Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaNDOA NI KAMARI
NDOA NI HUJUMA
NDOA NI UBADHIRIFU WA MALI ZA MWANAUME
NDOA NI MTEGO EPUKA USINASWE
NDOA NI UNYONYAJI
NDOA NI UDUNISHAJI HAKI ZA MWANAUME
NDOA NI UTUMWA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna kuonea huruma msimbeKwamba binti alipe na madeni[emoji1787]
Kua mwanaume inabdi uwe IQ kubwa sana mm nawez kukuonyesha Kila kitu kwako Cha uongo uongo kumbe nyuma ya pazia nin mamb makubwa nafanya ambayo ww mwenyew siwez kukwambia na hupaswi kujua kwaiy ww utakua unaishi unajua kabisa ni vya kwangu kumbe siyosasa mbona wanisakama mie tuu. sema uzi umewafurahisha wakataa ndoa wote. leo tena wikend lazima tukaparty kwa niaba ya bwana ashraf.
ametoa fundisho moja zuri sana.
ila huyo mwanamke naye boya unatombwaje alafu hujui mali za mumeo zipo kwenye jina gani ....huyu nae bogus tuu kwanza ashraf alikosea ata kuoa mwanamke hana akili kabisa anajua kupanua mapaja tuu.
Amejua kutuheshimisha huyu jamaa
alafu kweli mwanawane wala hunashida ya kuficha unamuweka wazi tuu hivi vitu vy mama sasa wewe kama wataka kusepa sepa tuu wala hamna shida kesho mbusus nyingine itakuja kuenjoy lifeKua mwanaume inabdi uwe IQ kubwa sana mm nawez kukuonyesha Kila kitu kwako Cha uongo uongo kumbe nyuma ya pazia nin mamb makubwa nafanya ambayo ww mwenyew siwez kukwambia na hupaswi kujua kwaiy ww utakua unaishi unajua kabisa ni vya kwangu kumbe siyo
Hata kama nikikwambia mali zangu zote mama angu ndo anamiliki na ndo ananihudumia utanifanyeje?
Najua huwez kuondoka coz wanawake ni watu wa vitonga Nina magari ya kitosha nyumba Kila ila majina ni ya mama hunifanyi kitu chochote utaishia kulia lakin itakubid uvumilie kwa sabab nakuhifadhi hutak sepa na huambuliii chochote 😂😂
Tuna update tu mbinu ya HakimiTusigombanie mali, tutafute furaha ya milele
[emoji3][emoji3][emoji3]Huyu mwanamke alitaka kumpukutisha kama alivyofanywa Ebue
Mtu wa uhakika uwa mama tu.. wanawake mda wowote anakuwa chochote maana hujaziliwa nae damu ingine hiyoMatukio haya machache yataweza kutumika kama sababu ya kupelekea Mabinti zetu kutoolewa siku za usoni kwamaana wote watahesabika kama Gold Diggers tu.
Wanasahau Samaki Mmoja akioza anatupwa ili kutofanya wote waoze
Shetani haolewi na malaika lakini 😁Wanawake wamekuwa mashetani
Hakimi pia ana kesi ya kubaka hivyo baada ya kuona hivyo ndio huyo dada akadai talakaItakuwa mke aliona hakuna faida. Alichokitarajia hakukikuta.Ndo maana akaomba talaka akijua walau apewe chake mapema,kumbe ndo worse zaidi.
Mke wa Ashraf Hakimi amempeleka mahakamani ili kupata talaka na alitaka Mahakama iwagawanyishe mali.
Baada ya Talaka kufanikiwa na kukubaliana kugawana mali, ikagundulika kuwa Ashraf Hakimi hakuwa na mali yoyote na hata akaunti zake benki hazikuwa na pesa yoyote.
Inaelezwa kuwa mahakama imebaini Ashraf Hakimi alishaweka mali zake zote kwa jina la mama yake muda mrefu uliopita.
==============
Aliyekuwa Mke wa Mchezaji wa Klabu ya PSG 🇨🇵, Achraf Hakimi 🇲🇦 aitwaye Hiba Abouk 🇪🇦 baada ya kuachana na Hakimi March 27,2023 alienda Mahakamani na kuwasilisha kesi ya kudai talaka huku akitaka agawiwe nusu ya mali ya Hakimi.
Baada ya Mahakama kufanya tathimini za mali za Achraf ilibaini kuwa aliyekuwa Mume wake hamiliki chochote kwani mali yake yote imesajiliwa kwa majina ya Mama yake
Hakimi anapokea Euro Milioni Moja (zaidi ya Shilingi Bilioni 2.56 kama Mshahara ndani ya PSG kila mwezi lakini 80% (zaidi ya Shilingi Bilioni 1.64) pesa hizo huwekwa kwenye akaunti ya mama yake Bi. Fatima.
"Hana mali, magari, nyumba, vito au hata nguo kwa jina lake.Wakati wowote na akitaka chochote huwa anaulizia kwa Mama yake ambaye huwa anamnunulia"
Mahakama ilitoa taarifa hiyo.
Inakadiriwa Kuwa Hakimi Achraf ana Utajiri wa Euro Milioni 17 ambazo ni zaidi ya Shilingi Bilioni 45 ila Mali zote zinamilikiwa na Mama yake, Bi Fatima.