holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 1,859
- 2,986
Mimi sina hela za kumiliki pisi kali kama hiyo. Tena inayojibinua mitandaoni? Nguo za kubadili kwenye kila photoshoot na madoido doido mengine nitazitoa wapi? Bagosha uwiiii!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sina hela za kumiliki pisi kali kama hiyo. Tena inayojibinua mitandaoni? Nguo za kubadili kwenye kila photoshoot na madoido doido mengine nitazitoa wapi? Bagosha uwiiii!
Kuna jiran yangu kaolewa na huwa anapost hizo za kugeukia nyuma camera...na kishape anacho basi tabu tupu. Huw najiuliza mume wake anaona hizi post?Mkuu samahan, kwenye hizo picha anazopost....kuna ambazo anageuzia makalio camera?
Sii umnyime chakula tuu...mke asie msikivu kwa mumewe anafaa kunyimwa chakulaSijui kama wake zenu wana tabia kama ya mke wangu. Yaani huyu bibie kila tukio analohudhuria lazima alipost kwenye WhatsApp, Instagram, au Facebook. Pia, anapenda kujipiga picha na kujipost mitandaoni.
Nimemuonya sana kuhusu hii tabia ya kujianika mitandaoni, lakini naona habadiliki.
Mfano, asubuhi hii tayari ameshatupia picha nyingine. Najiuliza, huyu mtu zinamtosha kweli kichwani?
Kha cheki tako hilo😍😍😍😍Ulimkuta hivyo hivyo wakati unamtongoza mpaka kumchumbia. Hiyo ni red flag ambayo uliiona halafu ukaipuuzia labda kwa imani kwamba nikimuoa ataacha kujibinua mitandaoni. Kumbe red flags za kwenye uchumba huko kwenye ndoa ndiyo hudhihirika zaidi.
Kama hajibinui sana vumilia tu hakuna namna. Labda itafika mahali atakua na kuiacha hiyo tabia!
View attachment 3270896View attachment 3270899
Kumbe na nyie mnape da kucheki misambwanda ya mademu wenye mizigo eeeh 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kuna jiran yangu kaolewa na huwa anapost hizo za kugeukia nyuma camera...na kishape anacho basi tabu tupu. Huw najiuliza mume wake anaona hizi post?
Compromise kwenye ndoa ni jambo la muhimu sana mkuu, hata wewe kama upo ndoani kuna mambo umeacha kwa ajili yake, hata yeye mkeo kuna vitu ameacha ili murnde sawa. Lazima ukubali kuna vitu utaviacha au kupunguza ili ndoa isiwe ndoano.Wewe Mkeo akikuambia uache kitu unachopenda kufanya utaacha?
Hahahahaha.Sijui kama wake zenu wana tabia kama ya mke wangu. Yaani huyu bibie kila tukio analohudhuria lazima alipost kwenye WhatsApp, Instagram, au Facebook. Pia, anapenda kujipiga picha na kujipost mitandaoni.
Nimemuonya sana kuhusu hii tabia ya kujianika mitandaoni, lakini naona habadiliki.
Mfano, asubuhi hii tayari ameshatupia picha nyingine. Najiuliza, huyu mtu zinamtosha kweli kichwani?
Kumbe tupo wengiSijui kama wake zenu wana tabia kama ya mke wangu. Yaani huyu bibie kila tukio analohudhuria lazima alipost kwenye WhatsApp, Instagram, au Facebook. Pia, anapenda kujipiga picha na kujipost mitandaoni.
Nimemuonya sana kuhusu hii tabia ya kujianika mitandaoni, lakini naona habadiliki.
Mfano, asubuhi hii tayari ameshatupia picha nyingine. Najiuliza, huyu mtu zinamtosha kweli kichwani?
Huu ushauri haufai na upuuzwe kabisa in One Tz leader's voice... Enewei akifanya hilo jamaa atakua matatani maana picha za matumbo ya ujauzito na uchi yatakua mengi na mzee atazimia kabisa.Gentleman,
ikiwa hana majukumu ya kutosha na ya kumkosesha muda wa kufanya hayo, ulitegemea afanye nini kwenye ulimwengu huu wa kidigitali?
mie nadhan tatizo lipo kwako gentleman? Na hiyo tabia maana yake anahitaji kuwajibishwa kifamilia kwa maana ya kupewa majukumu ya malezi mfululizo ili akose muda wa kufanya hayo ambayo kwakweli hayana maana kabisa.
Mpe ujauzito, kisha baada ya mwaka moja na robo mpatia mwingine wa pili na ikiwezekana watatu, na hapo utakua umetibu na kuponya tatizo hilo linalokukera kabisa, vinginevyo ni ngumu kumtoa kwenye huo uraibu 🐒
huenda hujawahi kuishi na mjamzito gentleman,Huu ushauri haufai na upuuzwe kabisa in One Tz leader's voice... Enewei akifanya hilo jamaa atakua matatani maana picha za matumbo ya ujauzito na uchi yatakua mengi na mzee atazimia kabisa.
Compromise kwenye ndoa ni jambo la muhimu sana mkuu, hata wewe kama upo ndoani kuna mambo umeacha kwa ajili yake, hata yeye mkeo kuna vitu ameacha ili murnde sawa. Lazima ukubali kuna vitu utaviacha au kupunguza ili ndoa isiwe ndoano.
hongera kwa kupona na kuacha kabisa tabia hiyo isiyofaa kwenye familia,Weka account yake tukamkanye..!!
Hskika tunatofautiana, binafsi nachukizwa na hiyo tabia. Kujipost kila saa kwa kila jambo hapana.Ni kweli
Lakini vitu ambavyo havidhuru familia haina haja kuumizana.
Fikiria mke amwambie Mume anachukizwa na yeye kwenda kuangalia Mpira.
Mwanamke kujipost sioni tatizo kwa upande wangu.
Ingawaje inategemea anajipost amevaa au Akiwa anafanyaje au anasema nini
Katika ndoa,Mwanamke hatakiwi kukupenda, anatakiwa kukuheshimu then mengine yatafuata automatically.Kitu cha kwanza mwanamke anatakiwa awe nacho kwa mumewe ni utiii......