Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Hskika tunatofautiana, binafsi nachukizwa na hiyo tabia. Kujipost kila saa kwa kila jambo hapana.
Hapo itabidi mshikaji atafute mwanamke asiye na hobby hiyo.
Maana kuzuia mtu kufanya anachokipenda ni kumweka Jela