mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Labda anataka kujitolea figoHivi ukimuomba Mungu amponye ugonjwa unaomsumbua, Mungu atakuuliza "anaumwa nini kwanza " kabla hajamponya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda anataka kujitolea figoHivi ukimuomba Mungu amponye ugonjwa unaomsumbua, Mungu atakuuliza "anaumwa nini kwanza " kabla hajamponya?
Mziray alikuwa na ngoma,aliwapelekea moto sana mabintiDah umenikumbusha kocha Mziray dah umenipa simanzi sana. Alikua akinipa moyo sana na mara kwa mara nikienda ofisini kwake pale OUT Kinondoni. Mzee wangu huyu alikua muungwana sana. Wallah Allah amsitiri kaburini mja wake.
Sasa Kama walimzushia ulitaka asiseme.Mbona hii inajulikana tokea zamani. Sikiliza ngoma yake ya kipi sijasikia aliimba eti walimzushia ana ngoma.
Lakini haimuondolei uungwana wake.Mziray alikuwa na ngoma,aliwapelekea moto sana mabinti
Wakikutajia gharama bila kutaja ugonjwa utachanga? Maana unaweza ukaambiwa matibabu yanataka Tshs. 1B, lakini ugonjwa usitajwe, UTACHANGA?Kumsaidia mtu matibabu ya ugonjwa unao msumbua ili ujue unatoa kiasi gani. Kuna watu labda wangependa kujitolea viungo vyao au kwenda zaidi ya hapo.
Huwa mnatangaza kuomba msaada?Yaani wao tuwachangie lakini sie hawatuchangii. Wachangiwe na wasanii wenzao bwana.
Boss,hawajapiga yowe, kama hujapendezwa na kitendo walichofanya.... wapo watu watatuma pesa hata jero jero jamaa atapona
Acha roho mbaya mkuu binafsi jamaa alipiga hela ila majanga yalikuwa mengi! Imagine uvunjiwe nyumba ghafla unafikiri kujenga same house ni bei gani?Kila wakati huwa nasema hawa wasanii wawe wanaangalia na kujifunza kutoka kwa wenzao,hawa wasanii nyota ni kama hawajui kuna kesho, hawa wasanii wakiwa kwenye good time hawajui kesho na hawajuia kama kuna watu wana shida na kuwa kuna siku nao watakuwa hawana kitu, mimi nikiugua au ndugu yangu akiuugua siji mitandaoni kuomba msaada,ni mzigo wangu. Ukienda pale Muhimbili kuna mwembe unaitwa Mwembe mawazo huwa wanakaa watu mbalimbali kila mtu anahangaika na mgonjwa wake,utasikia huyu anapiga simu uza shamba,au muambie baba mdogo achangie , na wala hutawasikia kusema tuweke namba zetu mtandaoni tuwaombe watu pamoja na umasikini wao, mzigo wangu ni wa kwangu, kila mtu abebe furushi lake! hawa wasanii hakuna wanaowasaidia wakiwa kilingeni wao ni starehe na watu wao.
Unaweza ukawa sahihi ila sio kwa Jay wa mitulinga.Tatizo la wasanii wanaishi maisha ya kifahari sana na kuwaona raia wa kawaida kama kinyesi ila wakiumwa haraka sana wanatembeza bakuli tuwachangie.
Dah ila Ngoma ni mtihani sana aisee noma yani kwa kweli. Kama ni mkono wa Nyani itakuwa mbaya sana aisee. Figo na ini huwa lazma zikate moto chap.Mungu afanye miujiza tu .Ila itakuwa katika terminal. Unamkumbuka kocha Mziray(R.I.P)Na yeye ilipofikia terminal ndo ikawa basi tena.
J hana hayo unayosema ni mtu zaidiTatizo la wasanii wanaishi maisha ya kifahari sana na kuwaona raia wa kawaida kama kinyesi ila wakiumwa haraka sana wanatembeza bakuli tuwachangie.
Basi kama Hamna sababu unaomba msaada wa nini? Hela zinatafutwa kwa jasho hazitoki kama njugumawe kama unahitaji msaada huna budi kusema kinachokusibuhakuna sababu ya msingi kutaja ugonjwa wa mtu. Tuheshimu faragha za watu.
Kitu usichokijua ni bora ukae kimya mkuu,hivi yeye anapotoa msaada kwa wengine wewe utawezaje kujua au ulitaka awe anatangaza kila anaposaidia!,tenda wema nenda zako.Kila wakati huwa nasema hawa wasanii wawe wanaangalia na kujifunza kutoka kwa wenzao,hawa wasanii nyota ni kama hawajui kuna kesho, hawa wasanii wakiwa kwenye good time hawajui kesho na hawajuia kama kuna watu wana shida na kuwa kuna siku nao watakuwa hawana kitu, mimi nikiugua au ndugu yangu akiuugua siji mitandaoni kuomba msaada,ni mzigo wangu. Ukienda pale Muhimbili kuna mwembe unaitwa Mwembe mawazo huwa wanakaa watu mbalimbali kila mtu anahangaika na mgonjwa wake,utasikia huyu anapiga simu uza shamba,au muambie baba mdogo achangie , na wala hutawasikia kusema tuweke namba zetu mtandaoni tuwaombe watu pamoja na umasikini wao, mzigo wangu ni wa kwangu, kila mtu abebe furushi lake! hawa wasanii hakuna wanaowasaidia wakiwa kilingeni wao ni starehe na watu wao.
Tunaishi kwa kudra tu,kiuhalisia Watanzania wengi ni zaidi ya maskniProf siyo mtu wa matambo, ila hii imenifanya niwaze jinsi Watanzania wengi tulivyo na shida.
Kama Prof mtu ambaye amekuwa msanii kwa muda mrefu, akawa mbunge kwa miaka mitano imekuwa hivi, je kwa karundage tulio wengi!
Serikali ifanye namna aisee kwenye suala la matibabu ya wananchi wake.
Tumchangie Prof hasa sisi ambao ni generation ya kipindi cha chemsha bongo
Tatizo la wasanii wanaishi maisha ya kifahari sana na kuwaona raia wa kawaida kama kinyesi ila wakiumwa haraka sana wanatembeza bakuli tuwachangie.