Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,864
- 8,328
Hivi wenzangu hua mnapata wapi ujasiri wa kuvumilia mambo ya namna hii...😕 yaani hapa ulitakiwa ulete simuluzi ya wewe kutoka jela kwa kosa na kumpiga baba mkwe alie taka kumbaka mkeo..😑
Kujiendekeza tuWachagga na sura zao, unakuta toto copy right ya Mama….. kama dingi nyege kidumu na akili kisoda lazima ubake
Safari njemaTuko ndani ya basi tayari, acha turudi kwetu
Hujamwachia alama yoyote Baba Mdogo ???Mke wangu alifiwa na wazazi wake wote wawili kwa ukimwi mkali ule wa zamani, hivyo akalelewa na baba yake mdogo tangu akiwa na miaka 8, darasa la pili.
Wife alipofika darasa la saba alibakwa na baba yake mdogo huyo aliyekuwa anamlea na kumtishia kuwa akisema atamuua.
Uzuri wife akawa amefaulu na kuchaguliwa shule ya bweni. Mkoa aliochaguliwa kulikuwa na shangazi yake ambaye ni aliajiriwa kama mwalimu wa shule ya msingi, hivyo likizo zote zilimalizokia kwa shangazi hadi anamaliza kidato cha nne.
Kipindi cha kusubiri majibu shangazi akawa anamsisitiza kwamba aende kusalimia kwa baba mdogo, ndipo wife akamweleza yote aliyofanyiwa na baba mdogo. Shañazi akaelewa.
Majibu yakatoka wife akachaguliwa kujiunga na shule ya bweni mkoa mwingine ambapo hakuwa na ndugu. Alisoma kwenye mazingira magumu sana.
Kwa kufupisha habari, huyu baba mdogo amefiwa na mkewe na tumezika leo. Jinsi huyo baba mdogo alivyo mchawi, akawa amemwita wife chumbani kwake mida ya saa nne. Wife alipoenda akawa anamlazimisha amlale, kwenye purukushani wife akapiga kelele.
Kwa kweli baba mdogo katia aibu sana.
Kesho tunarudi zetu Dar
Kwahiyo hata niki tangaza ndoa na wewe utaogopa kupelekwa ukweli kwa mzee mtata...🤣Huwa tu nailumbuka story ya baba yako alivyowapeleka ndugu zake kulala wodini
Muwe mnakumbuka kuwa hao wadada wa kazi, wajomba sijui au watoto walio zaliwa na nani kwenye familia zenu huko kwa mnayo wafanyia watakuwa wake za wengine hapo baadae.Mke wangu alifiwa na wazazi wake wote wawili kwa ukimwi mkali ule wa zamani, hivyo akalelewa na baba yake mdogo tangu akiwa na miaka 8, darasa la pili.
Wife alipofika darasa la saba alibakwa na baba yake mdogo huyo aliyekuwa anamlea na kumtishia kuwa akisema atamuua.
Uzuri wife akawa amefaulu na kuchaguliwa shule ya bweni. Mkoa aliochaguliwa kulikuwa na shangazi yake ambaye ni aliajiriwa kama mwalimu wa shule ya msingi, hivyo likizo zote zilimalizokia kwa shangazi hadi anamaliza kidato cha nne.
Kipindi cha kusubiri majibu shangazi akawa anamsisitiza kwamba aende kusalimia kwa baba mdogo, ndipo wife akamweleza yote aliyofanyiwa na baba mdogo. Shañazi akaelewa.
Majibu yakatoka wife akachaguliwa kujiunga na shule ya bweni mkoa mwingine ambapo hakuwa na ndugu. Alisoma kwenye mazingira magumu sana.
Kwa kufupisha habari, huyu baba mdogo amefiwa na mkewe na tumezika leo. Jinsi huyo baba mdogo alivyo mchawi, akawa amemwita wife chumbani kwake mida ya saa nne. Wife alipoenda akawa anamlazimisha amlale, kwenye purukushani wife akapiga kelele.
Kwa kweli baba mdogo katia aibu sana.
Kesho tunarudi zetu Dar
Hapana, sichukii kabila lolote bali naeleza ukweli niujuao kuhusiana na wahusika. Kama ukweli ni chuki, basi ninawachukia. Ila kama ukweli ni ukweli, basi sina chuki na yeyote. Wote ni watoto wangu.We bwana una chuki na kila kabila na mataifa. Unachukia waarabu, wasomali, waethiopia, watusi, warundi, bado makabila ya weusi wenzako wa hapa nyumbani nayo huyapendi.
