Mke wangu anapenda sana kujipiga picha na kujipost matandaoni, nimeongea mpaka nimechoka lakini habadiliki

hongera kwa kupona na kuacha kabisa tabia hiyo isiyofaa kwenye familia,

ni muhimu kuwapa uzoefu na wengine waondokane na hali hiyo.

By the way unaendeleaje lakini 🐒
Wewe chawa unanitafuta asubuhi asubuhi nitakufanya breakfast ss hivi..!! 😹😹😹

Kwanza kampeni zimeanza lete pesa mlizogawana na veggies wenzio.!!
 
Ni kweli
Lakini vitu ambavyo havidhuru familia haina haja kuumizana.
Fikiria mke amwambie Mume anachukizwa na yeye kwenda kuangalia Mpira.

Mwanamke kujipost sioni tatizo kwa upande wangu.
Ingawaje inategemea anajipost amevaa au Akiwa anafanyaje au anasema nini
kuna ile ya kujibetua au kupinda mgongo sijui inamaanishaga nini, na hapo ni mama wa watoto wakubwa tu nyumbani 🐒
 
Sijui kama wake zenu wana tabia kama ya mke wangu. Yaani huyu bibie kila tukio analohudhuria lazima alipost kwenye WhatsApp, Instagram, au Facebook. Pia, anapenda kujipiga picha na kujipost mitandaoni.

Nimemuonya sana kuhusu hii tabia ya kujianika mitandaoni, lakini naona habadiliki.

Mfano, asubuhi hii tayari ameshatupia picha nyingine. Najiuliza, huyu mtu zinamtosha kweli kichwani?
Kama mkeo anapost picha akiwa mwenyewe bila kuweka picha mlizopiga pamoja au kukupost wewe jua kabisa Huyo ni mke wetu na siyo mke wako kaka
 
Ni kweli
Lakini vitu ambavyo havidhuru familia haina haja kuumizana.
Fikiria mke amwambie Mume anachukizwa na yeye kwenda kuangalia Mpira.

Mwanamke kujipost sioni tatizo kwa upande wangu.
Ingawaje inategemea anajipost amevaa au Akiwa anafanyaje au anasema nini
Mkuu umenena vyema kabisa ukiona mkeo kujipost sio kesi kwako maana ake ww mwenyew mtandao n sehem yako ya maisha na ukiona mtu anamkatazia mkewe ujue hapend mamb ya mtandao.
Ishu inakuja pale ambapo mmeo anakukataza jambo af hutekelezi hapo ndo tatizo linaanzia
 
huenda hujawahi kuishi na mjamzito gentleman,
ili ushuhudie anavyoichukia hadi hiyo simu au kifaa cha kupigia picha 🐒
Nimeishi na hao wenye ujauzito wa wili mzee tena nataka watatu afike soon ila hawana hizo tabia. Ila nimeishi na wajawazito majirani wasio jielewa na ndio maana nikasema hivyo, ni aibu tupu kaka.
 
Malaya huyo, ila kama na wewe ulimpata hukohuko kwa njia hizohizo vumilia
 
Kama hakunyimi papuchi mwache ajinafasi akikua ataacha wewe piga pumbu tu.
 
Sijui kama wake zenu wana tabia kama ya mke wangu. Yaani huyu bibie kila tukio analohudhuria lazima alipost kwenye WhatsApp, Instagram, au Facebook. Pia, anapenda kujipiga picha na kujipost mitandaoni.

Nimemuonya sana kuhusu hii tabia ya kujianika mitandaoni, lakini naona habadiliki.

Mfano, asubuhi hii tayari ameshatupia picha nyingine. Najiuliza, huyu mtu zinamtosha kweli kichwani?
Hebu weka picha ya leo tuone kama kweli ni yeye.
 
Wewe chawa unanitafuta asubuhi asubuhi nitakufanya breakfast ss hivi..!! 😹😹😹

Kwanza kampeni zimeanza lete pesa mlizogawana na veggies wenzio.!!

yaani mtumishi wa wananchi awe kitumbua cha breakfast, surely?

ama kwa hakika maombi hayana nguvu, ila content na dhamira iliyondani ya maombi hayo ndicho haswa chenye nguvu ya kuskilizwa na kujibiwa na Mungu. Mungu akubariki sana.

Infact,
utaratibu wa kutangaza nia na kura za maoni safari hii ni wa tofaut na wa kipekee sana.

Kwa wenye uhakika kutokana na Neema na Baraka za Mungu alizotujalia, hatuna mchecheto kabisa. Muda muafaka ukifika, tutakutana uawanjani,

hakuna kususia mechi Oct 2025🐒
 
Sijui kama wake zenu wana tabia kama ya mke wangu. Yaani huyu bibie kila tukio analohudhuria lazima alipost kwenye WhatsApp, Instagram, au Facebook. Pia, anapenda kujipiga picha na kujipost mitandaoni.

Nimemuonya sana kuhusu hii tabia ya kujianika mitandaoni, lakini naona habadiliki.

Mfano, asubuhi hii tayari ameshatupia picha nyingine. Najiuliza, huyu mtu zinamtosha kweli kichwani?
Hebu turushie picha yake kwanza labda kuna kitu haujakiona.
 
Sijui kama wake zenu wana tabia kama ya mke wangu. Yaani huyu bibie kila tukio analohudhuria lazima alipost kwenye WhatsApp, Instagram, au Facebook. Pia, anapenda kujipiga picha na kujipost mitandaoni.

Nimemuonya sana kuhusu hii tabia ya kujianika mitandaoni, lakini naona habadiliki.

Mfano, asubuhi hii tayari ameshatupia picha nyingine. Najiuliza, huyu mtu zinamtosha kweli kichwani?
Hebu muache afanye apendalo, hiyo ni hobby yake mbona una kiherehere hivyo?
 
Hudhuria vikao
Anaweza asiwe na lengo baya kabisa. Kuna baadhi wanapenda compliments, wakisifiwa wanahisi raha na furaha.

Hivyo inamfanya aendelee kupost ili aendelee kusifiwa.
 
Sijui kama wake zenu wana tabia kama ya mke wangu. Yaani huyu bibie kila tukio analohudhuria lazima alipost kwenye WhatsApp, Instagram, au Facebook. Pia, anapenda kujipiga picha na kujipost mitandaoni.

Nimemuonya sana kuhusu hii tabia ya kujianika mitandaoni, lakini naona habadiliki.

Mfano, asubuhi hii tayari ameshatupia picha nyingine. Najiuliza, huyu mtu zinamtosha kweli kichwani?
Inawezekana ulimkuta hivyo, bas ilibid umpe tahadhari kabisa kuwa akiolewa lazima aache. Mwanamke anayejitamvua hawezi kujiweka sura yake mtandaoni,. Huko anasifiwa na wanaume na ni rahisi kudanganywa. Endelea kumuelisha juu ya madhara ya yeye kujipost
 
Nimeishi na hao wenye ujauzito wa wili mzee tena nataka watatu afike soon ila hawana hizo tabia. Ila nimeishi na wajawazito majirani wasio jielewa na ndio maana nikasema hivyo, ni aibu tupu kaka.
anapiga picha tumbo halafu anaposti right?🐒
 
If you can't the girl, change the girl.
 
Back
Top Bottom