Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Hskika tunatofautiana, binafsi nachukizwa na hiyo tabia. Kujipost kila saa kwa kila jambo hapana.
Wewe chawa unanitafuta asubuhi asubuhi nitakufanya breakfast ss hivi..!! πΉπΉπΉhongera kwa kupona na kuacha kabisa tabia hiyo isiyofaa kwenye familia,
ni muhimu kuwapa uzoefu na wengine waondokane na hali hiyo.
By the way unaendeleaje lakini π
kuna ile ya kujibetua au kupinda mgongo sijui inamaanishaga nini, na hapo ni mama wa watoto wakubwa tu nyumbani πNi kweli
Lakini vitu ambavyo havidhuru familia haina haja kuumizana.
Fikiria mke amwambie Mume anachukizwa na yeye kwenda kuangalia Mpira.
Mwanamke kujipost sioni tatizo kwa upande wangu.
Ingawaje inategemea anajipost amevaa au Akiwa anafanyaje au anasema nini
Kama mkeo anapost picha akiwa mwenyewe bila kuweka picha mlizopiga pamoja au kukupost wewe jua kabisa Huyo ni mke wetu na siyo mke wako kakaSijui kama wake zenu wana tabia kama ya mke wangu. Yaani huyu bibie kila tukio analohudhuria lazima alipost kwenye WhatsApp, Instagram, au Facebook. Pia, anapenda kujipiga picha na kujipost mitandaoni.
Nimemuonya sana kuhusu hii tabia ya kujianika mitandaoni, lakini naona habadiliki.
Mfano, asubuhi hii tayari ameshatupia picha nyingine. Najiuliza, huyu mtu zinamtosha kweli kichwani?
Mkuu umenena vyema kabisa ukiona mkeo kujipost sio kesi kwako maana ake ww mwenyew mtandao n sehem yako ya maisha na ukiona mtu anamkatazia mkewe ujue hapend mamb ya mtandao.Ni kweli
Lakini vitu ambavyo havidhuru familia haina haja kuumizana.
Fikiria mke amwambie Mume anachukizwa na yeye kwenda kuangalia Mpira.
Mwanamke kujipost sioni tatizo kwa upande wangu.
Ingawaje inategemea anajipost amevaa au Akiwa anafanyaje au anasema nini
Nimeishi na hao wenye ujauzito wa wili mzee tena nataka watatu afike soon ila hawana hizo tabia. Ila nimeishi na wajawazito majirani wasio jielewa na ndio maana nikasema hivyo, ni aibu tupu kaka.huenda hujawahi kuishi na mjamzito gentleman,
ili ushuhudie anavyoichukia hadi hiyo simu au kifaa cha kupigia picha π
Hehehehehehe..... noma kweliKama mkeo anapost picha akiwa mwenyewe bila kuweka picha mlizopiga pamoja au kukupost wewe jua kabisa Huyo ni mke wetu na siyo mke wako kaka
Na ndiyo ukweli mchungu huoHehehehehehe..... noma kweli
Hebu weka picha ya leo tuone kama kweli ni yeye.Sijui kama wake zenu wana tabia kama ya mke wangu. Yaani huyu bibie kila tukio analohudhuria lazima alipost kwenye WhatsApp, Instagram, au Facebook. Pia, anapenda kujipiga picha na kujipost mitandaoni.
Nimemuonya sana kuhusu hii tabia ya kujianika mitandaoni, lakini naona habadiliki.
Mfano, asubuhi hii tayari ameshatupia picha nyingine. Najiuliza, huyu mtu zinamtosha kweli kichwani?
Wewe chawa unanitafuta asubuhi asubuhi nitakufanya breakfast ss hivi..!! πΉπΉπΉ
Kwanza kampeni zimeanza lete pesa mlizogawana na veggies wenzio.!!
Hebu turushie picha yake kwanza labda kuna kitu haujakiona.Sijui kama wake zenu wana tabia kama ya mke wangu. Yaani huyu bibie kila tukio analohudhuria lazima alipost kwenye WhatsApp, Instagram, au Facebook. Pia, anapenda kujipiga picha na kujipost mitandaoni.
Nimemuonya sana kuhusu hii tabia ya kujianika mitandaoni, lakini naona habadiliki.
Mfano, asubuhi hii tayari ameshatupia picha nyingine. Najiuliza, huyu mtu zinamtosha kweli kichwani?
Hebu muache afanye apendalo, hiyo ni hobby yake mbona una kiherehere hivyo?Sijui kama wake zenu wana tabia kama ya mke wangu. Yaani huyu bibie kila tukio analohudhuria lazima alipost kwenye WhatsApp, Instagram, au Facebook. Pia, anapenda kujipiga picha na kujipost mitandaoni.
Nimemuonya sana kuhusu hii tabia ya kujianika mitandaoni, lakini naona habadiliki.
Mfano, asubuhi hii tayari ameshatupia picha nyingine. Najiuliza, huyu mtu zinamtosha kweli kichwani?
Anaweza asiwe na lengo baya kabisa. Kuna baadhi wanapenda compliments, wakisifiwa wanahisi raha na furaha.
Hivyo inamfanya aendelee kupost ili aendelee kusifiwa.
Inawezekana ulimkuta hivyo, bas ilibid umpe tahadhari kabisa kuwa akiolewa lazima aache. Mwanamke anayejitamvua hawezi kujiweka sura yake mtandaoni,. Huko anasifiwa na wanaume na ni rahisi kudanganywa. Endelea kumuelisha juu ya madhara ya yeye kujipostSijui kama wake zenu wana tabia kama ya mke wangu. Yaani huyu bibie kila tukio analohudhuria lazima alipost kwenye WhatsApp, Instagram, au Facebook. Pia, anapenda kujipiga picha na kujipost mitandaoni.
Nimemuonya sana kuhusu hii tabia ya kujianika mitandaoni, lakini naona habadiliki.
Mfano, asubuhi hii tayari ameshatupia picha nyingine. Najiuliza, huyu mtu zinamtosha kweli kichwani?
anapiga picha tumbo halafu anaposti right?πNimeishi na hao wenye ujauzito wa wili mzee tena nataka watatu afike soon ila hawana hizo tabia. Ila nimeishi na wajawazito majirani wasio jielewa na ndio maana nikasema hivyo, ni aibu tupu kaka.
Yeah mkuuanapiga picha tumbo halafu anaposti right?π