Mke wa Dkt. Mwaka asema yuko tayari kumuachia Dkt. Mwaka kila kitu mradi apate amani

kuna talaka aina gapi?
 
Kwanini ana haki yake, tena huyu akipewa talaka anaenda kupata mme mwenye hadhi kuliko hata Mwaka kashafanya matangazo ya kutosha.
Hilo Mwaka analijua ndiyo maana hataki kumpa talaka mrembo wake. Kuna fisi wamekaa tayari wanasubiri Mwaka atoe talaka wakajisevie. Mwaka akomae Queen atarejea tu hasira zikiisha. Unampaje talaka mtoto kama Queen?!
 
Hilo Mwaka analijua ndiyo maana hataki kumpa talaka mrembo wake. Kuna fisi wamekaa tayari wanasubiri Mwaka atoe talaka wakajisevie. Mwaka akomae Queen atarejea tu hasira zikiisha. Unampaje talaka mtoto kama Queen?!
Mwaka mjinga unaanza je kufarakana na mke msomi mzuri mwenye exposure wakati wengine tunavumilia vibakuli wetu huku, subiri atashangaa kuona watakao jitikeza kumchukua, matajiri wengi wanaangaika na kupata wake wazuri, wana kila kitu ila wanakosa wake wakuwaongezea thamani katika maisha yao.
 
Mwaka ameshatambua kosa lake ndiyo maana hataki kutoa talaka. Akiuacha ule mzigo dakika mbili nyingi baada ya eda watu wamebeba.
 
Una uhakika!!?..Qur'an inasema hivyo!?..acheni kumzulia Allah sw uwongo enyi watu,someni Qur'an mbona ipo wazi na rahisi kueleweka!!
 
Una uhakika!!?..Qur'an inasema hivyo!?..acheni kumzulia Allah sw uwongo enyi watu,someni Qur'an mbona ipo wazi na rahisi kueleweka!!
hapa hatugombani mambo ya dini hayataki jaziba qur,an inasemaje?
 
Wanawake wana advantage moja kubwa nao wanajua kuitumia vizuri..

Kupretend u victim au kuonewa...

Hamna kiumbe anajua kuigiza maigizo ya kuonewa km mwanamke..Ukisikiliza vzr clip zote zA huyu mke wa mwaka..unagundua anatumia advantage hiyo vzr..

Hivi huyu dada niwakuombA raisi wa nchi amsaidie kuvunja Ndoa??labda sasa atuambie kipi specific ambacho ana fanya saizi km sio defamation..


Ndoa kuvunjika ni sawa kwa utaratibu wa dini Yao ya kiislam ila kufanya ndoa yako ni center of attention tena kwa kuleta kikosi kazi cha maandamano mixer kwenda clouds halafu hapo hapo ana play victim card while anamfanyia defamation Dr Mwaka .Ni mjinga tu ndo atabisha kwamba mwanamke huyu anatumia mbinu za kike kumuumiza Dr .Mwaka

Otherwise atoke open aseme km ni kuachana tu au kuna siri nyingine ambazo hatuzijui...

Ogopa sana hawa wanajiita wanyonge.. matendo yake maneno yake haviendani, vinaonyesha kabisa ukiacha Kuvunjika kwa Ndoa lakini nataka nikuharibie sifa Yako kwa watu,nikuchafue na ndo anachofanya kwa sasa.

Kwenda tu kule kwenye baraza lao ilitosha mchakato wa Ndoa kuvunjwa kufanyika haya hili la clouds lilikuwa na ulazima???Hapana,
 
wewe hauko sawa kama unaweza mdharau kiasi hicho mkeo kisa mke wa mwaka pole sana ndugu
 
Ukiona Mtu anataka Talaka ujue amekuchoka na hakutaki tena, na hata akiolewa saa nane mchana shida iko wapi? Kumng'ang'ania mtu asiyekupenda wewe ndio unaonekana ni mjinga na mdhaifu.
 
Ugomvi wa ndoa ni vita isiyotumia risasi hawawezi kukaa chini na kuyajenga. Kila mtu anapambana ili mmoja apate maumivu mkuu mapenzi matamu uyaone hivyo hivyo yanaanza.
 
Wewe Hilo la kila hedhi talaka umelitoa wapi!?
unaniuliza tena umesema qur,an hasimi hivio ni kakuuliza hivi qur,an iasemaje? jibu swali inasemaje kuhusu hili nikosoe kwa hoja niko tayali kukosolewa sio jaziba
 
Sema mambo ya ndoa mengi hayasemwi hadharani, ila mwaka nae alishawahi kimleta kwenye media tena wake wote wawili kwa kujidai kwamba iko vizuri nao, Mke kaiga hilo, what goes round comes round, mwaka is responsible kwa hi saga......kwani ni wangapi wanamgogoro na wake zao ila wanamalizana kimya kimya, huwezi kushindana na mwanamke kwenye vita ya kupata sympathiser iko tayari hata kulia ili kupata huruma yako hata kama yeye ndo mkosaji kwani yeye Mwaka hakujua hilo, Mwaka hawezi kushinda hiyo vita atadhalilika zaidi na zaidi kuna NGO nyingi za kutetea haki zawanawake watadandia hi case asubhi mapema. Bora atoe talaka yaishe mapema.
 
Kumbuka hio ni ndoa ya kiislamu so talaka inaruhusiwa na kuolewa tena inaruhusiwa pia

Kwani kuna tatizo akiolewa tena?

Mkichokana msisubirie mpaka muuane.

Mwanamke keshamchoka mwaka so mwaka atoe talaka bibie awe huru
Kwani mwanamke akijikuruhu (kujivua ndoa) Kuna shida gani?
Dini ya kiislam Ina utaratibu huo Kama mwanaume hataki kutoa talaka mwanamke anajivua.
Mke w mwaka atumie option hiyo vinginevyo Kuna Jambo amelilenga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…