Mke wa Mchezaji Achraf Hakimi aambulia patupu baada ya kudai talaka akidhani atapata mali

Mke wa Ashraf Hakimi amempeleka mahakamani ili kupata talaka na alitaka Mahakama iwagawanyishe mali.

Baada ya Talaka kufanikiwa na kukubaliana kugawana mali, ikagundulika kuwa Ashraf Hakimi hakuwa na mali yoyote na hata akaunti zake benki hazikuwa na pesa yoyote.

Inaelezwa kuwa mahakama imebaini Ashraf Hakimi alishaweka mali zake zote kwa jina la mama yake muda mrefu uliopita.

==============

Aliyekuwa Mke wa Mchezaji wa Klabu ya PSG 🇨🇵, Achraf Hakimi 🇲🇦 aitwaye Hiba Abouk 🇪🇦 baada ya kuachana na Hakimi March 27,2023 alienda Mahakamani na kuwasilisha kesi ya kudai talaka huku akitaka agawiwe nusu ya mali ya Hakimi.

Baada ya Mahakama kufanya tathimini za mali za Achraf ilibaini kuwa aliyekuwa Mume wake hamiliki chochote kwani mali yake yote imesajiliwa kwa majina ya Mama yake

Hakimi anapokea Euro Milioni Moja (zaidi ya Shilingi Bilioni 2.56 kama Mshahara ndani ya PSG kila mwezi lakini 80% (zaidi ya Shilingi Bilioni 1.64) pesa hizo huwekwa kwenye akaunti ya mama yake Bi. Fatima.

"Hana mali, magari, nyumba, vito au hata nguo kwa jina lake.Wakati wowote na akitaka chochote huwa anaulizia kwa Mama yake ambaye huwa anamnunulia"

Mahakama ilitoa taarifa hiyo.

Inakadiriwa Kuwa Hakimi Achraf ana Utajiri wa Euro Milioni 17 ambazo ni zaidi ya Shilingi Bilioni 45 ila Mali zote zinamilikiwa na Mama yake, Bi Fatima.
🤣🤣🤣🤣🤣 hapo bi dada atajutia uamuzi wake wa kudai talaka.
 
Screenshot_20230414-184138.jpg
 
Mkali wa hizi kazi. King of all wasimbe
Mama's boys' kumbe wana faidika sana mbali na kwamba tunawachekaga[emoji23][emoji23]

Am so fucking happy for him. Goldiggers wananyooshwa haswa. Kila mtu aamke sasa. Kila mtu atafute chake puumbavu kabisa
IMG_20230414_181121.jpg
 
mwamba alijipanga. mama ndio anapanga sasa matumizi ya hela. hii nimeikubali. kuanzia kesho na mie naenda mwambia boss wangu badilisha hel zinatumwa kwenye akaunt ya bi mkubwa. yeye sasa ndio anipangie matumizi. naona itasaidia ata kutokuwa na micheps. mwamba katupa somo kubw asana
Aende wekeza Mr Kuku au Jatu
 
Back
Top Bottom