Sasa hivi kote kwenye mitandao ya kijamii ni Ashraf Hakimi.
Ashraf Hakimi ni kijana mdogo Morocco aliyezaliwa 1998 jijini Madrid Uhispania.
Ni beki mkabaji ni mshambuliaji wa timu ya PSG na Morocco.
Mshahara wa Hakimi ni Zaid ya Euros million moja kwa mwezi.
Masaa 24 iliyopita Ashraf Hakimi kawashanga ulimwengu. Hii ni baada ya mke Hiba Abouk nusu Mtunisia na mlibya raia wa Uhispania wake ambaye wamezaa naye watoto wawili kuomba talaka kwa kumsingiza eti alikuwa anamnyanyasa kijinsia.
Mke wake na mwanasheria wake wameshtuka baada walipotaka mali na hela zote za Hakimi zigawanywe nusu kwa nusu nakugundua Hakimi alishaandika mishahara yote na mali ziwe zinaenda kwenye account ya mama yake. Kwa iyo hatapa chochote
Unaambiwa huyo mwanamke hakuamini.
Hata CCN imemohoji Hakimi nakumuuliza licha ya umri wake mdogo aliwezaje kutumia akili kiasi hicho. Kwasababu huyo mwanamke umri wake 36yrs ni mkubwa Zaid ya miaka 12.
Yeye anasema anakumbuka sana mama yake alivyomlea kwa shida Madrid.
Sasa hivi huko kwenye TikTok ni Ashraf Hakimi tu. Watu wanamsifu na kumpongeza.
Wengine wanasema wamejifunza kutoka kwake.