Mke wangu anapanda sana lifti za magari ya wapangaji wenzangu, mimi sina gari

Duh, Mkuu wewe ndio umekuja kunifanya usiku niuone mchungu.

Huwa najiuliza sana huko njiani kote huwa wanaongea kitu gani?
Hapo ni kupiga moyo konde tu kama mna watoto. Migogoro kama hiyo ndio chanzo kikuu cha familia nyingi kuvunjika..... Na niamini mimi, wife hatawahi kukusikiliza kwenye suala zima la kumkataza hizo lift

Na kama huwa ana tabia ya kujipiga picha (wenyewe wanaita kujisnap) kwenye hayo magari ya lift, chorea mstari neno "kugongewa"
 
Sijawahi kuona akijipiga picha kwenye hayo magari au labda tuseme kwa kuwa simu yake sishiki
 
Achana naye zaa na beki3 wenu, yeye mkeo muache akaolewe na wenye magari.
Ukweli ni kwamba siwezi kumpakiza mwanamke wa mtu hata awe ameolewa halafu nisimkojoze. Hii kwa wanaume wote
Sio kwamba nimemfumania au vp, la hasha ila kitendo hiki cha kupewa lift na mpangaji mwenzangu wakati mimi sina gari sioni kama kina afya kwenye mahusiano yetu
 
Sijawahi kuona akijipiga picha kwenye hayo magari au labda tuseme kwa kuwa simu yake sishiki
Jaribu kushika simu yake.... akiwa anajipiga picha maana yake yupo huru na mshkaji kiasi kwamba hilo gari analichukulia ni gari lao (mshkaji na mkeo)

Huo uhuru huwa unakuja baada ya mazoea ya kujuana kiundani kujengeka, na mara nyingi mazoea haya hupelekea kujuana kimwili
 
Hatuna utaratibu wa kushikiana simu kila mtu na simu yake na tumeishi hivi kwa muda mrefu sana
 
Kuwa mvumilivu ili maisha yaendelee.
 
Mmeweza kupanga ushuani afu hamna hata ka IST?
Usikaite ka IST, sasa hivi IST bila 18m-22m hujainunua, hata ya mkononi iliyokaa vizuri chini ya 12m hupati. Yaani haina tofauti na nissan XTrail.

Yeye aendelee na mipango ya familia, huyo mama mwenye tamaa za lift ingekuwa mimi ningempa ultimatum, akishindwa aende kuishi na huyo anayempa lift.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…