Hakika hata sisi wanawake tumelifurahia hili. Ndo yaleyale ya akina jacky Mengi. Ndo muelewe. Its not about jelousy. Sisi wanawake tunajuana sana. Komesha wadangaji wote. Hivi vicky likwelile na doreen mrema wamefikia wapi nao?[emoji23][emoji23] wanaume nawashauri kuwa makini sana. Najua wengi mnalia sana kwenye ndoa zenu. Hawa wadangaji wamewatenga na ndugu na familia zenu kwa kutaka kudhibiti mali. Shwaini kbs
 
Huyu mwamba kaonyesha njia
so, vijana msikatae ndoa maana siku moja mlizaliwa na mama zenu waliokubali ndoa ndo maana mnaishi
biblia inasema ishini na wake zenu kwa akili,
Hakika huyu mchezaji alitumia akili kwamba hata mama yake akimdhurumu akifa atairithi mali
 
Sasa hivi kote kwenye mitandao ya kijamii ni Ashraf Hakimi.

Ashraf Hakimi ni kijana mdogo Morocco aliyezaliwa 1998 jijini Madrid Uhispania.

Ni beki mkabaji ni mshambuliaji wa timu ya PSG na Morocco.

Mshahara wa Hakimi ni Zaid ya Euros million moja kwa mwezi.

Masaa 24 iliyopita Ashraf Hakimi kawashanga ulimwengu. Hii ni baada ya mke Hiba Abouk nusu Mtunisia na mlibya raia wa Uhispania wake ambaye wamezaa naye watoto wawili kuomba talaka kwa kumsingiza eti alikuwa anamnyanyasa kijinsia.

Mke wake na mwanasheria wake wameshtuka baada walipotaka mali na hela zote za Hakimi zigawanywe nusu kwa nusu nakugundua Hakimi alishaandika mishahara yote na mali ziwe zinaenda kwenye account ya mama yake. Kwa iyo hatapa chochote

Unaambiwa huyo mwanamke hakuamini.

Hata CCN imemohoji Hakimi nakumuuliza licha ya umri wake mdogo aliwezaje kutumia akili kiasi hicho. Kwasababu huyo mwanamke umri wake 36yrs ni mkubwa Zaid ya miaka 12.

Yeye anasema anakumbuka sana mama yake alivyomlea kwa shida Madrid.

Sasa hivi huko kwenye TikTok ni Ashraf Hakimi tu. Watu wanamsifu na kumpongeza.

Wengine wanasema wamejifunza kutoka kwake.

 
Na kale ka familia ka Kardashian Ipo siku wataotewa tu wamesha dhulumu sana Mali za wanaume juzijuzi tu Kanye alikua victim, Ipo siku watapata mjanja wao.
 
Dogo jack huyo namuelewa sana vipindi vya channel yake.
 
Ila hata mimi nimeanza kumuelewa Mama Dangote anaupiga mwingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…