Kaweka majani mengi mnoMbona kma chai hii au unatafut kiki
Mke wangu alifiwa na wazazi wake wote wawili kwa ukimwi mkali ule wa zamani, hivyo akalelewa na baba yake mdogo tangu akiwa na miaka 8, darasa la pili.
Wife alipofika darasa la saba alibakwa na baba yake mdogo huyo aliyekuwa anamlea na kumtishia kuwa akisema atamuua.
Uzuri wife akawa amefaulu na kuchaguliwa shule ya bweni. Mkoa aliochaguliwa kulikuwa na shangazi yake ambaye ni aliajiriwa kama mwalimu wa shule ya msingi, hivyo likizo zote zilimalizokia kwa shangazi hadi anamaliza kidato cha nne.
Kipindi cha kusubiri majibu shangazi akawa anamsisitiza kwamba aende kusalimia kwa baba mdogo, ndipo wife akamweleza yote aliyofanyiwa na baba mdogo. Shañazi akaelewa.
Majibu yakatoka wife akachaguliwa kujiunga na shule ya bweni mkoa mwingine ambapo hakuwa na ndugu. Alisoma kwenye mazingira magumu sana.
Kwa kufupisha habari, huyu baba mdogo amefiwa na mkewe na tumezika leo. Jinsi huyo baba mdogo alivyo mchawi, akawa amemwita wife chumbani kwake mida ya saa nne. Wife alipoenda akawa anamlazimisha amlale, kwenye purukushani wife akapiga kelele.
Kwa kweli baba mdogo katia aibu sana.
Kesho tunarudi zetu Dar
Ukitaka kujua hali si hali,nenda kwenye uzi wa watu waliotembea na ndugu zao wa karibu,utajua hujui mengi.Huyo anabaka,yule anamlawiti dadaake,yule anatembea na mtoto wa babaake mkubwa n.k.Ana laana huyo baba
Mkwe umeamua kuja kunianika huku. Au unazani sipo Jamii foramu.Mke wangu alifiwa na wazazi wake wote wawili kwa ukimwi mkali ule wa zamani, hivyo akalelewa na baba yake mdogo tangu akiwa na miaka 8, darasa la pili.
Wife alipofika darasa la saba alibakwa na baba yake mdogo huyo aliyekuwa anamlea na kumtishia kuwa akisema atamuua.
Uzuri wife akawa amefaulu na kuchaguliwa shule ya bweni. Mkoa aliochaguliwa kulikuwa na shangazi yake ambaye ni aliajiriwa kama mwalimu wa shule ya msingi, hivyo likizo zote zilimalizokia kwa shangazi hadi anamaliza kidato cha nne.
Kipindi cha kusubiri majibu shangazi akawa anamsisitiza kwamba aende kusalimia kwa baba mdogo, ndipo wife akamweleza yote aliyofanyiwa na baba mdogo. Shañazi akaelewa.
Majibu yakatoka wife akachaguliwa kujiunga na shule ya bweni mkoa mwingine ambapo hakuwa na ndugu. Alisoma kwenye mazingira magumu sana.
Kwa kufupisha habari, huyu baba mdogo amefiwa na mkewe na tumezika leo. Jinsi huyo baba mdogo alivyo mchawi, akawa amemwita wife chumbani kwake mida ya saa nne. Wife alipoenda akawa anamlazimisha amlale, kwenye purukushani wife akapiga kelele.
Kwa kweli baba mdogo katia aibu sana.
Kesho tunarudi zetu Dar
Wanaume wa Dar wako na matatizo sanaNajua umeuandika huu uzi ili mimi nikasirike niandike mapovu hapa ila kwa leo hunipati😁😁😁 ila ebu ngoja kwahiyo hata hujamfunza adabu kidogo huyo baba mdogo alafu unarudi zako Dar!!?
Nabtangawizi nyingi mnooKaweka majani mengi mno
Na anajua fika wengine tangawizi hatutumiagiNabtangawizi nyingi mnoo
Atakia mgosi huyuNa anajua fika wengine tangawizi hatutumiagi
Kwahiyo hata niki tangaza ndoa na wewe utaogopa kupelekwa ukweli kwa mzee mtata...🤣
Sahihi kabisa.Ungefanya la maana ungechukua kanyundo kisha kuziponda nyanya za huyo mzee.
Tena mgosi wa kayaAtakia mgosi huyu
Hahahahq kqbsaTena mgosi wa kaya