Mke wangu ananikera anataka attention yangu kila saa

Atakua dada yangu huyo kabisa[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Haya ni mambo madogo sana kiasi cha kukufanya uwe bored unless humpendi.

You have got a good woman, keep her loved and cherished. Wanawake ambao hawajaharibiwa kisaikolojia na nginja nginja za mahusiano kwenye ujana wao mara nyingi wako hivyo.

Kuna namna unatakiwa kumfanya awe satisfied (and by this simaanishi sex) ili uendelee na shughuli zako ama kuwa na mda wa utulivu as a man.
 
Mimi nakushauri usibadilike coz jinsi unavokua mgumu kufanya anachotaka ndo ye anazidisha upendo.. Ukijifanya ubadilike uwe romantic hutampa tena mtihani wa kuumiza kichwa awaze jinsi gani akuvute ili umkolee..

If U do everything a woman wants U to do u'll kill the attraction she has for you..

If u keep on being a difficult guy to please she'll keep on luvin U n being attracted to U.

Utakuja kunishukuru.

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Sawa ushauri mzuri mkuu ila najitahidi kumlizisha kwa kumpa attention ila ninapo mpa attention anazidi kuomba attetion nyingine zaidi, kuna kipindi nilatamani kumpiga kibao, kuna siku aliniamsha usuku wa manane niko deep a sleep eti amepata ndota anataka anisimlie usiku huo huo, nika muuliza kwani asbhi utakuepo basi subiria utanisimulia asbhi,.....akaanza kulalamika eti citaki kumsikiliza, simpendi nk, yaani mtu kama huyu utampa nini akupe privacy yako duh
 
Hhahahhahahan pole.
We ngoja ukutane na sisi mabinti Farao ndo utaelewa maana ya kuamshwa kusimuliwa ndoto usiku.
Endelea tu!!
 
Although kweli kitu kina kiasi.
Ila nikwambie tu, namna unaielezea
Ni zaidi ya hiki unakisema hapa.
 

hii sipingi brother
 
Hongera sana. Ndani ya miaka11 bado anajali kias hicho. natamani nimpate kama huyo.
Kwasasa hiyo ndo kero kubwa japo kuna vitabia vidogo vidogo ila navipuuzia sina time navyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…