KIDUME20
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 1,951
- 4,540
๐๐๐๐๐Africa ( weusi) ukifanya hivi Ndugu zako wanamuua Mama yenu fasta wagawane Mali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐๐๐Africa ( weusi) ukifanya hivi Ndugu zako wanamuua Mama yenu fasta wagawane Mali
Labda miswaki mxyuuuuuKwa Mali gani mnazomiliki sasa?!! Kuchoshana tu!
Mm mwenyew nifanya hiv kwenye mali zangu.
Mke wa Ashraf Hakimi amempeleka mahakamani ili kupata talaka na alitaka Mahakama iwagawanyishe mali.
Baada ya Talaka kufanikiwa na kukubaliana kugawana mali, ikagundulika kuwa Ashraf Hakimi hakuwa na mali yoyote na hata akaunti zake benki hazikuwa na pesa yoyote.
Inaelezwa kuwa mahakama imebaini Ashraf Hakimi alishaweka mali zake zote kwa jina la mama yake muda mrefu uliopita.
==============
Aliyekuwa Mke wa Mchezaji wa Klabu ya PSG [emoji1073], Achraf Hakimi [emoji1173] aitwaye Hiba Abouk [emoji1069] baada ya kuachana na Hakimi March 27,2023 alienda Mahakamani na kuwasilisha kesi ya kudai talaka huku akitaka agawiwe nusu ya mali ya Hakimi.
Baada ya Mahakama kufanya tathimini za mali za Achraf ilibaini kuwa aliyekuwa Mume wake hamiliki chochote kwani mali yake yote imesajiliwa kwa majina ya Mama yake
Hakimi anapokea Euro Milioni Moja (zaidi ya Shilingi Bilioni 2.56 kama Mshahara ndani ya PSG kila mwezi lakini 80% (zaidi ya Shilingi Bilioni 1.64) pesa hizo huwekwa kwenye akaunti ya mama yake Bi. Fatima.
"Hana mali, magari, nyumba, vito au hata nguo kwa jina lake.Wakati wowote na akitaka chochote huwa anaulizia kwa Mama yake ambaye huwa anamnunulia"
Mahakama ilitoa taarifa hiyo.
Inakadiriwa Kuwa Hakimi Achraf ana Utajiri wa Euro Milioni 17 ambazo ni zaidi ya Shilingi Bilioni 45 ila Mali zote zinamilikiwa na Mama yake, Bi Fatima.
Tafuta zako. Or mlaumu baba yako kwa kucheza bao huku wenzake wanawekeza kwa watoto wao.Jamaa ana roho ya ubinafsi mtu kakuzalia watoto wawili kwa nini mali andike za Mama yake[emoji51][emoji51]
Hizi sheria kandamizi kwa wanaume ndizo zinazo waongezea kibri wanawake kudai talaka ,atoke kwao huko na umaskini wake halafu atake kutumia mwanya wa ndoa kutajirisha familia yake ushenzi tuu.Huwezi hamisha bila consent ya mwenzako sababu umezipata ukiwa naye.
Waweza fanya hivyo kama tu haujamuoa.
Au waweza weka Prenuptial agreement
Hii habari imesambaa huko mtandaoni mpaka imekuwa keroJamaa kamuweza sana, akina Jacquline Mengi wapo kila kona, tuwe makini [emoji23]
Next of Kin kajiweka yeye Hakimi. Hata mama yake akifa leo hakuna ndugu yake atapata chochote.Africa ( weusi) ukifanya hivi Ndugu zako wanamuua Mama yenu fasta wagawane Mali
Omba sana mume wako aiuone huu uzi maana....Huu uzi comments zake zinachekesha sana๐
Basi wenyewe mnajiona mmewiniiiii
Wakati wa kuachana ni vita ya kukomoana...Kwa Mali gani mnazomiliki sasa?!! Kuchoshana tu!
Ninyi ndio walewale na sasa hamtupati ngโo hii imekula kwenu๐๐๐๐Kwa Mali gani mnazomiliki sasa?!! Kuchoshana tu!
Mkuu mbona unampa majibu ya kuua sana huyu? Majibu ni mafupi na makali mno[emoji23][emoji23][emoji23]Wosia umeandika mrithi ni Hakimi
AmenNa takaye tokea kumpinga uenyekiti wake basi uanachama afutwe mara moja!!
tena kwa mtoano !!!Inaitwa kulamba jokeri ndio huyo dada sasa