Mke wa Mchezaji Achraf Hakimi aambulia patupu baada ya kudai talaka akidhani atapata mali
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] japo mi nimeolewa ila we jamaa kila nikiona hii comment yako nacheka hoi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii haimaanishi naunga mkono hoja yako sema tu unaniua mbavu na huu msimamo wako[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukiona hivyo ujue yamemkuta ohooo
Anajuwa anachokisema

Ova
 
Sio yule Emmanuel Eboue aliekuwa akipata mshahara wote anatuma kwa mkewe ndo aweke uwekezaji.Mwisho wa siku Emmanuel akapigwa talaka na kuambulia zero.Ashraf kweli Mungu alimuongoza,hawa warembo wengi wanakimbilia wacheza mpira sababu ya pesa. Ndo maana C.Ronaldo hataki kufunga ndoa na Georgina.
Kwa sisi wanaume inatakiwa uangalie sana sehemu unayooa na kama una mali ujipange mapema. Kuna dada mmoja alikuwa anaomba baba yake afe ili arithi kiwanja kilichoko Kariakoo. Na kweli shetani akasikia ombi lake akafariki. Siku alipofariki yule dada alikuwa na uchangumfu ambao uliwashangaza watu. Nikawa najiuliza huyu kama anaweza kufanya hivi kwa baba yake, je kwa mumewe!
 
Back
Top Bottom