Dr.Dree alitingishwa sana kipindi na Corona.
Yule mwana mama wamekaa miaka mingi sana.

Duniani ni akili tu ...pesa mbele utu nyuma.

Unaweza pata Mwanamke Smart na mchakarikaji ikatokea asiwe na tamaa.Wewe na Mungu wako.
Ila ukikutana na pigo za huyo..ni ukishtuka mapema mwaga Unga na kula Mboga zote.
 
Hakuna mama anaetimua wajukuu zake... Kwani wadogo zangu wakiclaim kuna ubaya gani na ni damu yangu pure.. Kwa hilo tunatembea na Achraf hakimi... Ndio model wetu kwenye mahusiano.. Hapa hata infinix yangu ntaandikisha
 
Tanasha alienda mahakamani kudai nusu ya mali, akakuta Mondi hana kitu aise, mali zote za mama yake, hii mbinu kali sana, tuanze kuitumia
 
Yeah kama ni 'vijimali' why vimtoe macho mpaka adai talaka?! Acha ushamba wewe mama sijui dada sijui mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…