Mke wangu ananikera anataka attention yangu kila saa

Kumpatisha mimba furing holidays siyo issue. Huyo unaishi naye kila siku. Hizo ndo siku za kumcherish. Fantasy ya siku mbili ndo unaona umemaliza?

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 

[emoji3][emoji3][emoji3]ukimpenda mtu awe anakufanyia hivo raha sana!!! Kweli mapenzi n matamuu sana!! Tunatofautiana !! Mi ndo napenda aisee namuazima uyo mkeo hata wiki[emoji23]
 
Sijui upewe nini we jamaa, kuna watu wanatamani wathaminiwe kama wewe, huo space unayoutaka ni ya kuchati na mademu wengine, na yeye anajua ndo mana anakunyima hyo nafasi, hongera kwake. Eti unafikiri kumuacha mkeo kisa kaonesha upendo?? Kiazi kweli we jamaa
 
Imagine... yaan hampens kbs mkewe. Anamwona keroo. Hapa anatafuta justification ya kumuacha. Aliexpect tutamsupport kwa hili ila imekua tofauti. Atakataa ila kuna siku atamtafyta na asimpate

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Hapana ctamuacha ila nataka kujua kama na wezangu wana experience haya ya kwangu,......kupata wife material sio rahisi mambo mengine ana yafanya poa, anapika vzri she is nice in bed so waterly though hawezi×3, ana mapezi na watoto ni msafi, nk ila hataki kunipa uhuru nyumbani nikifungua laptop anakasilika ni kika kimya anaaza kiniuuliza unawazaa nini? nikilala anagonga mlango paka nashituka yaani in short ana ni kera ineed my space
 
Huko kufatiliwa fatiliwa ndio utulivu wa akili yako sasa siku akiondoka ndio utajua bila huo unaouona usumbufu kichwa chako hakipati utulivu
 
Kwani mapezi lazima yawe hivo kutompa mwenzio space, huo ni udhaifu sio mapenzi.

Nakuelewa mkuu, ila ujue tumetofautiana !! Mi mwenyewe mpenzi wangu yuko mbali akija yaan lazma alalamike cmpi hata sekunde mbwembwe kama zote!!

Wengine hawapendi so nakuelewa unavotaka upewe space uko sahihi
 
Huyu mwanaume ana tatizo kubwa hafu ana msingizia mke
 
mulwanaka nahisi umeishapata majibu kutoka kwa wanaume wenzio ni jins gan % kubwa wanataman kuwa na mke kwama wako sasa chunga jua unachezea dhahabu chooni
 
Hanaga kazi za kufanya au jambo la kumu keep busy?
 
Mkuu, watu wa JF wakishakuelewa then, what next?
Kwenye uzi wako huu sijaona sehemu yoyote uliyoandika kwamba unaomba msaada wa ushauri nini ufanye zaidi ya kuandika kuwa mke wako anakukera kwamba anahitaji attention yako kila saa.
Umeandika as if unatoa taarifa kwa wanajukwaa ya yale yanayokusibu.
 
Wenzio wanalia na wake zao wanamambo ya ajabu,wewe mkeo anakujali Hivyo unaona kero,

Asee,inabidi kuwa Kati kwa kwati[emoji3061]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…