Mke wangu amebadilika baada ya kupata dada wa kazi (house girl)

Akili zingine zimejaa Mavi kabisa.

Umemuelewa mleta mada kweli..

Wanawake wa saivi ni mavi kabisa.

Ile cream ya akina mama tibaijuka mama mwinyi huwez kupata tena wakati huu

Halafu akatokea huyo dada wa kazi anajielewa au akawa ni mmoja wa wanawake wanaojielewa na wenye kujali , akamjali mume na watoto , ampikie mume, ajue ratiba zake, ajue anachopenda kula, amuwekee maji ya kuoga, afue nguo zake za watoto, Hadi nguo za ndani za mumeo, wewe si hutaki kuteseka na majukumu ya nyumban bwana..badae waliwazane, watoto wampemde dada kuliko wewe.mama.wa kibeijing ambaye hutaki kuteseka, mwisho wa siku dada anabeba mimba ,mzee anafurahi...wewe unaanza Fujo,,eti mume wangu kalala na mfanyakazi unaanza kusumbua Wazee na vikao , badae wanagundua wewe ndio chanzo ..upambane na Hali yako Sasa mana umepata mke.mwennza.
 
Kuwa makini sana na hili badiliko lake. Siyo la kawaida.

Muda si mrefu utaitwa baba mkubwa. Anachofata huko kwenye misele yake kitazaa matunda.
Na yeye huyo mama ataitwa mama mkubwa. Ni suala la muda mfupi tu dada wa kazi atamtunuka tena kwa mapenzi yote na ndio atakua mama wa watoto wake
 
Hapo dada wa kazi ndiye mke wako hilo lingine galasa
 
Well said....😍
 
Ushauri wa kiutu uzima huu
Hawaelewi ndoa zina majira na misimu, kuna kipindi katika malezi zaidi watoto wakiwa wadogo kabla ya umri wa shule ya msingi, wamama wengi huwa wamezama ktk jukumu la kulea na kujisahau wenyewe. Wakikuwa na kujitegemea kwa kiasi fulani ameshapoteza au amesahau identity nyingine mbali na kuwa mama na mke, akili inaanza kuchangamka anatamani sasa na yeye awe na cha kufanya ama kwa kumpatia senti mbili tatu au kumkeep busy.
Ili mradi hatumii hiyo nafasi vibaya kwa kulewa, mitoko ya usiku, kufanya yasiyofaa, kutelekeza watoto na mume, wacha ajitafute. Jamaa anaona wivu kuona mke wake ametulizana sasa, anasahau happy wife = happy life.
Anataka kumaanisha mkewe akipata shida/ugonjwa/ajali hawezi kufanya kazi za nyumbani hafai atamkimbia kwa maana hii
 
Unamwaga mafuta kwenye petrol unataka mtoto wa watu arudi kwao na makovu au kufanywa vitu vibaya na huyo dadaduu mke wa jamaa?
Kuna muda wanawake hawa wanatakiwa mbwai mbwai tu ili akili ziwarudie , maana wanajitoaga ufahamu makusudi kabisa hawa viumbe,mshtue kidogo tomba bint wa kazi halafu kila kitu kuhusu familia ,chakula na watoto uwe unauliza kwa binti wa kazi hat kama yeye yupo na ukiweza jioni unavyo rudi mihangaikoni mbebee kazawadi bint wa kazi , mwenyewe ataamua abaki ajirekebishe au afunge mabegi aende akafundwe kwanza
 
Achana na mke wako owa huyo dada wa kazi
 
Ameanza kutafunwa huyo
 
🤣 mawazo ya kimasikini haya
 
Fanya mapenzi na dada wa kazi huyo ndie faraja yako mpya 😇
Acha upumbavu. Kwenye ukoo wako hawezi kutokea binti akafanya kazi kama hiyo? Utafurahi ukisikia katendewa vitendo viovu unavyopendekeza hapa? Acha dharau kwa watoto wa watu.
 
Inasikitisha kilichotokea kwa mtoto huyu
 
Yaani hujajua tu Mkeo anakuambia nini hapo?
 
Kwenye hilo la kulomba beki 3 sikushauri. Utajuta maisha yako yote, na ndio itakuwa chanzo cha mgogoro na huyo mwanamke wako maisha yako yote. Kama unataka kuendelea na mkeo huyohuyo liepuke liepuke liepuke. Lakini kama unataka kuachana nae huyo mke, basi Lomba Lomba beki 3.

Lakini jiulize, unataka kupata nini? Jifunze kuwa mwanaume, simama kama mwanaume, usichokipenda na kilicho nje ya utaratibu, kemea, onya, elekeza kwa upendo. Mkeo hasikii, shuka moja kwa moja kuelekeza HG na upate mrejesho toka kwa HG. Kama ana akili isiyopungufu mkeo atajiongeza.
 
Hivi vitu huwezi kuvielewa mpaka uwe miongoni mwake. Huyu kijana analalamika lakini wasiwasi wake ni hapo nilipobold
 
Umejaribu kukaa nae chini ukaongea nae kuhusu haya uloandika hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…