Mke wangu ananikera anataka attention yangu kila saa

Hahaha! Mi nikajua chubby ndio wanene mku
 
Mimi namuelewa Jamaa sana
Changamoto yake inafanana na yangu niliyoipitia
Jamaa anapata shida sana ..Naelewa anachoongelea
Ila muache afanye hivyo tu ...Kuna watu wanatafuta wanawake wa namna hiyo wanawakosa
 
Hunitakii mema eh!!! Ujue tu mpaka BAK kaamua hiyo picha asiiweke hapa basi picha ni noma hata kusema kilichomaanishwa na picha ile pia ni noma ila vibonge huku mitandaoni ME wanawapandisha chart sana. ME wengi sasa wanataka wawe na Kibonge.
😂😂😂

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alikuwa anamaanisha nini BAK?
 
Kunisaidia nini tena kwa lipi mbona una negativity sentiments.

Rafiki angu nikimaanisha akipata mtu wa kumpa attention ambayo ww unaona kero and doesn’t matter ni aina gan ya mtu atampata basi rafiki angu ataacha hata kukusalimia jion ukirudi nyumban.

Afu umesema ni mkeo... si mnakatazaga wake kua na marafiki either wakike au wakiume asa wewe ndo rafiki ake... her partner in crime[emoji81][emoji81][emoji81][emoji847] why unamchoka sasa mzoee tu rafiki angu
 
Sawa ila naona kama ni nanga kasha shusha kwangu, yule habaduki na mimi pia na mpenda ila incase akitoka kwa kupata mgine wa kuweka mateka, kamwe simbembelezi kurudi, nta furahia tu maisha angu ya upeke after role am turning 40yrs.......na nina basics za maisha.
 
Wewe kama yote yameshindikana omba transfer ya kikazi kafanyie mkoa mwengine hapo alipo muache na watoto mtaongea kwenye simu tu!
 
Samahani mkuu,mm ni mdogo sana kwako
Ila sio kama ndio inavyotakiwa iwe mtu hataman company ya mtu mwingine zaidi ya mume/mke
Akianza kutoka na mashosti sijui kama utapenda.

Je,wewe ni una hela eeeh?
Maana madeko yanakuja na mfuko unasemaje
 
Mkuu husigeneralise shape ya mtu haiwezi ku determine tabia ya mtu.
Vibonge wengi wana roho nzuri na ndio maana wananenepa! Mungu anawabariki na afya tu sababu wana roho nzuri sana ila wale vimbau mbau wengi wanafiki na roho ya kwanini ndio maana hawanenepi hata wakinywa mafuta ya kula kila siku litre 1!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…