Mkataba wa Yanga na Sport Pesa waingia mdudu baada ya Yanga kutambulisha mdhamini mpya

Simba Na Mashabiki Wake Mnajionaga Mko Smart Wakati Ni MBUMBUMBU Na Mafala Wakubwa… Yani Sisi Tusiingize Pesa Kisa Kuvaa Visit Tanzania…Kama Mlivaa Na Mtaendelea Kuvaa Ni Nyie Na Haituhusu, Nyie Mabwege Nn!!
Kubalini tu, Yanga kwenye mambo ya mikataba nyinyi ni mambumbumbu first class
 
Watu wa sportpesa ni vilaza sana,bosi wao ni mwanayanga lia lia,unadhani watatoboa kwa hili?
Nahisi wanatafuta kiki tu ili wazungumzwe wakati wa michuano na vyombo vya habari.
Hii ni mikakati ya kimafia ya biashara.
Sport pesa waache uhuni,hiyo ilikuwa syndicate yao ili watengeneze habari

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Yanga inaendeshwa kihuni.
Pesa zote unazoona zinatumika yanga zimetokana na uhuni mwingi sana.
Kukwepa kodi,wizi serikalini na utapeli kama huu uliofannywa,utashangaa vyombo vya habari kwa kuwa havina watu wenye akili,wiki nzima watatumika kuitangaza sport pesa na hiyo kampuni mpya.
Anayekula hasara hapa ni vyombo vya habari.Wangekuwa na akili wangeomba kulipwa pesa na sport pesa ili watangaze habari hizi

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Je mkataba walioingia Yanga na Sportpesa ulikuwa unahusu hadi michuano ya kimataifa?
Kama ulikuwa unawapa haki Sportpesa hadi kwenye mashindano ya kimataifa basi Yanga wamefanya kosa kukiuka mkataba.
Kwani Yanga si wamekuwa wanavaa jezi hizo hizo za Sportpesa kwenye hatua za awali? Hapa kuna matatu, tamaa imewaingia, kutaka kutrend na kushindana na Simba, na tatu kutotaka kuonekana kama wanaiiga Simba kwa kuweka "Visit Tanzania". Yanga wako tayari kurisk kuchukuliwa hatua za kisheria kuliko kuonekana wameiiga Simba ingawa kuna mambo hayaepukiki.
 

Haki ya kukaa kifuani kwa mashindano ya CAF hayaruhusu kampuni yeyote ya kubet isipokuwa 1xbet pekee ndio miongoni mwa wadhamini wa michuano ya CAF. Kwahiyo hilo lilipaswa kuwekana sawa katika mkataba ili Yanga iwe huru kuuza haki ya kukaa kifuani kwa mashindano ambayo sportpesa hatakiwi. Walichofanya Yanga ni sahihi ila waswasi wangu ni kama waliwekana sawa kwa vifungu kwenye hii ishu hapo awali katika mkataba wao.
 
Kwa hiyo SportPesa wakiamua waweke "SIMBA NGUVU MOJA" Yanga wakubali kwa wao ndio wenye haki kwenye hilo eneo? Ni kweli wao wana haki kimkataba ila ni kwa neno "SPORTPESA" wakitaka kuweka maneno mengine wafanye makubaliano mapya.
Yaani umepanga na kulipia chumba cha kulala halafu unafungua biashara eti kisa ulishalipia kodi?
 
Hivi uyu Abbasi Tarimba sindo mwanachama kindakindaki wa Yanga, kulikoni anaingiza siasa kwenye Mpira, Yanga baadaye ya kuona kwamba mdhamini wao Sports pesa anaomba kubadilisha jina na kuweka Visit Tanzania badala ya Sports pesa, Jamaa wakaona apo apo ndo pakupitia maana mkataba unatambua Neno Sportspesa.
Kingine Abbasi tarimba Aachane na hizi Siasa kisa yeye ni mbunge, anataka attention ya kisiasa kwa Timu ya Yanga na Kampuni ya Sportspesa kupata maileg kisiasa.
Nathani tuanze kuwa serious na terms and conditions of business... Tunafeli sana na mwisho wa siku Makampuni makubwa yanaogopa kuja kufanya biashara na Watanzania kwa sababu hizo hizo za kutokuheshimu mikataba.
 
Hatutaki maneno mengi, tuwekee huo mkataba
 
kwa maelezo hayo ya SportPesa, sio lazima iwepo Visit Tanzania, panaweza pakawa wazi, lakini sharti pasiwepo mdhamini mwingine kama wao hawapo
EXACTLY! Ila hawakutaka kuonekana wanaiiga Simba na wakiacha jezi wazi wataonekana siyo wazalendo kwa kukataa kutangaza utalii, kwa hiyo wakaona liwalo na liwe.

Washukuru huyo Abbas Tarimba ni mtu wao, labda atafanya jambo la kuwasamehe ila hapa wangelipa fidia kubwa sana.
 

Hiyo sehemu ya kifua yanga walishauza Kwa spotpesa, so mwenye maamuzi ya nn kiandikwe kifuani ni sport pesa

It's like ww umemtolea mahari mwanamke then then unasubiri amalize chuo umuoe

Badae unaambiwa kuna mtu mwingine kaja kuleta mahari
 
Ila tukiachana na ushabiki kitengo cha Sheria cha yanga kimejaa vilaza.
 
Sportpesa hajalazmisha yawekwe maneno mengine ...lile eneo ni Mali ya sportpesa linatakiwa libaki plain..ikibidi wameshauri labda vitangazwe vivutio vya nchi sio kuweka biashara ya mtu mwingine ..
 
Wewe ndio nimekuelewa
 
Huyo wa mechi sita anajua baada ya hizo mechi mtaendelea kuvaa jezi mtaani kwahiyo bado mtatangaza biashara yake tu, wale wenye dini zao wasiopenda kamari basi washapata mtoko wa jezi
 
Je mkataba walioingia Yanga na Sportpesa ulikuwa unahusu hadi michuano ya kimataifa?
Kama ulikuwa unawapa haki Sportpesa hadi kwenye mashindano ya kimataifa basi Yanga wamefanya kosa kukiuka mkataba.
Na hapa ndipo penye shida, haijulikani kama mkataba ulikuwa unajumuisha mashindano ya kimataifa.

Na kama kulikuwa na hicho kipengele (ambacho kimsingi ndicho kilichomfanya Sportpesa atoe neno)

Basi kwa vyovyote lazima kuwe na kipengele ambacho pia kinamfanya Yanga awe na jeuri ya kufanya alichofanya.
 
Huyo wa mechi sita anajua baada ya hizo mechi mtaendelea kuvaa jezi mtaani kwahiyo bado mtatangaza biashara yake tu, wale wenye dini zao wasiopenda kamari basi washapata mtoko wa jezi
Sportpesa ameona mbali Sana ..Hapo gsm Kama kit supplier alitaka kujifanya na akili ila jamaa wamestuka..wat wanadhani ni mechi sita tu ..
hizi jezi zitabaki mtaani hata baada ya tournerment na watu wasotaka kuvaa zile sbbu ya kamali watakua washapata option..hii itaharibu biasahra ya sportpesa..
Issue Hapo sio tu huo mkataba Kuna Mambo mengi Sana kibiashara Apo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…