Mke wangu anapenda sana kujipiga picha na kujipost matandaoni, nimeongea mpaka nimechoka lakini habadiliki

Mke wangu anapenda sana kujipiga picha na kujipost matandaoni, nimeongea mpaka nimechoka lakini habadiliki

Mkuu samahan, kwenye hizo picha anazopost....kuna ambazo anageuzia makalio camera?
Kuna jiran yangu kaolewa na huwa anapost hizo za kugeukia nyuma camera...na kishape anacho basi tabu tupu. Huw najiuliza mume wake anaona hizi post?
 
Sijui kama wake zenu wana tabia kama ya mke wangu. Yaani huyu bibie kila tukio analohudhuria lazima alipost kwenye WhatsApp, Instagram, au Facebook. Pia, anapenda kujipiga picha na kujipost mitandaoni.

Nimemuonya sana kuhusu hii tabia ya kujianika mitandaoni, lakini naona habadiliki.

Mfano, asubuhi hii tayari ameshatupia picha nyingine. Najiuliza, huyu mtu zinamtosha kweli kichwani?
Sii umnyime chakula tuu...mke asie msikivu kwa mumewe anafaa kunyimwa chakula
 
Ulimkuta hivyo hivyo wakati unamtongoza mpaka kumchumbia. Hiyo ni red flag ambayo uliiona halafu ukaipuuzia labda kwa imani kwamba nikimuoa ataacha kujibinua mitandaoni. Kumbe red flags za kwenye uchumba huko kwenye ndoa ndiyo hudhihirika zaidi.

Kama hajibinui sana vumilia tu hakuna namna. Labda itafika mahali atakua na kuiacha hiyo tabia!

View attachment 3270896View attachment 3270899
Kha cheki tako hilo😍😍😍😍
 
Kuna jiran yangu kaolewa na huwa anapost hizo za kugeukia nyuma camera...na kishape anacho basi tabu tupu. Huw najiuliza mume wake anaona hizi post?
Kumbe na nyie mnape da kucheki misambwanda ya mademu wenye mizigo eeeh 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wewe Mkeo akikuambia uache kitu unachopenda kufanya utaacha?
Compromise kwenye ndoa ni jambo la muhimu sana mkuu, hata wewe kama upo ndoani kuna mambo umeacha kwa ajili yake, hata yeye mkeo kuna vitu ameacha ili murnde sawa. Lazima ukubali kuna vitu utaviacha au kupunguza ili ndoa isiwe ndoano.
 
Anapenda tu, Wala Hana shida yoyote...

Tafuta muda umwambie kuwa hupendi ataacha
 
Sijui kama wake zenu wana tabia kama ya mke wangu. Yaani huyu bibie kila tukio analohudhuria lazima alipost kwenye WhatsApp, Instagram, au Facebook. Pia, anapenda kujipiga picha na kujipost mitandaoni.

Nimemuonya sana kuhusu hii tabia ya kujianika mitandaoni, lakini naona habadiliki.

Mfano, asubuhi hii tayari ameshatupia picha nyingine. Najiuliza, huyu mtu zinamtosha kweli kichwani?
Hahahahaha.

Ni hulka za watu tu hizo, kuna wapo nawajua ni wake za watu wanapenda sana kujipost status WhatsApp, yaani kila tukio wakilifanya lazima waweke status.
 
Sijui kama wake zenu wana tabia kama ya mke wangu. Yaani huyu bibie kila tukio analohudhuria lazima alipost kwenye WhatsApp, Instagram, au Facebook. Pia, anapenda kujipiga picha na kujipost mitandaoni.

Nimemuonya sana kuhusu hii tabia ya kujianika mitandaoni, lakini naona habadiliki.

Mfano, asubuhi hii tayari ameshatupia picha nyingine. Najiuliza, huyu mtu zinamtosha kweli kichwani?
Kumbe tupo wengi
 
Gentleman,
ikiwa hana majukumu ya kutosha na ya kumkosesha muda wa kufanya hayo, ulitegemea afanye nini kwenye ulimwengu huu wa kidigitali?

mie nadhan tatizo lipo kwako gentleman? Na hiyo tabia maana yake anahitaji kuwajibishwa kifamilia kwa maana ya kupewa majukumu ya malezi mfululizo ili akose muda wa kufanya hayo ambayo kwakweli hayana maana kabisa.

