Safi
πππππSiyo vizuri...
Nimeacha hayo mambo...πππππ
Si kakaa kizembe mwenyewe!
Hayanaga mwongozo ujue akijaaa wee jipigie tu
Kabiiiiiiisa rafiki. Ndoivo nyie telezeni tu maisha ndio hayaahayaSafi
Since when who which???? ππππ!Nimeacha hayo mambo...
Kabisa hata mimi nimekuja kuona hivyo dakika za jioni kabisa ,ukute jamaa ana teleza na pisi ya mwamba halafu yeye kaacha mke wa jamaaπ€Kabiiiiiiisa rafiki. Ndoivo nyie telezeni tu maisha ndio hayaahaya
Nimeachana na hizo heka heka...Since when who which???? ππππ!
Kufia juu ya vineeee umwachie nani????πππ.
Enjoy nyapuu enjoy nyapuu lo yani fumuaa kweriikweriiii πππ
As long as anakuja mwenyewe na anakupa bila hiyanaa aah wee kosa lako Nini???Kabisa hata mimi nimekuja kuona hivyo dakika za jioni kabisa ,ukute jamaa ana teleza na pisi ya mwamba halafu yeye kaacha mke wa jamaaπ€
Mimi naamini mpaka mke wa mtu akubali unakuta na jamaa ni kibaka tu ashampiga matukio bibie mpka basi.
Kibaka wako Nimekuruhusu love π! Tafuta mauzoefuuu yakushatrooo . Wasugueee mpaka maji waite mma π!Nimeachana na hizo heka heka...
Usije ukafa kwa pressure...
Hapana, ili upigane au hahaha...Kibaka wako Nimekuruhusu love π! Tafuta mauzoefuuu yakushatrooo . Wasugueee mpaka maji waite mma π!
Umeongea kila kitu...ivi vijamaa vioga vya maisha vinataka kila mtu awe kama wao wapiga nyeto.Kuna mambo ukifikiria sana unaweza sema mambo magumu sana.
Tuanzie hapo, unamtongoza mke wa mtu ili ugundue nini?
Pili, Kila binadamu ni mdhaifu hatuoi waliokamilika
Tatu, unahimiza watu wakatae ndoa je wewe unafanya mapenzi na mbuzi, mbwavau inzi?
Nne, Kufeli kwako kwa mambo ya ndoa kuna weza athiri mambo ya wengine?
Tano, unadhani ukiwa hauna ndoa ndo utakuwa salama maishani mwako?
KAMA kweli wewe ni mwanaume huwezi kuwa muoga kuoa kwa sababu za kivula, Acha dhana ya kulaumu wanawake kucheat ingali wenyewe unacheat,
Na kama hutaoa maana hutakamilika.
Asante nawasilisha
ππ!Hapana, ili upigane au hahaha...
Nipo kama nilivyo...ππ!
Nguvu za za kugombana nazitoa wapi miππNajua siku mbili nyingi watanurudishia Kibaka wangu make kwa akili zako mbili kasoro hawatakuweza smart πππππ!
Weee mzeiya wa action tu unawanyooshaππ!Nipo kama nilivyo...
Hata ukinichokoza huaga sinaga neno...
Ukitaka simu yangu nakupa utaamua mwenyewe siku ya kunirudishia...
Hapana unanisingizia...Weee mzeiya wa action tu unawanyooshaππ!
Mara nyingi inakua mtego huo, shauri yakoHuyu ni mke wa mtu, nimefanya kumtania tu ila tayari ameingia kwenye kumi na nane.
Binafsi ntachelewa sana kuoa kama wanawake wenyewe ndio hawa...View attachment 3326802
Achelewe ili tumkulie vizuriKasema atachelewa kuoa