Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
Ngoja nimuonyeshe hapa ausomeOmba sana mume wako aiuone huu uzi maana....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nimuonyeshe hapa ausomeOmba sana mume wako aiuone huu uzi maana....
😁😁😁😁Kwa Mali gani mnazomiliki sasa?!! Kuchoshana tu!
Mpaka mtoe milio yote dadek wadangaji wakubwa nyie hamtoki hata na sahani mamaeeeeeKwa Mali gani mnazomiliki sasa?!! Kuchoshana tu!
Dr.Dree alitingishwa sana kipindi na Corona.Bull crapola... Kiaje ufanye hivyo? Basi si usingemuoa tangiapo utafute au msubirie uliyempenda kwa dhati. Unataka kuoa msukule? Ukutumikie kuanzia A2Z ila akichoka vitimbwi yako eti aondoke mikono mitupu? Wanawake wa zamani hao au wavivu... Mwanamke haswa wa karne hii hakusubirii wewe au vijimali yako. Roho jiwe hiyo🤣
AhaajjajaaaSasa mbakwaji atalipwa nini 😂😂😂😂😂😂
We endelea kula haraka haraka ulafi wa chakula kwenye mapenz ondoka hukoHuu uzi comments zake zinachekesha sana[emoji28]
Basi wenyewe mnajiona mmewiniiiii
Aaah wapi. Lingekuwa jeshi kubwa huyo dada asingekula za usoUmeona,mbaliii
Wanawake ni jeshi kubwa lenye vitengo mbalimbali [emoji38] [emoji38]
Pole sana ili usiumie tena mkuu kunywa sumu hutakaa uumie tenaNdio mkuu
Smahani mkuu, waislam mkitalakiana hamgawani mali? Mbona Achraf Hakimi ni muislamu?Naona wakristo mnavoteseka na hizi sheria zenu mlojitungia mkaacha sheria za Mungu
Hata akiwa single huduma si anakuwa anapata au? Tena ni cheap kuliko hata angekuwa kaoa.Naona jamaaa kajitafutia kukaa single mpaka afe hakuna dem atamkubali tena washa sanda jamaa bahili mno[emoji38][emoji38]
Ndiyo maana yake[emoji23]Au kama vipi watoto wakalelewe na bibi yao
Lakini mbona nyinyi mmekasirika sana? Mlikua na ajenda gani?Labda miswaki mxyuuuuu
Katufuraisha sana aisee.Aliwaza nje ya box alikuwa anakula mbususu uku kimoyomoyo anasema jikanyage😃😃Yaani watu washapata pa kutulia stress zao za maisha😬😁😁😁
Hakuna mama anaetimua wajukuu zake... Kwani wadogo zangu wakiclaim kuna ubaya gani na ni damu yangu pure.. Kwa hilo tunatembea na Achraf hakimi... Ndio model wetu kwenye mahusiano.. Hapa hata infinix yangu ntaandikishaFanya hivyo kama
1. Umezaliwa peke yako tu( Mama yako akifa inahesabika ni mali ya familia hivyo mgao unakua wa watoto wake wote,ikitokea umefariki kisha Mama yako yupo hai mkeo na watoto hawana vyao pale na mbaya nyumba ikiwa kwa jina la Mama yako ,mke na watoto wanaweza timuliwa hapo kama hawana maelewano mazuri na Mama mtu)
2. Mama yako sio mtu wa dini sana hasa muumini wa manabii na mitume. sadaka etc zitahusika kufilisi mali zako
3. Mama sio mtu wa vivoba na vikundi wala mpenda mikopo
4. Sio mtu wa sherehe kila kukicha,maisha ya mashindano.
5. Mama usipitwe(kila fashion yake)
6. Mtu wa mashosti,viben10
Mbona kama haujapenda? Kamoe mali zako huyo dada, ila za mama's boy Hakimi hazipati.Yaani watu washapata pa kutulia stress zao za maisha[emoji51][emoji16][emoji16][emoji16]
Tanasha alienda mahakamani kudai nusu ya mali, akakuta Mondi hana kitu aise, mali zote za mama yake, hii mbinu kali sana, tuanze kuitumiaNadhani sasa mtamuelewa mama's boy Diamond platnumz dogo aliusoma mchezo mapema sana Kila kitu kipo kwa Jina la bi Sandra alijua ma Gold diggers kina mobetto wange mmaliza Hawa ma slay queen Wana la kujifunza, hata sikumoja Maza hawezi kukugeuka mwanae ila Hawa viumbe wa kuitwa mke sijui mzazi mwenzangu dakika sifuri tu, mwamba hakimi amecheza kama pele.
Mama'sboy 5 - slay queens 0
Huku muelewa.. Alimaanisha jeshi kubwa la vicobaAaah wapi. Lingekuwa jeshi kubwa huyo dada asingekula za uso
Yeah kama ni 'vijimali' why vimtoe macho mpaka adai talaka?! Acha ushamba wewe mama sijui dada sijui mzeeBull crapola... Kiaje ufanye hivyo? Basi si usingemuoa tangiapo utafute au msubirie uliyempenda kwa dhati. Unataka kuoa msukule? Ukutumikie kuanzia A2Z ila akichoka vitimbwi yako eti aondoke mikono mitupu? Wanawake wa zamani hao au wavivu... Mwanamke haswa wa karne hii hakusubirii wewe au vijimali yako. Roho jiwe hiyo[emoji1787]