Mke wangu alibakwa na baba yake mdogo aliyekuwa anamlea akiwa na miaka 13, leo ukweni akataka arudie tena!

Huwa tu nailumbuka story ya baba yako alivyowapeleka ndugu zake kulala wodini
Hivi wenzangu hua mnapata wapi ujasiri wa kuvumilia mambo ya namna hii...😕 yaani hapa ulitakiwa ulete simuluzi ya wewe kutoka jela kwa kosa na kumpiga baba mkwe alie taka kumbaka mkeo..😑
 
Mke wangu alifiwa na wazazi wake wote wawili kwa ukimwi mkali ule wa zamani, hivyo akalelewa na baba yake mdogo tangu akiwa na miaka 8, darasa la pili.

Wife alipofika darasa la saba alibakwa na baba yake mdogo huyo aliyekuwa anamlea na kumtishia kuwa akisema atamuua.

Uzuri wife akawa amefaulu na kuchaguliwa shule ya bweni. Mkoa aliochaguliwa kulikuwa na shangazi yake ambaye ni aliajiriwa kama mwalimu wa shule ya msingi, hivyo likizo zote zilimalizokia kwa shangazi hadi anamaliza kidato cha nne.

Kipindi cha kusubiri majibu shangazi akawa anamsisitiza kwamba aende kusalimia kwa baba mdogo, ndipo wife akamweleza yote aliyofanyiwa na baba mdogo. Shañazi akaelewa.

Majibu yakatoka wife akachaguliwa kujiunga na shule ya bweni mkoa mwingine ambapo hakuwa na ndugu. Alisoma kwenye mazingira magumu sana.

Kwa kufupisha habari, huyu baba mdogo amefiwa na mkewe na tumezika leo. Jinsi huyo baba mdogo alivyo mchawi, akawa amemwita wife chumbani kwake mida ya saa nne. Wife alipoenda akawa anamlazimisha amlale, kwenye purukushani wife akapiga kelele.

Kwa kweli baba mdogo katia aibu sana.

Kesho tunarudi zetu Dar
Hujamwachia alama yoyote Baba Mdogo ???

Hata kumkata kidole kimoja Cha mguuni?.

Basi angalau mfikishe kwenye sheria
 
Yaan huyo Mzee anamwitaje Binti chumbani kwake na huyo Binti akili Hana mpaka aingie chumbani Kwa Mzee? Alishindwa nini kumwambia atoke nje.
 
Mke wangu alifiwa na wazazi wake wote wawili kwa ukimwi mkali ule wa zamani, hivyo akalelewa na baba yake mdogo tangu akiwa na miaka 8, darasa la pili.

Wife alipofika darasa la saba alibakwa na baba yake mdogo huyo aliyekuwa anamlea na kumtishia kuwa akisema atamuua.

Uzuri wife akawa amefaulu na kuchaguliwa shule ya bweni. Mkoa aliochaguliwa kulikuwa na shangazi yake ambaye ni aliajiriwa kama mwalimu wa shule ya msingi, hivyo likizo zote zilimalizokia kwa shangazi hadi anamaliza kidato cha nne.

Kipindi cha kusubiri majibu shangazi akawa anamsisitiza kwamba aende kusalimia kwa baba mdogo, ndipo wife akamweleza yote aliyofanyiwa na baba mdogo. Shañazi akaelewa.

Majibu yakatoka wife akachaguliwa kujiunga na shule ya bweni mkoa mwingine ambapo hakuwa na ndugu. Alisoma kwenye mazingira magumu sana.

Kwa kufupisha habari, huyu baba mdogo amefiwa na mkewe na tumezika leo. Jinsi huyo baba mdogo alivyo mchawi, akawa amemwita wife chumbani kwake mida ya saa nne. Wife alipoenda akawa anamlazimisha amlale, kwenye purukushani wife akapiga kelele.

Kwa kweli baba mdogo katia aibu sana.

Kesho tunarudi zetu Dar
Muwe mnakumbuka kuwa hao wadada wa kazi, wajomba sijui au watoto walio zaliwa na nani kwenye familia zenu huko kwa mnayo wafanyia watakuwa wake za wengine hapo baadae.
 
