Mke wa Profesa Jay afunguka, familia yaomba msaada wa matibabu

Mkuu ndio maana tunasema wawezeke wazi wapate sukuhisho kama ni figo,watu wachange apelekwe India abadilishwe maisha yaendelee kuliko kuendelea kufanya dialysis.
 
Basi kama Hamna sababu unaomba msaada wa nini? Hela zinatafutwa kwa jasho hazitoki kama njugumawe kama unahitaji msaada huna budi kusema kinachokusibu
Si kasema anaumwa!! Unataka ugonjwa wa nini? Kuna magonjwa ni siri. Shida zake zisifanye aporwe faragha yake.
 
Tatizo la wasanii wanaishi maisha ya kifahari sana na kuwaona raia wa kawaida kama kinyesi ila wakiumwa haraka sana wanatembeza bakuli tuwachangie.
Aisee Tusiokuwa nacho tuna rohi mbaya sana,kuna watu tukifanyiwa tathmini mioyoni mwetu basi sababu ya kutokubarikiwa itafahamika dhahiri.Umasikini ni mbaya sanaa
 
Sasa Kama walimzushia ulitaka asiseme.

Acha kunenea watu mabaya na una kizazi hujui utazaa nini.
Mabaya yapi ?Kusema ukweli kuna ubaya gani ?I hate the virus (HIV)but i don't hate people affected by the virus. Ninamuombea Mungu amponye though ikifika kwenye figo kufail ni majanga. But still miujiza ya Mungu ipo anaweza kupona.
 
Sijawahi sikia... labda useme mlitangaza wapi, gazetini, redioni, mitandaoni. Na wakati mnatangaza nani alikuwa anaumwa?
Nilikuwa naumwa mwenyewe...niliishia kusaidiwa na ndugu tuu. So na yeye asaidiwe na ndugu tuu
 
Tatizo la wasanii wanaishi maisha ya kifahari sana na kuwaona raia wa kawaida kama kinyesi ila wakiumwa haraka sana wanatembeza bakuli tuwachangie.
Kua kiakili boy child, Jay hana mambo ya 'kiduanzi' kama hii comment yako inavotaka kutuaminisha.

Otherwise umeanza kumfahamu juzi
 
Muwasamehe
 
Nilikuwa naumwa mwenyewe...niliishia kusaidiwa na ndugu tuu. So na yeye asaidiwe na ndugu tuu
Mtu wa Watu mtu wa Jamii Tanzania nzima hata Dunia ni ndugu zake.....

Kuna mtu anatoa kazi zinazoishi hata kama yeye humjui ila kazi zake kuna siku zilikuburudisha..., atleast hata kama humpendi basi arudi kundini ili kuendeleza kutoa kazi....

As a specie karne hii tunakosea sana kudhani ndugu ni uliyezaliwa nae tu, kumbe ndugu ni yoyote mwenye shida...; Wangekuja kuomba pesa ya michango ya harusi au Birthday ningekuwa wa kwanza kuwachana, ila sio Uhai... (Na tusijidanganye sijui Uhai kuna siku Mungu amepanga, ukikosa huduma fulani utakufa day one / hakuna mipango wala nini)...., Kuna wakati Mwenye Njaa anahitaji zaidi Mkate kuliko Sala
 
Magu mwenyewe na utata wake aliuelewa sana mziki wa Prof Jizzle!

Mungu ampe uponyaji huyu mwamba peace sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…