa Mwema na huyu wa sasa....Riz1 na Said Lugumi analindwa pande zote na kivuli cha mstaafu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…