Mkataba wa Yanga na Sport Pesa waingia mdudu baada ya Yanga kutambulisha mdhamini mpya

Rejea mkataba uko general/ wazi hakuna sehem umeyataja mashindano yapi anakaa kifuani. "Wote wana haki na wote hawana haki"
Okay, mi sijauona mkataba, ila basi itakuwa ajabu hawa SportPesa kufikia hatua ya kulalamika wakati hakuna kipengere kinachowazuia Yanga
 
Hakuprint kimya kimya. Kulikuwa na majadiliano muda mrefu tuu. Sportpesa alishatoa mwongozo kifua ni chake na yanga anapaswa kuweka mzamini kwa muongozo wa sportspesa. Sportspesa alimtaka yanga kupromote utall kama serengeti, kilimanjaro au tz kwa ujumla. Yanga amekaidi, amejifanyia anavoona yeye inafaa. Kumbuka, hili ni ombi la wizara ya utalii kwa timu za tz kuutangaza utalii. Kiufupi yanga imemvimbia mama samia[emoji28]
 
Kimsingi spots pesa ana haki na jezi zinazotumika NBC tu. Ndio maana nimesema mkataba uko general sana, hautaji Azam wala Caf ila umetaja jezi za yanga za msimu ndio maana akapata misimu 5 means ni kwa NBC
Hayo ni matamanio yako wewe. Nafasi ya kifuani ilishauzwa kwa sportpesa mpk 2025.
 
Sasa si mnasema yanga ni timu ya serikali au unajisahaulisha
Mkuu umenikot mm ila unaongelea wengi.
1. Hebu nionyeshe nilipowahi kutoa kauli kama hiyo.
2. Sio kila anaechangia hoja hapa ni Yanga au Simba. Wengine ni mashabiki wa mpira tu sio timu
3. Shabiki anaejua mpira ni yule anaesimamia Ukweli hata kama timu yake imekosea bila kupepesa.

Njoo na hoja, acha ushabiki
 
Okay, mi sijauona mkataba, ila basi itakuwa ajabu hawa SportPesa kufikia hatua ya kulalamika wakati hakuna kipengere kinachowazuia Yanga
Kulalamika kwao ni vile walitafsri kiwa kwa kuwa wamezamini jez za yanga, basi wana haki zote.lakini platform zipi zinahusika mkataba uko kimya
 
We jamaa ni mwehu, Mkataba mpya si wameingia mwaka jana?? Yanga si alikuwa ana Tiketi ya klabu bingwa Afrika??
 
yaani mnakiuka mkataba wa 4B kwa mwaka kwa kusaini mkataba wa 1.5B, halafu unasema mnataka pesa? Ni akili au matope?

Wewe Ndio Huna Akili, MBUMBUMBU Kabisaa Kolo Waheed Wewe, Yani Mtu Anakudhamini Kwa Mechi Sita Tu Za Uhakika Endapo Timu Haitafanikiwa Kuendelea Hatua Inayofata Unaingiza 1.5B…Sasa Huyu Mtu Ukimpa Mkataba Mrefu Itakuwaje ?, Si Kuna Mpunga Wa Maana Hapo..
 
Hakuna sehemu mkataba wao umetaja mashindano yote. Means wao (Yanga na Sportpesa) wanaweza kutafsiri yaonavyo wao. IIa caf na ligi ni platform tofauti mkuu.
Rejea kwa lugha ya kiingereza. Sportspesa is official main sponsor of young afrcn kits. Unaelewaje ?
 
Vip mkuu mkataba wao uliusoma?

Kama ni hvyo bc sportpesa anamakosa aisee [emoji1787]
 
Injinia hersi bado ni mkurugenzi wa uwekezaji wa gsm kampuni ambayo inamweka mjini. Yupo yanga kwa maslahi ya gsm zaidi kama ikivokuwa babra kwa mo. Mitopolo haiwlewi hilo.
 
Mmepata pa kukatia viuono sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…