Mpe ujauzito, kisha baada ya mwaka moja na robo mpatia mwingine wa pili na ikiwezekana watatu, na hapo utakua umetibu na kuponya tatizo hilo linalokukera kabisa, vinginevyo ni ngumu kumtoa kwenye huo uraibu 🐒
Huu ushauri haufai na upuuzwe kabisa in One Tz leader's voice... Enewei akifanya hilo jamaa atakua matatani maana picha za matumbo ya ujauzito na uchi yatakua mengi na mzee atazimia kabisa.
 
Huu ushauri haufai na upuuzwe kabisa in One Tz leader's voice... Enewei akifanya hilo jamaa atakua matatani maana picha za matumbo ya ujauzito na uchi yatakua mengi na mzee atazimia kabisa.
huenda hujawahi kuishi na mjamzito gentleman,
ili ushuhudie anavyoichukia hadi hiyo simu au kifaa cha kupigia picha 🐒
 
Compromise kwenye ndoa ni jambo la muhimu sana mkuu, hata wewe kama upo ndoani kuna mambo umeacha kwa ajili yake, hata yeye mkeo kuna vitu ameacha ili murnde sawa. Lazima ukubali kuna vitu utaviacha au kupunguza ili ndoa isiwe ndoano.

Ni kweli
Lakini vitu ambavyo havidhuru familia haina haja kuumizana.
Fikiria mke amwambie Mume anachukizwa na yeye kwenda kuangalia Mpira.

Mwanamke kujipost sioni tatizo kwa upande wangu.
Ingawaje inategemea anajipost amevaa au Akiwa anafanyaje au anasema nini
 
Kati ya vitu unatakiwa kulinda ni maisha yako kuanikwa mtandaoni, kuanzia watoto wako mke wako na maisha yako kiujumla. Kwa asilimia 99.99999............% huyo mke wako kuna mtu/watu anawarusha roho yaana anataka kuwaonesha kuwa pamoja na kwamba walimuacha/kumsema au kubwagana lakini amejipata ukitaka kuamini haya angalia aina ya picha anazotupia.
N.b wake wengi sana wa mtandaoni wanaliwa kama chipusi yai.

Hivi inakuwaje unajiita mwanamme afu unamwambia mke wako jambo na hakusikilizi? Maana yake wewe n mwanamme kwa jinsi(jinsia) ila kimamlaka wewe ni mwanamke. Bro nachukia sana nikisikia mwanamme analalamika kuhusu mkewe.

Moja ya jambo ninaloshukuru maishani mwangu ni kuzunguka tanzania hii na kukutana na kabila la wakurya asee walinifunza mambo mengi kwani sisi wandamba mwanamke anaweza kukwambia hata saa saba za usiku anaenda kwenye shuguli na usiseme ila toka niishi na hawa jamaa sitaki upuuzi wa jamii angu.
Na nina uhakika huyo mkeo kama sio mwenyej wa ukanda huu wa pua basi ametuiga tabia hizo
 
Weka account yake tukamkanye..!!
hongera kwa kupona na kuacha kabisa tabia hiyo isiyofaa kwenye familia,

ni muhimu kuwapa uzoefu na wengine waondokane na hali hiyo.

By the way unaendeleaje lakini 🐒
 
Ni kweli
Lakini vitu ambavyo havidhuru familia haina haja kuumizana.
Fikiria mke amwambie Mume anachukizwa na yeye kwenda kuangalia Mpira.

Mwanamke kujipost sioni tatizo kwa upande wangu.
Ingawaje inategemea anajipost amevaa au Akiwa anafanyaje au anasema nini
Hskika tunatofautiana, binafsi nachukizwa na hiyo tabia. Kujipost kila saa kwa kila jambo hapana.
 
Ila wanangu baada ya kutoa pole kwa mdau, tukumbuke mazingira ambayo tunawatoa hawa tunao waita wake zetu. Utatumia effort kubwa kumbadilisha mwanamke ambaye amekua akicheza vigodoro, vigoma, tarumbeta yaani traits za uswazi hii ipo damuni.
Pia usijipe asilimia kubwa kumbadilisha mwanamke anae shinda Bar, Cassino, Bikoko etc sio kwamba hawafai ila tunashindwa kuona red flags mapema.

Ulikutana na dame tinder, fb, Tiktok etc na uka like mipicha yake kama 20 then aje kuacha kujifotoa asipate rizki yake hahahaahaha.... Nadhani tunakoseaga mapema au mambo hubadilika angani.

Angalizo usijipe jukumu la kuoa au kuolewa na mtu usiemjua itaku cost mental health yako forever.
 
Back
Top Bottom