We bwana una chuki na kila kabila na mataifa. Unachukia waarabu, wasomali, waethiopia, watusi, warundi, bado makabila ya weusi wenzako wa hapa nyumbani nayo huyapendi.
Hapana, sichukii kabila lolote bali naeleza ukweli niujuao kuhusiana na wahusika. Kama ukweli ni chuki, basi ninawachukia. Ila kama ukweli ni ukweli, basi sina chuki na yeyote. Wote ni watoto wangu.
 
Mke wangu alifiwa na wazazi wake wote wawili kwa ukimwi mkali ule wa zamani, hivyo akalelewa na baba yake mdogo tangu akiwa na miaka 8, darasa la pili.

Wife alipofika darasa la saba alibakwa na baba yake mdogo huyo aliyekuwa anamlea na kumtishia kuwa akisema atamuua.

Uzuri wife akawa amefaulu na kuchaguliwa shule ya bweni. Mkoa aliochaguliwa kulikuwa na shangazi yake ambaye ni aliajiriwa kama mwalimu wa shule ya msingi, hivyo likizo zote zilimalizokia kwa shangazi hadi anamaliza kidato cha nne.

Kipindi cha kusubiri majibu shangazi akawa anamsisitiza kwamba aende kusalimia kwa baba mdogo, ndipo wife akamweleza yote aliyofanyiwa na baba mdogo. Shañazi akaelewa.

Majibu yakatoka wife akachaguliwa kujiunga na shule ya bweni mkoa mwingine ambapo hakuwa na ndugu. Alisoma kwenye mazingira magumu sana.

Kwa kufupisha habari, huyu baba mdogo amefiwa na mkewe na tumezika leo. Jinsi huyo baba mdogo alivyo mchawi, akawa amemwita wife chumbani kwake mida ya saa nne. Wife alipoenda akawa anamlazimisha amlale, kwenye purukushani wife akapiga kelele.

Kwa kweli baba mdogo katia aibu sana.

Kesho tunarudi zetu Dar

Ana laana huyo baba
 
Ana laana huyo baba
Ukitaka kujua hali si hali,nenda kwenye uzi wa watu waliotembea na ndugu zao wa karibu,utajua hujui mengi.Huyo anabaka,yule anamlawiti dadaake,yule anatembea na mtoto wa babaake mkubwa n.k.
 
Mke wangu alifiwa na wazazi wake wote wawili kwa ukimwi mkali ule wa zamani, hivyo akalelewa na baba yake mdogo tangu akiwa na miaka 8, darasa la pili.

Wife alipofika darasa la saba alibakwa na baba yake mdogo huyo aliyekuwa anamlea na kumtishia kuwa akisema atamuua.

Uzuri wife akawa amefaulu na kuchaguliwa shule ya bweni. Mkoa aliochaguliwa kulikuwa na shangazi yake ambaye ni aliajiriwa kama mwalimu wa shule ya msingi, hivyo likizo zote zilimalizokia kwa shangazi hadi anamaliza kidato cha nne.

Kipindi cha kusubiri majibu shangazi akawa anamsisitiza kwamba aende kusalimia kwa baba mdogo, ndipo wife akamweleza yote aliyofanyiwa na baba mdogo. Shañazi akaelewa.

Majibu yakatoka wife akachaguliwa kujiunga na shule ya bweni mkoa mwingine ambapo hakuwa na ndugu. Alisoma kwenye mazingira magumu sana.

Kwa kufupisha habari, huyu baba mdogo amefiwa na mkewe na tumezika leo. Jinsi huyo baba mdogo alivyo mchawi, akawa amemwita wife chumbani kwake mida ya saa nne. Wife alipoenda akawa anamlazimisha amlale, kwenye purukushani wife akapiga kelele.

Kwa kweli baba mdogo katia aibu sana.

Kesho tunarudi zetu Dar
Mkwe umeamua kuja kunianika huku. Au unazani sipo Jamii foramu.
 
Najua umeuandika huu uzi ili mimi nikasirike niandike mapovu hapa ila kwa leo hunipati😁😁😁 ila ebu ngoja kwahiyo hata hujamfunza adabu kidogo huyo baba mdogo alafu unarudi zako Dar!!?
Wanaume wa Dar wako na matatizo sana
 
Back
Top Bottom