Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Simama hivyo hivyo[emoji1787]Usiniangushe..[emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simama hivyo hivyo[emoji1787]Usiniangushe..[emoji1787]
Fanya jibu nilipate usiku wa leo..Simama hivyo hivyo[emoji1787]
Aaah we! Mambo mazuri hayataki haraka.Fanya jibu nilipate usiku wa leo..
Ahsante.Aaah we! Mambo mazuri hayataki haraka.
Atakua dada yangu huyo kabisa[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji28][emoji28][emoji28]Hivi na nyie wake zenu wanapenda attention kama huyu wa kwangu, ana nikera sanaa, sijui nifanye je nime dumu nae takribani miaka 11, huu ni wa 12 lakini bado iko vile vile nilidhani ataacha akikua ila duh iko vile vile, kwa siku anaweza akakupigia simu mara kumi usipo pokea ataendelea kubipu paka utakavo mpigia, na ukimpigia na kumuuliza kuna jimpya anasema hamna na kusalimia tu, weekend hamna ku concentrate au ku-compose ili upange mishe zako za j3.
Sio kwamba anapenda yale mambo mengine mnayo fikiria hayo anashibishwa kweli kweli ila bado anataka awe karibu nami kila moment, au kila wakati, kupumzika huwezi ikienda chumbani huyu hapo ukija sebuleni anakulalia arafu ni bonge ukimwambia unaniumiza anasema kumbe unipendi na wewe sio ramantic duh, akikutumia sms atatuma taarifa nusu paka umtumie sms zingine zaidi ya mbili kupata taarifa kamiri.......na kumuacha siwezi hiyo sio sabb ya kuacha mke wa watt wako, ila ni kero kweli kweli.
Haya ni mambo madogo sana kiasi cha kukufanya uwe bored unless humpendi.Hivi na nyie wake zenu wanapenda attention kama huyu wa kwangu, ana nikera sanaa, sijui nifanye je nime dumu nae takribani miaka 11, huu ni wa 12 lakini bado iko vile vile nilidhani ataacha akikua ila duh iko vile vile, kwa siku anaweza akakupigia simu mara kumi usipo pokea ataendelea kubipu paka utakavo mpigia, na ukimpigia na kumuuliza kuna jimpya anasema hamna na kusalimia tu, weekend hamna ku concentrate au ku-compose ili upange mishe zako za j3.
Sio kwamba anapenda yale mambo mengine mnayo fikiria hayo anashibishwa kweli kweli ila bado anataka awe karibu nami kila moment, au kila wakati, kupumzika huwezi ikienda chumbani huyu hapo ukija sebuleni anakulalia arafu ni bonge ukimwambia unaniumiza anasema kumbe unipendi na wewe sio ramantic duh, akikutumia sms atatuma taarifa nusu paka umtumie sms zingine zaidi ya mbili kupata taarifa kamiri.......na kumuacha siwezi hiyo sio sabb ya kuacha mke wa watt wako, ila ni kero kweli kweli.
Yes sir! I am 76 to be exact!
Sawa ushauri mzuri mkuu ila najitahidi kumlizisha kwa kumpa attention ila ninapo mpa attention anazidi kuomba attetion nyingine zaidi, kuna kipindi nilatamani kumpiga kibao, kuna siku aliniamsha usuku wa manane niko deep a sleep eti amepata ndota anataka anisimlie usiku huo huo, nika muuliza kwani asbhi utakuepo basi subiria utanisimulia asbhi,.....akaanza kulalamika eti citaki kumsikiliza, simpendi nk, yaani mtu kama huyu utampa nini akupe privacy yako duhHaya ni mambo madogo sana kiasi cha kukufanya uwe bored unless humpendi.
You have got a good woman, keep her loved and cherished. Wanawake ambao hawajaharibiwa kisaikolojia na nginja nginja za mahusiano kwenye ujana wao mara nyingi wako hivyo.
Kuna namna unatakiwa kumfanya awe satisfied (and by this simaanishi sex) ili uendelee na shughuli zako ama kuwa na mda wa utulivu as a man.
Hapa ndo kuna shida.Anachoka sanaa ana kilo 95 za uzito ukienda mara mbili kwa siku atashindwa kufanya kazi zingine nyumbani mwili unapata ngazi
Jiandae na thread nyingine ndani ya miezi kama 6 hiviHapana ana nikera sanaa kama a anapenda atafute fashioni nyingine yakunipenda sio kua mateka wake,.......
Hhahahhahahan pole.Sawa ushauri mzuri mkuu ila najitahidi kumlizisha kwa kumpa attention ila ninapo mpa attention anazidi kuomba attetion nyingine zaidi, kuna kipindi nilatamani kumpiga kibao, kuna siku aliniamsha usuku wa manane niko deep a sleep eti amepata ndota anataka anisimlie usiku huo huo, nika muuliza kwani asbhi utakuepo basi subiria utanisimulia asbhi,.....akaanza kulalamika eti citaki kumsikiliza, simpendi nk, yaani mtu kama huyu utampa nini akupe privacy yako duh
Huvutiwi naye kimapenzi tena.Fafanua shida hapo ni ipi?
Hapana, bado nalifikiria[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nadhani mwamba ndo ana issues za kisaikolojia kibao na siyo huyo mkewe. Tungekuwa na therapists na marriage counselors wazuri wangeweza kumsaidia. Wangeenda wote pamoja ili psychological entanglements zao zikawe sorted out. Ukimsoma vizuri huyu "Mr. Introvert" unaona kabisa kuna tatizo mahali.
View attachment 1975024
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unataka kuwa konokono? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]