Jamaa kichwa aloo nimeipenda hii na mimi naiga tunaambiwa tuige mambo mazuri
 
[emoji1787]
 
Naunga mkono kabisa mwanamke wa kukutana ukubwani hatari sana wenye mapenzi ya dhati ni 1/10 yamenitokea sana
 


Hoi mwanamke😂😂😂😂😂
 
KATAA NDOA....
NDOA NI MATESO
NDOA NI CHANZO CHA MATATIZO
NDOA ITAKUPA MSONGO WA MAWAZO
WAHENGA WALISEMA KUA NDOA NDOANO

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
TIMU #KATAANDOA TUNAONGOZA TATU BILA NA STAR [emoji93] WETU SI MWINGINE BALI NI GENIUS
HAKIMI A MAN FROM [emoji1173]
 
Mke wa Nyota wa PSG na timu yaTaifa ya Morocco, Achraf Hakimi aliwasilisha kesi ya talaka mahakamani baada ya mumewe kutuhumiwa kumbaka mwanamke wa miaka 24 na alitaka mgawanyo wa mali na utajiri wa mwanasoka huyo nusu kwa nusu.

Baada ya kufika mahakamani, waligundua kuwa Achraf Hakimi hakuwa na chochote hata senti, kwani utajiri na mali zote anazomiliki nyota huyo zilikuwa zimeandikwa kwa jina la mama yake mzazi kwa muda mrefu.(Soma post ndogo, uone sakata lilipoanzia)
 

Attachments

  • FB_IMG_1681476919418.jpg
    208.2 KB · Views: 2
  • FB_IMG_1681476924909.jpg
    129.1 KB · Views: 4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…