Mke wa Mchezaji Achraf Hakimi aambulia patupu baada ya kudai talaka akidhani atapata mali
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kuna jamaa mmoja ana YouTube chanel yake inaitwa HUKU YUESI jmaa anakaa states…anasema ndoa ni scum tu na wanaume wengi wamepata shida sana baada ya kuoa maana wake wanakua na kiburi maana wanajua ukizingua mshiko ni pasu kwa pasu na child support juu..50% ndoa US zinavunjia sababu ya sheria zinazowabana sana wanaume..ndo mana murder case zinazohusisha mme kuua mke au familia nzima ni nyingii ila mtu akwepe kupukitishwa…unaona yaliomtokea tiger woods mpk akapotea kwenye game maana alinyooshwa hasaa…ronaldo yeye mjanja sana ni kuzaa kwa mkataba tu ukizaa unanipa mtoto then over…midume mingi ulaya imefilisiwa sababu ya kugawana mali
 
Jamaa amefanya kitu ambacho nimewahi kukiwaza pia.
Lakini nafikiri inaathari kwa upande mwingine pia wataalam wa sheria watueleze. Nafikiri mama akifariki kwa kua asset zinasoma majina yake si ndugu wengine watalilia mgao wa jasho lisilowahusu.
 
Jamaa amefanya kitu ambacho nimewahi kukiwaza pia.
Lakini nafikiri inaathari kwa upande mwingine pia wataalam wa sheria watueleze. Nafikiri mama akifariki kwa kua asset zinasoma majina yake si ndugu wengine watalilia mgao wa jasho lisilowahusu.

Hahahahahha hapo inabid labda kwenye familia uwepo ww na mama yako na muwe mnakaa mbali mfano ndugu wapo zaire nyinyi mpo canada huku and no one knows
 
Back
Top Bottom