Mke mgonjwa amuomba mumewe amletee EX wake afurahie penzi kwa mara ya mwisho kabla ya kufa

Mke mgonjwa amuomba mumewe amletee EX wake afurahie penzi kwa mara ya mwisho kabla ya kufa

Subhanallah!Mswalieni mtume (SAW)[emoji120]
Screenshot_20230815-160846.jpg
kula chuma hicho mkuu..haoo ndio wanawake

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 

Attachments

  • Screenshot_20230815-160846.jpg
    Screenshot_20230815-160846.jpg
    44.2 KB · Views: 3
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mwanamke huyo ambaye ameishi kwenye ndoa kwa muda wa miaka 10 amemwambia mumewe kwamba alikuwa anafurahia tendo la ndoa kutoka kwa ex wake tu na tangu waoane hajawahi kabisa kufurahia tendo hilo.

Kwanini hajaolewa na huyo X akaenda kwa m/me mwingine? Au alifata Maokoto tu? Kwa kauli hii inaonekana X alikuwa anabanjuka naye huku akiwa kwenye ndoa.
 
Ningemletea na room ningewaachia, ni maisha tu na mwanadamu unapoambiwa umebakiza kipindi iki kabla ya umauti wako ni lazima kidogo akili ivurugane na ubongo. NINGEMLETEA.
Dah una roho nzuri wewe
 
Kuna wakati huwa nawaelewa sana wanaume wanaosema hawawezi kuoa mwanamke ambae hawajamkuta na BIKRA.

Ki ukweli mwanamke ambae tayri kashaonja onja akikupata wewe kila kitu anakua kama anafanya ulinganisho.

Ukimkiss analinganisha na Juma
Ukimto... analinganisha na Hamisi
Ukimkumbatia analinganisha na Sam
Ukimpa Hela anakulinganisha na Don Fumbwe

Mjomba mpka uvuke kote huko jibu apate ni WEWE mzee huna baya dunia hiii.
 
Tunajifariji tu lakini kumiliki mwanamke uliyemkuta na mahusiano mengi ya nyuma ni kumilki mke wa watu wengi, coz kama unaoa mdada say 28+, tegemea body count isiyopungua wanaume watano.

Just imagine unaoa mdada kalalwa na watu watano kabla yako, na huenda haupo vizuri kitandani....hakika hataacha ku-pretend!
 
Wanaume wanaopenda kuoa wengi ndio husababisha haya majanga, tulia subiri mwanamke atake mwenyewe ndoa tena akusumbue haswa.

kwa case hiyo ki ukweli ni ngumu ila nadhani ningemfanyia huyo mwanamke kile ambacho ametaka.

Ningefanya huku naumia ila nafanya kwasababu nataka kumthibitishia kwamba mimi ni mwaume pekee niliempenda ili nisimuumize na nilikua tayari kumpa atakacho ili awe na furaha.

Ningemtafuta dear x ningemueleza ombi la Wife kisha ningemuomba akatimize ombi la wife.

Kisha ningemuacha huyo mwanamke aendelee na huyo dear x wake amuhudumie hapo hospitali hadi israeli atakapokuja

ila nisingeweza kuruhusu wakulane halafu dear x aondoke mimi niendelee kumuuguza Mgonjwa, Uchizi huo sina.

Ningemuita Dear X ningewakutanisha na wife halafu mimi ndio mazima yani nikitoka hapo hosptalini ndio staki onekana tena kwenye hstoria ya huyo mwanamke.
 
Pesa zinatuponza,lakini kiuhalisia 66% ya wanawake ndani ya ndoa wanabakwa na waume zao.Hajampenda mwanaume ila kaingia kwenye ndoa Ili avae shera, kachoka kukaa home.....anaogopa Wana -adamu wanaoongea
duh
 
Kuna kitu ambacho watu wengi especially kama hujatembelea nchi za Magaribi kwa wenzetu ni ngumu kukifahamu kwa mapana yake. Kule wanathamini sana HAKI na UHURU. Wenzetu wamefikia level ya juu sana katika kupractise hivyo vitu viwili na wanafurahia kuishi katika maisha ya Uhuru na haki kwa kila mmoja.
Wenzetu ndoa imekuwa ni kama institution ya kuitafuta furaha, kukaa mbali na upweke na si kama Afrika inavyobaki Kama sehemu ya kutengeneza familia.
Wengi mnaweza ukashangaa ombi hilo kwa mumewe na at the end of the day mumewe akamtimizia ili mwanamke aipate furaha anayoihitaji kabla hajafariki.
 
Ombi la marehemu mtarajiwa
Nimuhimu kuliko kingine chochote kwasasa na asipofanya hivyo itamgharimu maishani mwake moto

Yeye akamwite x wake ,basi atimize hiyo furaha ya mwezake

Wosia huo ,athari zake kubwa usipotimiza
 
Back
Top Bottom