Mke wa Mchezaji Achraf Hakimi aambulia patupu baada ya kudai talaka akidhani atapata mali

Mke wa Ashraf Hakimi amempeleka mahakamani ili kupata talaka na alitaka Mahakama iwagawanyishe mali.

Baada ya Talaka kufanikiwa na kukubaliana kugawana mali, ikagundulika kuwa Ashraf Hakimi hakuwa na mali yoyote na hata akaunti zake benki hazikuwa na pesa yoyote.

Inaelezwa kuwa mahakama imebaini Ashraf Hakimi alishaweka mali zake zote kwa jina la mama yake muda mrefu uliopita.
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
 
Matukio haya machache yataweza kutumika kama sababu ya kupelekea Mabinti zetu kutoolewa siku za usoni kwamaana wote watahesabika kama Gold Diggers tu.

Wanasahau Samaki Mmoja akioza anatupwa ili kutofanya wote waoze
 
Sio yule Emmanuel Eboue aliekuwa akipata mshahara wote anatuma kwa mkewe ndo aweke uwekezaji.Mwisho wa siku Emmanuel akapigwa talaka na kuambulia zero.Ashraf kweli Mungu alimuongoza,hawa warembo wengi wanakimbilia wacheza mpira sababu ya pesa. Ndo maana C.Ronaldo hataki kufunga ndoa na Georgina.
Hawa wadada wa kizungu hawanaga huruma kabisaa. Lol.
[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Back
Top Bottom