Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Ajengewe sanamu refu sana😂😂😂Amejua kutuheshimisha huyu jamaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ajengewe sanamu refu sana😂😂😂Amejua kutuheshimisha huyu jamaa
Watalelewa na bibi yao au mama yao kupiitia msaada wa bibi yao. Uliza pia vipi mama yao akidondoka watalelewa na nani?!Vipi ukidondoka wanao watalelewa na nani??
Yaaani katufurahisha, mno mno mnooooo!!! Ajengewe sanamu bhana...😁😁😁Katufuraisha sana aisee.Aliwaza nje ya box alikuwa anakula mbususu uku kimoyomoyo anasema jikanyage😃😃
Ahaaa nimemuelewa sasaHuku muelewa.. Alimaanisha jeshi kubwa la vicoba
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndo hapo sasaYeah kama ni 'vijimali' why vimtoe macho mpaka adai talaka?! Acha ushamba wewe mama sijui dada sijui mzee
Lakini tabasamu la Achraf hakimi ni kama mtu mwenye jambo Lake ila hataki kusemaHii picha ya ashraf hakimi na mkewe inasema mengi Sana[emoji4]View attachment 2587487
Alikua anaecheza namba ngapi huyo mwanamke.!?? . Maana mostly hakimi Ana earn kupitia kwenye mpiraRoho mbaya tu wewe unadhani kulea watoto kazi ndogo pengine kachangia kwenye hizo Mali😬
Jamaa amefanya kitu ambacho nimewahi kukiwaza pia.
Lakini nafikiri inaathari kwa upande mwingine pia wataalam wa sheria watueleze. Nafikiri mama akifariki kwa kua asset zinasoma majina yake si ndugu wengine watalilia mgao wa jasho lisilowahusu.
yeye hana hata thumuni mpaka amuombe mama yake 😂😂😂😂Kwaiyo hta child support hatoi?
Anakuta Mali zote kaandikishwa juma lokole🤣🤣Uncle Shamte kaoe Mama mtu upate mali