🤣 mawazo ya kimasikini haya
Siku utakapomkuta mumeo amekaliwa kwa juu na dada wa kazi huku akimkatikia ndio utajua kua haya ni mawazo ya kimaskin ama ya kitajiri.. unless kama wewe utakua lesbian..hata ukisagana Bado tu huyo anayekusaga akipata dada wa kazi anayemjali kwa kila kitu na kumfulia na kumpikia kuhakikisha kila mara kua Yuko sawa Iko siku utawakuta kitandani ...kwaio hauna pa kukimbilia..endelea kuishi maisha ya mwanamke wa kibeijing..🤣 mawazo ya kimasikini haya
Sasa Mama Mu kwa ulichosema ndipo inapelekea haya mambo kutokea...Inasikitisha kilichotokea kwa mtoto huyu
Habari yako,kama uko Dodoma na unawafanyakazi wa ndani wawili,kuna jamaa anamtomba sana mke wakoHabari zenu wakuu, nisiwachoshe sana ngoja niende Moja kwa Moja kwenye maada.
Mimi na mke wangu tangu tuoane hatujawahi kuwa na dada wa kazi nyumbani zaidi ya miaka 6 sasa.
Mwishoni mwa mwaka 2024 mke wangu aliomba atafute dada wa kazi ili awe anasaidia kazi za nyumbani kwasababu yeye anatingwa na majukumu
Tulifanikiwa kumpata dada wa kazi na tukaanza kuishi nae tangu mwezi wa kwanza 2025 mpaka sasa, kwakifupi ni kwamba dada wa kazi yuko vizuri na hana tatizo kwenye kufanya kazi
MKE WANGU KABADILIKA KABISA BAADA YA KUPATA DADA WA KAZI
1-Mke wangu hapiki chakula, anamuachia dada wa kazi ndio apike, yeye kupika ni mala Moja Moja sana.
2- Mke wangu sasa hakaliki nyumbani yaani ni misele ya kutosha, anajitafutia sababu ili tuu akapige misele isiyo na jambo lolote
3- Uangalizi kwa watoto umepungua sana , mtoto wetu wa pili ana miaka miwili tuu lakini naona kabisa uangalizi wa mke wangu ni hafifu sana
4- Nyumba ikiwa chafu ataiangalia tuu hivyo hivyo Hadi dada wa kazi atakapo Fanya usafi, dada wa kazi akichelewa basi nyumba itaendelea kuwa chafu mpaka nipige kelele
5-jukumu la kuhakikisha watoto wamekula chakula yeye amemuachia dada wa kazi
Siku za jumamosi na jumapili ni siku ambazo yeye haendi kazini lakin Bado hataki kubeba majukumu yake kama mama japo kwa siku za weekend.
Nimewaza nimuondoe huyu dada wa kazi ili akili ya mke wangu ikae sawa
Swadaktaaa😄Mtie dada wa kazi....ukishampiga miti atawapenda wanao pia baadhi ya maagizo na mipango uwe unajadili nae bila kusahau kila siku ulizia ripoti za hapo kwako mbele ya mkeo 👍
KabisaAsisahau kutumia kinga, hakuna House girl TASA
Hujaelewa na hutakaa uelewe 🙂Hata dada wa KAZI akimpa hicho cheo cha mke nae akiletewa dada wa KAZI atakuwa worse kuliko mkeo
UMEMALIZA!!!Huwajui wanawake wewe! Njia ya kufanya ni aanze kumsifia dada wa kazi mbele ya mke wake! Mke anapata wivu na kuanza kuwajibika
Umempa wazo zuri sanaaFanya mapenzi na dada wa kazi huyo ndie faraja yako mpya 😇
Dah ana bahati Nzuri Sana sanaKabisa
Tena umenikumbusha...kuna bwashee mmoja alinijuza siku alipojaribu tu...na mimba hapohapo ...namnukuu...''Asee nilipiga kimoja cha fasta kwenye banda la kuku ...tena kichuma mbogaa"......
Leo hii wana watoto watatu....kamfungulia kiduka nje ya mji...maisha yanaendelea.......
Dawa ya mwanamke ni mwanamkeHuwajui wanawake wewe! Njia ya kufanya ni aanze kumsifia dada wa kazi mbele ya mke wake! Mke anapata wivu na kuanza kuwajibika
Ndivyo wanawake wengi walivyo. Dawa yake muondoe huyo dada wa kazi. Kusudi aondoke haraka bila mkeo kujua uhusika wako , anza kulipa mshahara wa dada wa kazi wewe mwenyewe mbele ya mkeo, haitachukua muda mkeo atamtimua fasta. Mkeo akiwa king'ang'anizi muongezee mshahara dada wa kazi.Habari zenu wakuu, nisiwachoshe sana ngoja niende Moja kwa Moja kwenye maada.
Mimi na mke wangu tangu tuoane hatujawahi kuwa na dada wa kazi nyumbani zaidi ya miaka 6 sasa.
Mwishoni mwa mwaka 2024 mke wangu aliomba atafute dada wa kazi ili awe anasaidia kazi za nyumbani kwasababu yeye anatingwa na majukumu
Tulifanikiwa kumpata dada wa kazi na tukaanza kuishi nae tangu mwezi wa kwanza 2025 mpaka sasa, kwakifupi ni kwamba dada wa kazi yuko vizuri na hana tatizo kwenye kufanya kazi
MKE WANGU KABADILIKA KABISA BAADA YA KUPATA DADA WA KAZI
1-Mke wangu hapiki chakula, anamuachia dada wa kazi ndio apike, yeye kupika ni mala Moja Moja sana.
2- Mke wangu sasa hakaliki nyumbani yaani ni misele ya kutosha, anajitafutia sababu ili tuu akapige misele isiyo na jambo lolote
3- Uangalizi kwa watoto umepungua sana , mtoto wetu wa pili ana miaka miwili tuu lakini naona kabisa uangalizi wa mke wangu ni hafifu sana
4- Nyumba ikiwa chafu ataiangalia tuu hivyo hivyo Hadi dada wa kazi atakapo Fanya usafi, dada wa kazi akichelewa basi nyumba itaendelea kuwa chafu mpaka nipige kelele
5-jukumu la kuhakikisha watoto wamekula chakula yeye amemuachia dada wa kazi
Siku za jumamosi na jumapili ni siku ambazo yeye haendi kazini lakin Bado hataki kubeba majukumu yake kama mama japo kwa siku za weekend.
Nimewaza nimuondoe huyu dada wa kazi ili akili ya mke wangu ikae sawa
Hii inaonyesha kuwa kuna watu wanaoa halafu hawajui ni kwa nini wanao, pia kuna wanaoolewa lakini hawajui ni kwa nini wanaolewa. Kunahitajika kuanzisha VETA ya wanaoingia kwenye ndoa ili kuondoa mauza uza kama hayaHabari zenu wakuu, nisiwachoshe sana ngoja niende Moja kwa Moja kwenye maada.