Mke wa mtu ila yupo tayari kutoka nje ya ndoa, kataa ndoa mna point 3 za ushindi

Yaani mkuu unateseka jamanii huna furaha sasa kinga ya nini πŸ’πŸ’πŸ’
Mbona nina furaha tu nuzu, kinga ni bora kuliko tiba ,hata huko ndoani msijiaminishe sana wengi wameunganishwa kwenye gridi ya taifa na walikua watulivu tu
 

Stay in a tube, Kuna siku utatoka na machozi
 
Umekurupuka kijana, majukumu yapi hayo unayosema ?
 
Point. Safi
 
Ukweli ni kwamba shida sio nyinyi kukataa kuoa ukweli usio semwa Wanaume kwa sasa Wanapata K Kwa urahisi sana,Anajiuliza aoe ili iweje wala sio sababu ya matatizo katika ndoa.
 
Huyu ni mke wa mtu, nimefanya kumtania tu ila tayari ameingia kwenye kumi na nane.

Binafsi ntachelewa sana kuoa kama wanawake wenyewe ndio hawa...View attachment 3326802
Mke wa mtu naye ni binadamu. Wewe unayemtongoza unakosea sana. Ukitendewa unyama na mumewe utalalamika? Ingekuwa vyema ukatae ndoa na kuamua kupiga nyeto maisha yako yote badala ya kutongoza wake za watu.
 
Mbona nina furaha tu nuzu, kinga ni bora kuliko tiba ,hata huko ndoani msijiaminishe sana wengi wameunganishwa kwenye gridi ya taifa na walikua watulivu tu
Awe bora tupime na ganda lake No
 
Ukweli ni kwamba shida sio nyinyi kukataa kuoa ukweli usio semwa Wanaume kwa sasa Wanapata K Kwa urahisi sana,Anajiuliza aoe ili iweje wala sio sababu ya matatizo katika ndoa.
Hiyo pia ni moja wapo ya sababu , wanadai ufuge ng'ombe wa nini wakati maziwa lita ni buku , na gharama za kutunza ng'ombe ni mamilioni na unaweza tunza mtu akaja bandani kwako akakamua bure tu
 
Mke wa mtu naye ni binadamu. Wewe unayemtongoza unakosea sana. Ukitendewa unyama na mumewe utalalamika? Ingekuwa vyema ukatae ndoa na kuamua kupiga nyeto maisha yako yote badala ya kutongoza wake za watu.
Kaka kukataa ndoa kuna husiana vipi na upigaji wa nyeto kama upo nnje ya ndoa na unaweza pata kila siku bila hata kikwanzo ?
 
Ukweli ni kwamba shida sio nyinyi kukataa kuoa ukweli usio semwa Wanaume kwa sasa Wanapata K Kwa urahisi sana,Anajiuliza aoe ili iweje wala sio sababu ya matatizo katika ndoa.
πŸ˜‚πŸ˜‚ daah sikutegemea kabisa kukutana na jibu kama hili but umegusa mule mule Nuzulati.
 
Yas kama Yas
Ukikuta mtu anaichukia ndoa tumuombe afunuliwe ajue mpango wa Mungu kwetu kwenye ndoa .

Msomaji nisomee Mithali 18:22 inasemaje
Apataye mke apata kitu chema;
Naye ajipatia kibali kwa BWANA.
Sasa kama ndoa imetolewa na Muumba mwenyewe maana yake imebarikiwa na wana heri wale ambao wameoa na kuolewa na wakatulia kwa upendo, Tenaaa utakuwa umepata kitu chema.

Soma
Waebrania 13:4
Ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi; kwa maana waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu.

Sasa siku hizi kuna majanga mengi kwa kukosa kuheshimu ndoa kama vile kutongoza wake za watu kama ulivyofanya ,kuandaa operation za kukataa ndoa ,
Hivyo basi hata wewe ambaye hutaki ndoa haupo salama , pole kwa hili , Chukua hatua
Asante nawasilisha
 
Kwenye hiyo biblia yako wewe na daudi nani anaheshimika na dini ,Daudi aliyekula mke wa mtu na kuua kabisa mume wake ?
 
Hiyo pia ni moja wapo ya sababu , wanadai ufuge ng'ombe wa nini wakati maziwa lita ni buku , na gharama za kutunza ng'ombe ni mamilioni na unaweza tunza mtu akaja bandani kwako akakamua bure tu
Sema nyie kataa ndoa mnaenda kuleta tatizo hili kuwa sugu na vizazi vyetu kuzalia nyumbani bila ndoa kuona jambo la kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…